Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!

AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!

Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.

Kazi iendelee!!!!!
Mkuu nyumbu wakiona wamekosa namna ya kumtaja Jembe wanaamua kuanzisha uzi wowotetu matokeoyake ndio kama unavyoona mwanzo hapo juu anaanzisha uzi alafu anaanza kuchangia hoja mwenyewe. 😁😁😁😁
 
Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
Tatizo watanzania wengi sana hatujielewi tunapenda sana kuropoka kwenye mitandao. Hii mitandao ya simu ilivyoingia TZ ilikua inapata over profit kutokana na mifumo iliyokuepo hususan Tax Holidays huku Serikali ikipata kiduchu sana. Kwa mfano Tigo ilianzia Buzz. Airtel ilianzia tritel n.k. miaka yote hiyo yalikua yanatengeneza faida mpaka Bil. 300 kwa mwaka. Wakimaliza wanabadilisha majina wanajidai wamepata hasara wameuza kampuni, kumbe ni walewale.

Kampuni ikiuzwa Serikali haipati hata Capital Gain yake kutokana na mauzo. Sasa Serikali imeshtuka, inachukua kodi mpaka kwenye mauzo ya vocha, kwenye m pesa, tigo pesa n.k. hivyo faida zao zimepungua. Kuondoka kwa haya makampuni ya simu infact ni faida kwa Serikali, inaweza kuamua kuwekeza zaidi TTCL kama ambavyo UAE ilivyoekeza kwenye etisalat. Hii industry ina hela nyingi, kwasbbu sasa hivi kila mtu ana simu na anatumia simu yake kama benki kwa kutuma na kupokea fedha.

AAR walikua wanategemea sana Health Insurance kwenye biashara yao, na wateja wao wakubwa ilikua ni makampuni pamoja na taasisi za Serikali. Lakini biashara yao ilianza kuharibika, baada ya Serikali kuanzisha NHIF ambayo imekua mkombozi sana kwa wafanyakazi na familia zao.
 
Nimeona clip kwa Kigogo ni kweli wafanyakazi wamesitishiwa ajira huku hawana uhakika wa kulipwa haki zao. Wafanyakazi wanadai haki zao.

Kweli Magu bora tu kaenda.
Baada ya miaka kupita, sijui mtakua mnamlaumu nani? The good thing Magu ameondoka lakini ameiacha Serikali ikiwa inajitosheleza kimapato kuliko utawala wowote uliopita.
 
Watanzania tuko vizuri tutembee vifua mbele! Never again to let a dictator, horrible person, much know and murderer to see the inside of the State House. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana kwa kuinusuru nchi yetu.
Upumbavu mtupu,

Sasa kama dikiteta ndio kasababisha wafunge shughuli zao kwanini basi wasibakie maana dikteta si kafa?

Alafu huu uchumi mnaosema dikteta aliharibu ni uchumi upi? Kabla yake kumbe tulikuwa na uchumi mzuri sana ee?
Sasa mbona mabwana zenu kina Mbowe tangu enzi na enzi walikuwa wanapiga kelele uchumi kuanguka?

Nyie ni wapumbavu sana sana
 
Baada ya miaka kupita, sijui mtakua mnamlaumu nani? The good thing Magu ameondoka lakini ameiacha Serikali ikiwa inajitosheleza kimapato kuliko utawala wowote uliopita.
Mkuu tuombe Mungu atuweke hai! Hawa tutawakumbusha.

Muda ni mwalimu mzuri sana
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi

Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Sio kwamba sababu ni watu hawaumwi tena? Pia yawezekana ushindani umeongezeka kwenye bima ya afya.
 
Uyo mnaemuabudu alikuwa anapizi kwenye masaburi yenu nini!!!? Maana mmekuwa mandondocha
Hiyo tabia mnayo nyie wana ufipa!

Ni tabia yenu ndio maana mgombea wenu alisema atawapa uhuru tu muwe mnafanyiana hiyo faraga kwa uhuru
 
Kama miaka mitano ya mwendazake imetuachia hali hii vipi kama angemalizia kumi yote mambo yangekuwaje?

Kuna watu wengi sana wamepoteza ajira kipindi cha utawala wake, wapo wengi ambao hawakuajiriwa kabisa, na hata wale waliokuwa wameajiriwa wakawa wanalia kupandishwa madaraja na mishahara.

