Sasa si bora kusaidia ndugu yako kuliko kuweka pesa kwenye passport usiyojua utaitumia lini?Nani alikuambia pesa ya kibongo inasevika!? Ukiiweka tu kesho,unapewa taarifa za kuumwa kwa ndg yako au Mtoto wa ndg yako,na unatakiwa mchango!!
Passport inabeba thamani ya utu na taifa, Tanzania kama nchi ina taratibu zake katika kulinda ustawi wa raia wake kupitia taratibu kama hizo.
Pole kwa hao wanaifanya kuwa takataka na kuwafanya raia wake takataka
Kabla sijakujibu labda uniambie Mmarekani akija Tanzania anafuata nini na wewe unapoenda huko Marekani unafuata nini?Hivi ulishawahi kusikia marekani au ulaya raia zao wanahangaika na passport?.
Kabla sijakujibu labda uniambie Mmarekani akija tanzania anafuata nini na wewe unapoenda huko Marekani unafuata nini
Si ndio dhumuni lenyewe hilo?Sisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport.. itakuaje
Sasa hii ni pass yangu ya tano. Na utaratibu ninao tumia ndio huo. Lazima kuonyesha kusufio la safari au tiketi ndio upewe passport.Si kweli , kama huo ndio utaratibu tangazo hili la nini ?
My dia hili unalitetea pia???Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu😃😃😃😃
Si wewe mwenyewe umesema ?Kwani kuwa na passport ni lazma uende marekani?
Si wewe mwenyewe umesema ?
Alirudi?Kuna familia moja ya kisua dada yao mkubwa aliolewa na Mzungu na waliishii Ulaya. Baada ya miaka mingi yule dada alipata saratani. Walimuuguza mpaka mauti yalimfika. Mzungu aliamua mke wake anazikwa Ulaya ili watoto na wajukuu waone kaburi kila wakimkumbuka. Alipiga simu akawaambia anatuma mwaliko wenye passport waende kuomba visa ya kwenda msibani.
Familia nzima hakuna aliyekua na passport kasoro chizi wao mmoja aliyeshindikana. Katika mihangaiko yake alipata pass akaiweka ndani. Siku walizopewa zilikua chache sana ku ku process pass. Mchizi alikua mwanafamilia pekee aliyepata viza na kukwaa pipa kwenda kwenye mazishi ya sister wao.
Wote tulimshangaa alirudi baada ya miezi mitatu.Alirudi?