No Reform No ElectionHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Mazuzu ya mamaMillard Ayo kanyooka mkitaka airtime wekeni pesa atazunguka na nyie, waulizeni viongozi wenu wanajua overnight yake tuuu ni sh ngapi.
Ata chadema walianza pole pole kwakuzarauliwa.Kwenye hii dunia kila kitu kina mfuasi ndo maana ata wacheza ngono wana wafuasi.Kwahiyo niswala la muda tu mambo yataanza kubadilika.Kitu kinachowauma CCM ni kukataliwa Kwa CHAUMA, ni kilio na kusaga meno walidhani watawaraghai raia ,ila CHAUMA wamekutana na zomea zomea, X Wana wafuasi 900 😁😁
Mie naamini katika wagalatia humu ambao Dish limeyumba weeh hukosiMamaaee nilkuwa sija unfollow nami naenda kuwa'unfollow
CHAUMA ilianzishwa 2012, so sio wachanga wana 12 yearsAta chadema walianza pole pole kwakuzarauliwa.Kwenye hii dunia kila kitu kina mfuasi ndo maana ata wacheza ngono wana wafuasi.Kwahiyo niswala la muda tu mambo yataanza kubadilika.
Very nice hadi waondoke kwenye mazoea.NO REFORMS NO ELECTION zaidi ya hapo ni uongo mtupu.Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Hizi online tv,magazeti na vyombo vingine vinavyokaa kimya kuhusu utekaji,wizi na uminywaji wa haki tujitowe kuwafatilia.Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
no reforms no electionHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
No Reform No Election!Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Kitu kidogo hupewi, unajitoa kwenye jukwaa kubwa nchini kuongea. Utahaki mitandaoni.Waliwahi kugombea nafasi gani wakashinda hao watu uliowataja?
Inawezekana upo sahihi. Lakini wakipata mtu kama Mpina, Gwajima, kutakuwa na mabadiliko.ACT bado sana labda uiogezee miaka 10 ijayo ACT hii watu wanaona ina udini ndani yake bara haiwezi kutoboa
Wewe uliwahi kugombea nafasi gani ya kwanza? There is is always first time f everything.Waliwahi kugombea nafasi gani wakashinda hao watu uliowataja?
Tegemeo lenu kubwa ni wananchi wasio na elimu wajinga...ndiyo maana hamuamini kama Hawa wa kidijital ni wapiga kura.Umeona ee? Ndo maana mi NAIONA hii mijitu kama mitahiraa tu. Halafu, huu ujinga wote unaisha mara baada ya mama Samia kushinda kwa 98 hapo mwezi oktoba.
Biashara za mitandaoni vijana wa Tanzania hawajui Zina ushindani kama za mitaani tuHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Muongezee utajiri mwenzio kadri followers wanavyokuwa wengi ndivyo pesa inavyoingia kwakeOhoo kumbe ndiyo habari hiyo, ngoja tukamuunfollow chapa
Wewe unafanya nini humu asubuhi yote hii tena business day(Tuesday) si ilitakiwa uwe bize uko unafanya kazi. Wewe pia ulivyo huku JF unafatilia kila nyuzi ndivyo wao wapo huko kwa mange kimambi. Be the change you want to see in the world.Biashara za mitandaoni vijana wa Tanzania hawajui Zina ushindani kama za mitaani tu
Mange Kimambi anachofanya ni kuongexa subscribers kwake wawe wengi alipwe pesa nyingi kwa kupora subscribers wa wenzake
Kinachoshangaza utasikia ooh vijana tuna maisha magumu ajira hatuna lakini pesa za bundle kushinda tiktok na kwa mange kimambi wanazo .Wana simu nzuri zenye whatsapp na internet kutwa wana chat hizo pesa si waanzishe biashara au shughuli yeyote ya kuingiza pesa hata ya mtandaoni badala tu ya kutajirisha mange kimambi?