Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Mara ya Mwisho uliiona lini Biblia? Maana najua kusoma biblia huwezi ukasomaOnyesha huo utumbo wako kwenye bible islaeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya Mwisho uliiona lini Biblia? Maana najua kusoma biblia huwezi ukasomaOnyesha huo utumbo wako kwenye bible islaeli
Yaani unazidi kupuyanga ,nani aliwapa kibali SISIEMU kuongoza? Uchafuzi wa 2020? ENL(M.A.P) 2015 alimtoa ngeu NZIRANKENDE ,hamjawahi kushinda kwenye BOX la kura ndiyo maana hamtaki kusikia katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi maana ndiyo KIBLA yenu.Mungu Hutumia watu kwa kuwainua na kuwapatia kibali kama ambavyo ameipatia kibali CCM
Acha ulanzi wako😀😀Alidanganywa na Kingunge kwamba CCM ni Dini 😀😀😀
Kingunge mwenyewe akazikwa na Kanisa Moja Takatifu La Mitume
Hilo neno lako la kijinga lipo sehemu gani kwenye biblia? ukitaja nitajinyea siku 4 mfululizoMara ya Mwisho uliiona lini Biblia? Maana najua kusoma biblia huwezi ukasoma
Simbilisi 😄Taifa linamtegemea Mungu wa Mbinguni we Simbilisi 😄
Lini ambapo CCM haijashinda uchaguzi? Ingekuwa haishindi ni vipi ingekuwa inaungwa mkono na mamilioni ya watanzania?Yaani unazidi kupuyanga ,nani aliwapa kibali SISIEMU kuongoza? Uchafuzi wa 2020? ENL(M.A.P) 2015 alimtoa ngeu NZIRANKENDE ,hamjawahi kushinda kwenye BOX la kura ndiyo maana hamtaki kusikia katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi maana ndiyo KIBLA yenu.
Mamlaka huwekwa na Mungu lakini si NINYI wezi wa kura ,nyinyi ni madikteta mnakaa mdarakani kwa nguvu ya MITUTU.
CCM wanabebwa na kafara wanazotoa kila sikuYaani unazidi kupuyanga ,nani aliwapa kibali SISIEMU kuongoza? Uchafuzi wa 2020? ENL(M.A.P) 2015 alimtoa ngeu NZIRANKENDE ,hamjawahi kushinda kwenye BOX la kura ndiyo maana hamtaki kusikia katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi maana ndiyo KIBLA yenu.
Mamlaka huwekwa na Mungu lakini si NINYI wezi wa kura ,nyinyi ni madikteta mnakaa mdarakani kwa nguvu ya MITUTU.
Mpuuzi wewe, wewe na DC + Nape nani mkweli?Lini ambapo CCM haijashinda uchaguzi? Ingekuwa haishindi ni vipi ingekuwa inaungwa mkono na mamilioni ya watanzania?
Kwahiyo Mussa unamfananisha na Chama Cha siasa?Mungu Hutumia watu wake kuongoza waja wake kwa kuwainua na kuwapatia kibali..Ndio maana Mungu amekuwa akituinulia watu sahihi na chama sahihi cha CCM kuliongoza Taifa letu. Mungu hajawahi kutuacha wala kutupungukia. Kama alivyowainulia Musa Na Yoshua wana islaeli.ndivyo alivyotuinulia CCM na kuipatia Kibali.
Mimi.Mpuuzi wewe, wewe na DC + Nape nani mkweli?
Omba basi kiwe chama Kimoja,futa vyama vingi!Unaweweseka mkuu.Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazima ifike wakati tukubaliane na ukweli mchungu ya kuwa CCM ndio Moyo wa Taifa letu,ndio Mapafu ya Taifa ,ndio damu ya Taifa na ndio OKSIJENI ya Taifa letu. Hakuna amani wala utulivu wala umoja wala mshikamano wala masikilizano wala upendo wala kuzungumza lugha moja pasipo uwepo wa CCM Madarakani.
Pasipo CCM hakuna amani wala utulivu ,hakuna mipango wala Dira kwa Taifa letu,hakuna kesho iliyo njema na yenye matumaini pasipo uwepo wa CCM Madarakani. Ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza na kulivusha Taifa letu katika nyakati ngumu,ni CCM pekee yenye uwezo wa kuwaunganisha watanzania wa Dini zote,rangi zote,jinsia zote,makabila yote na wa kanda zote.ni CCM pekee yenye uwezo wa kuwaletea pamoja watu wa rika zote.
