PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
RUDIA KUSOMA ULICHO KIANDIKA..!UNA LEVEL GANI YA ELIMU?
 
Ni kuwkataa wafuasi wote wa uzalimu
 
Ni hivi huu uchaguzi ushaingia Najisi, believe me ata Samia anatamani Chadema wangeshiriki uchaguzi Ili kuwepo na legitimacy,,,lakini Kwa Hali ilivyo atazunguka mwenyewe nchi nzima
 
Muungano ufe Tanganyika idai Uhuru wake maana mama iddy Amin Dada Mkoloni Kaburu toka Zanzibar atawamaliza watanganyika kwa kafara za utekaji wa Polisiccm
Kinachoniuma ni watu kufirwa yani wanateka mtu mzima afu Wana mfira, hivi uyu mama anatuka Nini watanganyika
 
Huo ndio ujumbe pekee atakaokutana nao Samia na Genge lake kila mahali atakapokuwa.
Chaguo ni lake, Kufanya mabadiliko, na uchaguzi ufanyike kwa amani na HAKI; au akubali kuwategemea genge lake kuwaua waTanzania ili abakie madarakani kwa nguvu.
Huu mwaka watapata low voter turnout ever experienced
 
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Aliyekuambia Ntobi yuko Chauma nani??
 
Shida ipo, nawaza wale wa no reform wagome kupiga kura alafu, wale wa no needs of reform wakapige kura wote. Itakuwajee🙄
Labda iwe no election🥺
 
Kinachonifurahisha Samia hakubaliki kabsa, Hana
Busara aipate wapi wakati kazi yake ni kuteka, kuuza na kurawiti
 
Mitandao Ina nguvu kubwa saaaana,refers uchaguzi wa Lissu vs Mbowe, Kamala vs Trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…