Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

Aah anakutoa out na unakubali?? "aaah sawa
 
Saa nyingine ni kua jamaa anakukubali tu, anatamani kua kama wewe, wenye ajenda zao huchelewi kuwajua.

Ila jamaa kama wa huyu mleta uzi inachukua muda kumuelewa na unaweza usimuelewe kabisa, ukamuwazia vibaya nk jinsi anakuheshimu na kukujibu kinyeyekevu ukahisi ni shoga kumbe hamna ni vile anakuelewa, anatamani awe na kaka kama wewe.
 
hapo kuna shetani. mwanaume mwenzangu akionyesha kunijali huwa namkwepa, akionyesha ukaribu kama huo wako na huyo dogo ningeshamblock na kumfukuza na kumpa makavu. urafiki wa wanaume huwa ni urafiki wa interest tu, aidha biashara, kazi basi, ila sio urafiki wa kutembeleana as if ni soulmates? mwanaume kama haji kwangu kwa ajili ya biashara au mambo ya kazi kutafuta pesa ndio kituunganishe, kwangu mimi anatafuta nini? hata wale niliozaliwa nao tumbo moja huwa tunaishi kama wanajeshi, sembuse wa kuja? piga vibao huyo dogo, mwambie awe mwanaume aache mambo ya kike.
 
Huwa ananisema kabisa na Mimi atleast per week mara mbili humjulia Hali ili ni balance mzani Kila kitu au Kila hatua anayopiga kwenye maisha must aniambie
Yaah wapo mkuu, kuna rafiki yangu alikua na mchizi kama huyo ila walipotezana kwa chuki kubwa maana rafiki yangu hakumuelewa huyo rafiki yake.
 
Ulitakiwa umuoe Dada yake muunge familia…, sidhani Kama Ana Nia mbaya
 
Siamini kama Kuna mcheza Mpira beki katili alafu shoga na mvuta Bangi alafu shoga

Sjui tu Huwa ananichukuliaje alafu kwao wote tu Huwa Wananipenda ila yeye amezidi
Sol Campbel, Michael Essien + Puyol wote mangapu na list kubwa inakuja soon.

Endelea na ukatiri kataa kupendwa bwana Njemba.
 
Mimi nadhani anakuchukulia kama kaka yake pengine kutokana na jinsi ulivyo.

Ila mambo ya Ushoga yanasababisha watu wasipendane.
 
Ni kawaida kwakweli
Huenda mna bond nzuri sana na yeye ni kawaida yake kuwa mtu wa kujali kuliko wewe

Kuna watu wako hivo wakimuamini mtu hua wanajali sana
Huenda pia kunavitu vidogovidogo Huwa unamshauri kwako vilikuwa vya kawaida ila kwake vikawa na maana sana so anakuona kama mtumuhmu kwake
 
Hakuna baya,je wewe unawaza nini juu ya hilo suala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…