Ndio maana ndani ya CCM na serikali yake utawakuta viongozi kutoka Dini zote, makabila yote,rika zote,makundi yote,jinsia zote na wenye kila aina ya Elimu. Kila mmoja ndani ya CCM anayo nafasi sawa na mwanachama mwingine.Ndio maana unaweza kuwa kiongozi ndani ya CCM hata kama wazazi wako hawakuwa viongozi.kwa sababu kinachoangaliwa ndani ya CCM ni uwezo wa mtu kiuongozi,sifa na uwezo wa kumudu majukumu na kukubalika kwa watu.
Ni CCM pekee yenye uchungu na Maisha ya watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni CCM pekee yenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu,kupokea maoni na mawazo ya kila mtu, kumvumilia kila mtu pasipo kumbagua mtu. Ndio maana wapo wengine ndani ya CCM unaweza kuhisi ni wapinzani au watahamia upinzani kesho ,lakini huwezi ukaona wakifukuzwa chamani.
Ni CCM pekee yenye kujiendesha kitaasisi .tofauti na vyama vingine kama CHADEMA. ambavyo vimewekwa mifukoni mwa mtu mmoja tu aliyeamua kujimilikisha chama Utafikiri kitega uchumi cha Familia .na kwamba ni yeye tu mwenye akili kuliko wanachama wengine wote na kwamba wengine hawana akili na ni mambumbumbu wa uongozi na hawana haki ya kuongoza chama.
Embu jaribu kuangalia Ingetokea CHADEMA ipo madarakani? Unafikiri nini kingetokea? Kwanza wangewagawa sana watanzania na kuwabagua.ndio sababu ya sera yao ya Majimbo,pili wangeleta ukabila sana hapa nchini nakuona makabila fulani kutoka ukanda fulani ni bora zaidi na yenye kupaswa kupewa nafasi za juu za uongozi. na kwamba makabila mengine kutoka kanda zingine ni washamba tu wanaopaswa kuongozwa na kuamuliwa kwa kila kitu.
Wangekuwa wamelipasua na kulisambaratisha kabisa Taifa. Kusingekuwa na habari za Muungano wala Umoja wa kitaifa. Ni muhimu sana watanzania kuendelea Kuiweka CCM madarakani na kuendelea kuiamini .kwa sababu imekuwa na usikivu, unyenyekevu na kujali Maisha ya watu pamoja na kutanguliza mbele masilahi ya Taifa letu na ustawi wa wananchi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama kweli CCM wangekuwa wanamtegemea Mungu usingekuwa unaandika haya mabandiko yako ya kichawa, ungekuwa umetanguliza maslai ya Taifa mbeleMungu Hutumia watu wake kuongoza waja wake kwa kuwainua na kuwapatia kibali..Ndio maana Mungu amekuwa akituinulia watu sahihi na chama sahihi cha CCM kuliongoza Taifa letu. Mungu hajawahi kutuacha wala kutupungukia. Kama alivyowainulia Musa Na Yoshua wana islaeli.ndivyo alivyotuinulia CCM na kuipatia Kibali.
CCM ni mpango wa Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letuKwahiyo Mussa unamfananisha na Chama Cha siasa?
Wewe kweli ni Mnyonge 😂😂
Una kufuru na kama hujui unaitafutia CCM matatizo kwa muumba wa Mbingu na Nchi.Angalia CCM imetokea wapi ndugu yangu.unafahamu ya kuwa CCM ndio TANU na Ndio ASP? CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.huwezi kuvitenganisha.
Endelea na picha zako.hiyo ni kazi ya CCM kuleta uhuru
Umeelewa majibu yangu kwako?Una kufuru na kama hujui unaitafutia CCM matatizo kwa muumba wa Mbingu na Nchi.
Mimi huandika kwa kutanguliza mbele masilahi ya Taifa letuKama kweli CCM wangekuwa wanamtegemea Mungu usingekuwa unaandika haya mabandiko yako ya kichawa, ungekuwa umetanguliza maslai ya Taifa mbele
SIMBILISIEndelea na picha zako.hiyo ni kazi ya CCM kuleta uhuru