Sijui kwanini bado hatujifunzi kama taifa kwamba panahitajika mpango maalum utaohakikisha unafuatwa na kila Rais atakaeingia madarakani ili kuhakikisha hali kama hiyo haijirudii tena, badala ya hivi sasa kila Rais kuja na vipaumbele vyake, tutakuja kulia tena mbele ya safari.
Mpango wenyewe ni katiba mpya tu yaani raisi lazima awe responsible kwetu raia sababu sisi ndio waajiri wake....

Ajabu katiba imempa mamlaka makubwa sana yasiyo na mipaka 90% ya teuzi ni Rais ! Ila hahojiwu popote akikosea au kukiwa kuna harufu ya maovu juu yake hashitakiwi akiwa madarakani au akitoka...

Mfano mkubwa ni alichokisema mwalimu katiba hii kuna mtu mbeleni ataitumia anavyotaka sababu inatoa mamlaka makubwa sana kwa rais! Jiwe was unstoppable hakuna aliyethubutu kumuhoji live ukijaribu sote tunajua kilichokua kinaendele ! It was one man show!

Tuna kazi ya kujenga mifumo imara ya kitaasisi ili kusudi tuondokane na habari za mtu bali tudeal na ustawi wa taifa hata mtu akiondoka!

Imagine mtu amezaliwa 1961 anasema mimi nikiondoka nani atajenga reli , madaraja nk? Je Tanganyika haikuwepo kabla ! Yeye ni nani katika nchii hii!

Mjerumani kajenga miundombinu mingapi imara inayodumu hadi leo hii zaidi ya miaka 100 mbona hatuoni mahali akipewa sifa zake?
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi

Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
AAR walifwli kutokana na business model Yao wenyewe

Walileta wakenya wapigaji, wakawa na utopic system ya management iliyokua expensive na waliwalipa wrong people a lot of money

Mbaya zaidi pia wafanyakazi wap waliishia kuwa wanawapiga mno pale ndani, unakwend for service ya pesa nyingi na kama unalipa out of pocket MTU anacheza na watu wa billing pesa inazungushwa, mara utaambiwaashine ya risti hivi au tunaweza kjkufanyia nusu if you pay pale Kwa Dr nk.

In short aar nzima hata insurance wameyumba Sana na quality Yao imeshuka pia

Owner ambaye naamini ni mtanzania arudi mezani aanze mchoro upya

Kuna MTU alisema Vijana wetu pia sio waaminifu.... Hili sio la kulisahau kwasababu aar inauwawa na vitu vitatu, wizi, uzembe na competition

Innth current state ya nhif, AAR walitakiwa waee wanafufuka
 
Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
nasikitila kuwaita nyumbu.

mna msimamo upi??
 
Taarifa ni ya muda mrefu hii,kama sikosei zaidi ya Mwezi. Huku Tigo ( na Zantel) wanaondoka wanauza kampuni

Tulikuwa tunaelekea kubaya sana, Mama ana kazi nzito sio kidogo na itachukua miaka 10 mpaka 20 kurudi katika hali ya kawaida ya mwanzo
Kabla ya kushabikia jambo tafuta japo kidogo ukweli kuhusu jambo hilo. Tigo na Zantel kwanza ni watoto wa kampuni moja; kampuni hiyo imeamua kufunga shugjuli zake Africa nzima na walikuwa wamebakiza Tanzania tu. Hivyo kuondoka kwao kuliishapangwa, wameamua kujikita Amerika ya Kusini ambako asilimia zaidi ya 80 ya mapato yao ndiko yanakopatikana.

Pili kudai kuwa JPM ameharibu uchumi ni upotoshaji, dunia nzima uchumi ulisinyaa kutokana na effect ya corona; mfano Marekani ulisinyaa kwa asilimia 3.5, EU asilimia 6. Mambo ya uchumi hayataki ushabiki ni mwendo wa data na analysis.
 
Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
Wewe ni mgeni hapa nchini au unauliza swali kishabiki! Ina maana Tigo hawajawahi kukudhulumu!?
 
