Hahahaha.Nimemsikia mheshimiwa Rais mwenye Akili Uhuru Mwigai Kenyata
Akisema:kwanzia leo Raia wa afrika mashariki atakuwa na haki kama mkenya,ataishi,kufanyakazi,kuwekeza na hata kuoa kwa kutumia Kitambulisho pekee.
Hii inaonyesha Rais huyu alivyo na upeo wa mbali na roho ya utu na pia upendo wa watu wa afrika mashari.
Kenya ni sawa na unga wa mahindiSawa, ngoja tusubiri tuone Kenya iwe Dubai ili watupunguzie gharama ya nauli kwenda Dubai. Si ni Kenya hii hii iliyokazania single tourist visas, tulipokataa wakatukashifu sana na kusema wanaendelea na Uganda, Rwanda, leo kikowapi?, wameanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, wakati pato la utalii la Tanzania ni sawa sawa na mapato ya nchi zote tatu kwa pamoja.
Unamaanisha upoupo kwanza? we jinafasi kwa yule dada tajiri anayesumbuliwa na KagameRwanda wakitangaza hivyo hiyo itakuwa fursa kwangu ya kwenda kuoa Mwanamke wa kinyarwanda
hakika!Kenya ardhi yote inamilikiwa na matajiri wakubwa hawana ardhi wanataka tuingie kingi waje kupora ardhi yetu
Kweli kabisa mkuu, ujanja Ujanja umekwishaKenya will never succeed over Magufuli.. Magu anaakili mpk anaboa.. [emoji23][emoji23]
Jifanye umotokea Libya mkuu utaingia free na kagame atakupa mtoto wake mmoja. Hana roho mbaya yule.Rwanda wakitangaza hivyo hiyo itakuwa fursa kwangu ya kwenda kuoa Mwanamke wa kinyarwanda
Atakae kwenda Kenya kuwekeza atakuwa kapoteza pesa zake. Sehemu ambayo aina usalama hakuna Tajiri mwenye pesa ya mchezo wa kwenda kuwekeza pale. Mpaka sasa kisiasa pamekaa vibaya sana na ndio maana Bomba la mafuta walikataa lisipite kwa sababu ya usalamaHivi umemsikiliza Kenyatta?amesema sera hiyo haijali kama nchi nyingine itafanya nini maana yake hata Tanzania ikiendelea kuwakatisha work permit Wakenya hapa Tanzania lakini Watanzania Kenya watafanya kazi, watafanya biashara na kuanzisha viwanda bila hizo bughudha.
Hatari yake matajiri wengi wataopt kubase Kenya ukizingatia utawala wao wa kisheria upo stable hivyo mali zao zitakuwa salama zaidi Kenya kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki na Kati.
Na wewe kweli unachangia mada kweli,hii aibu kubwa sana wewe kuitwa mtanzaniaAtakae kwenda Kenya kuwekeza atakuwa kapoteza pesa zake. Sehemu ambayo aina usalama hakuna Tajiri mwenye pesa ya mchezo wa kwenda kuwekeza pale. Mpaka sasa kisiasa pamekaa vibaya sana na ndio maana Bomba la mafuta walikataa lisipite kwa sababu ya usalama
Akili zako ni sawa na Jina unalotumiaNa wewe kweli unachangia mada kweli,hii aibu kubwa sana wewe kuitwa mtanzania
Jenga hoja acha stress Kenya ukawekeze wapi???unaijua kenya au unakunywa balimi unasema ukawekeze...uskae nyuma ya keyboard na kutype upuuzi....?hivi unajua ata matajiri wa Kenya wamekosa fursa pale wamekmbilia south sudan acha kuropoka ujinga usioujua....huyo Kenyata unayemshabikia na Kina Nyayo... Biwot n Co wameshka kila sector usropoke ujinga kwa usivyovijua tembea uone na fanya utafti kabla haujatype[/QUOTE
Wewe nae upofu wako wa kutoweza kuona fursa usidhani ni kila mtu. Acha wenye upeo wa kuona fursa wakawekeze na usijifanye kujua sana na kufikiri kwa niaba yao. Tatizo umekariri kuwa uwekezaji ni katika ardhi tu, acha mawazo mgando.
Mkuu hawa ndio wenye mawazo hasi ya unyonge unyonge tu, nachukia sana watu wanaodhani kuwa kwa kutoweza kwao basi kila mmoja hawezi.Na wewe kweli unachangia mada kweli,hii aibu kubwa sana wewe kuitwa mtanzania
Hahahha Nairobi pako fully adi uswazi Kibera na Matharengoja nijiandae kuhamishia makazi yangu nairobi