BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Sawa muheshimiwa wa JFni jambo la kawaida sana kujiadress mwenyewe kulingana na status yako,
mathalani hata mimi baadhi ya wananchi hunisema wapendavyo kwamba mh. Tlaatlaah yuko hivi au yuko vile, na kwakweli ni uhuru na haki yao kusema hivyo..
hata hivyo mimi mwenyewe ni mh.Tlaatlaahπ
Still bado ni muheshimiwa sio yeye hata wengine kwenye page zao hujiaddress hivyo sawa muheshimiwa NumbisaWanaokutolea mapovu hawajaelewa hoja yako wamekurupuka tu wakidhani unamnanga ummy wao
Umekurupuka kuanzisha uzi, mbunge nadhani hupewa heshima ya uheshimiwa pia ni mwanadheria, wana sheria huitwa waheshimiwa , (addressed as honorable),Wakuu,
Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimina msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?
Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!
Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!
Wewe ndio umetafsiri tofauti.hata wewe ukitaka kujiita mheshimiwa kwenye level ya familia yako unaweza kujiita tu bila kuathiri jambo lolote.Yeye kuji-address hivyo inatoa picha tofauti
π€£π€£πΉ Mkuu bwana, kwahiyo unaniona bozooo kuleta mada hii hapaππ anyhu, uheshimiwa mtamu, alichoweka hapo na utendaji wake wakati wa uwaziri na kutenguliwa kwake unaonesha hilo, hawafanyi kazi kwaajili ya wananchi, ni ili waendee kubaki na uheshimiwa wa juu kabisaYaani kumbe shida ni hiyo? Vyuo vya certificate vifunguliwe tu tubaki wachache
Still bado ni muheshimiwa sio yeye hata wengine kwenye page zao hujiaddress hivyo sawa muheshimiwa Numbisa
Sasa hapa ndio unapoleta mkanganyiko hii ni personal attack una lako jambo na Muheshimiwa Ummy Mwalimu au alikunyima kazi ya kumuandikia kwenye page zake?π€£π€£πΉ Mkuu bwana, kwahiyo unaniona bozooo kuleta mada hii hapaππ anyhu, uheshimiwa mtamu, alichoweka hapo na utendaji wake wakati wa uwaziri na kutenguliwa kwake unaonesha hilo, hawafanyi kazi kwaajili ya wananchi, ni ili waendee kubaki na uheshimiwa wa juu kabisa
Mbali na kutoelewa maelezo hata picha pia imekushinda MkuuπΉπΉ, au nimeandika kilugha hadi wengi mnamiss the pointπ€Wewe ndio umetafsiri tofauti.hata wewe ukitaka kujiita mheshimiwa kwenye level ya familia yako unaweza kujiita tu bila kuathiri jambo lolote.
karibu sana Jimboni gentleman πSawa muheshimiwa wa JF
Personal attak kwa kusema aache wengine wanaoona anastajili wamuaddress kama mheshimiwa?π€£π€£π leo kweli nimewakeraSasa hapa ndio unapoleta mkanganyiko hii ni personal attack una lako jambo na Muheshimiwa Ummy Mwalimu au alikunyima kazi ya kumuandikia kwenye page zake?
Ntakusabua muache kumsema fibaya muheshimiwa mbungePersonal attak kwa kusema aache wengine wanaoona anastajili wamuaddress kama mheshimiwa?π€£π€£π leo kweli nimewakera
Mwanasheria msomi huitwaje. He is a Lawyer by professional, how would you address a senior lawyerSoma tena uelewe
Jimbo lako ni lipi MMU?karibu sana Jimboni gentleman π
"Suala la kuchanganya picha za kuzusha zinazorushwa katika mitandao. Ndugu zangu Watanzania, kama kunarushwa picha ya uongo katika mitandao. Katika maeneo yenu kuna wakuu mbalimbali wapo, lakini hakuna anayekanusha kwamba hiyo picha siyo ya leo, kwamba hiyo hospitali au hilo eneo sasa hivi liko kwenye hali hii na ikapigwa picha ikaingizwa kuondoa ule upotovu uliofanywa, sijui tunaelekea wapi. Kwamba mpaka aje Rais na Mawaziri wasimame wakanushe wakati mnaozuliwa hiyo hali mpo, hii siyo sawa,β Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu HassanKamuita nani na account ni yake?π
Yaani mimi pia ilipa wakati mgumu kutambua kuwa ni nani ana address hii taarifa nilipoona account name na jinsi tukio linavyo tolewa taarifa. Kwamba kama mtoa taarifa anamtolea taarifa mheshiwa mwingine?Kamuita nani na account ni yake?π
mimi siwezi kubabaika na narratives ambazo ni useless ati sijui nyumbu ama chawa, ambazo kwakweli hazina athari kwenye siasa za Tanzania..π€£π€£ aiiiii, ila sishangai chawa upo kazini, aendelee kujiita hivyo tutaona nini kinafuata hasa ukizingitia ni Mbunge kiazi
hiyo si platform gentleman? πJimbo lako ni lipi MMU?
Umechukua jimbo la Jukwaa la Siasa?hiyo si platform gentleman? π