Na kwa Kauli ya Mama kuwa Yeye na Mtwaliwa ni Kitu kimoja na kwamba atapita mule mule tu kuna Uwezekano hali ikaendelea kuwa mbaya zaidi.

Wachumi wabobezi wanahitajika Kumshauri Mama juu ya kuweka Mizani sawa katika Ujenzi wa Miundombinu na kurejesha Uchumi Rafiki kwa Wananchi na kupunguza tatizo Kubwa la Ajira nchini kwa sasa.

Nchi itakuwaje na Maendeleo na Uchumi mzuri kama 85% ya Graduates na Intellectuals wake hawana Ajira na wapo tu Mitaani?

Sisemi Serikali iajiri ila iruhusu Wawekezaji wengi ( ambao bahati mbaya walikimbia nchini ) wawekeze zaidi ili Ajira zaidi zipatikane na Serikali kupitia TRA isiwakomoe katika Kodi kama ilivyokuwa.

Kuwe na Sera Maalum kwa Benki nchini za Kuwakopesha kwa Riba nafuu kabisa na za muda mrefu Wahitimu wa Vyuoni ili waweze Kujiunga na Kuchukua Mikopo hiyo kisha Wajiajiri.

Elimu ya Tanzania ifanyiwe marekebisho na iwe sana ya Technical Based ili kuendana na dunia ya sasa ambapo itasaida Watu ( Wahitimu ) wengi kuwa Wabunifu na hata kuweza Kujiajiri wenyewe.

Hata Serikali yenyewe pia ili Kupunguza hili tatizo la Ajira na kutaka Kujiimarisha Kiuchumi inaweza ikaanzisha Mkakati Maalum ( hata wa Kuingia Ubia ) na Matajiri wakubwa na Wakavifufua Viwanda vyao vyote nchini ambavyo vilikuwa vinaajiri Watu wengi na hii itasaidia sana tu.

Rasilimali zote za Tanzania zikisimamiwa vyema na tukaacha Upuuzi na Uswahili Uswahili wetu tuliouzoea huku Sera za Kukuza na Kuimarisha Uchumi wa Mtu na wa Taifa zikizingatiwa Tanzania itapaa na Wananchi nao 24/7 watakuwa na Tabasamu Nyusoni mwao kwakuwa Mifuko yao itakuwa hainuni na uhakika wa Kipato kuwepo.
Wewe unafikiri viwanda vinauawa na nani, kama sio mtanzania mwenyewe? Si umeona mfano wa shirika letu la Mabasi ya Mwendo Kasi lilivyo kuwa likiuliwa? Kweli mkurugenzi alikuwa nani? Si matanzania mwenyewe? Je amelifanyia nini shirika hilo? Yeye badala ya kuliboresha hilo shirika likaendelea zaidi ili kutoa ajira kwa vijana, mtanzania kwa kuendekeza maslahi binafsi, ndiyo kwanza anaamua kulifirisi shirika lake mwenyewe, ambalo lina mnufaisha yeye mwenyewe na familia yake.

Hii haiingii akilini kuona mtu ambaye amepata nafasi ya kuliongoza shirika kama hilo kati ya watu milion 60 anaumu kwa makusudi kuiliua shirika. Hivyo mtu kama huyu kwenye kichwa chake anafikiria nini hasa? Je, anafikiri ankommt serikali au vipi?

Watu kama hawa ndiyo wa kuwalaumu ma sio koongozi wa juu. Kiongozi wa juu yeyd kazi yake ninkuweka Frage works ambazo zinatuwezesha sisi ku-operate.
 
Mwenda zake aliteketeza uchumi wa nchi kikatiri sana !

Sasa Mkuu sasa hivi mwendazake bado yupo au wamefunga chini ya utawala wa mwendazake? Ni lini mtamsahau mwendazake na mfanye mambo yenu bila kumhusisha...
 
Tigo wanakwepa kodi...
Ni kawaida ya makampuni kuripoti hasara...mnakumbuka kulikuwa na BUZZ ni Bomba?kwann iliuzwa?Je iliuzwa kipindi cha JPM?
CELTEL pia iliuzwa ikaja ZAIN,,ZAIN nao wakauza ikaja AIRTEL...msituletee ngojera hakuna jipya hapa...
 
Back
Top Bottom