Sasa kama ubunge anao bado, nini kinakushangaza yeye kuitwa Mheshimiwa? Au hujui wabunge wote wa Tanzania wanaitwa waheshimiwa? Ukazungushia kabisa duara kwenye screenshot!Wapi nimesema alitenguliwa ubunge🤦♂️🤦♂️ huu mkurupuko ni wa five G!
Kuna ambaye hajui Ummy kaondolewa kwenye Uwaziri?
Sasa kama ubunge anao bado, nini kinakushangaza yeye kuitwa Mheshimiwa? Au hujui wabunge wote wa Tanzania wanaitwa waheshimiwa? Ukazungushia kabisa duara kwenye screenshotWapi nimesema alitenguliwa ubunge🤦♂️🤦♂️ huu mkurupuko ni wa five G!
Kuna ambaye hajui Ummy kaondolewa kwenye Uwaziri?
Yeah... nadhani ndicho amemaanishaNadhani mleta mada anamaanisha, huyu ndg. Mwalimu kaandika kana kwamba kamuandikia mtu mwingine!
Labda alipaswa ndg. Ummy aandike hivi, "Leo nimeshiriki matembezi...."
Sasa neno mheshimiwa kutumika kwa Mbunge si nd'omahali pake?Wapi nimesema alitenguliwa ubunge🤦♂️🤦♂️ huu mkurupuko ni wa five G!
Kuna ambaye hajui Ummy kaondolewa kwenye Uwaziri?
😹😹😹 huu ni uzembe tena wa hali ya juu Mkuu, wala si bahati mbaya kwa huyo aliyeenda present... kwa Ummy yeye ni public figure lazima ajue nini kinaenda huko duniani kuhusu yeye, anaweza kuwa na mtu wakufanya hivyo au anaweka mwenyewe, sehemu ile ni sensitive sababu inabeba pia utu wake, asipokuwa anaangalia siku litaenda boko kweli kweli abaki uchiMkuu sio wote huwa wanapitia, mwenyewe juzikati tu hapa kuna mzee aliniomba nimsaidie kazi, ilipokamilika nikamtumia, baada ya wiki akaenda kuwasilisha kwenye kikao. Kumbe hata hakuwahi kupitia nashangaa ananipingia simu nimsaidie kufafanua kilichoandikwa kwa boss wake.
Muasisi wa Mheshimiwa alishaandikwa humu pitia pitia mwanzo ilikua inatumika Ndugu sasa watu hawataki undugu kwenye utukufuneno mheshimiwa linanichefua. watu wa bara la ukimani wanapenda utukufu
Ukurasa wake anaemeneji ni mtu mwingine wa Ofisi yake kwa hio lazima amuite muheshimiwa ulitaka amuite vingine kibarua kiote manyasi?😹😹😹 huu ni uzembe tena wa hali ya juu Mkuu, wala si bahati mbaya kwa huyo aliyeenda present... kwa Ummy yeye ni public figure lazima ajue nini kinaenda huko duniani kuhusu yeye, anaweza kuwa na mtu wakufanya hivyo au anaweka mwenyewe, sehemu ile ni sensitive sababu inabeba pia utu wake, asipokuwa anaangalia siku litaenda boko kweli kweli abaki uchi
Mheshimiwa Utajua wewe 'uheshimiwa' upo tu muhimu fanya kwa nafasi yako vizuri kila mtu atakuheshimuMheshimiwa= Honourable ,Respected
Kiasili mwanadamu anapenda sifa .
Hata mimi natafuta uheshimiwa hata kwa nguvu ila sio katika siasa
Mfano mimi hapa naendesha hiki ki akaunti cha JF nikijiita Mkuu BUKU 1 800 hapo nifyatue maana anaemeneji hiki ki akaunti ni mimi sijaajiri mtuAsante Mkuu👏👏👏
Tupunguze sasa wivu mwingine sio kwa hio unataka afutwe uheshimiwa aitwe tu kawaida?Mheshimiwa Utajua wewe 'uheshimiwa' upo tu muhimu fanya kwa nafasi yako vizuri kila mtu atakuheshimu
Ni yake ndio na wewe jiite humu JF Mkuu Cute Wife uone km kuna mtu atakujaji vibaya anza leoKamuita nani na account ni yake?🌚