Hatimae waziri wa fedha Kwasi Kwarteng ametolewa mbuzi wa kafara na amejiuzulu mchana huu.
Kwarteng ameshika nafasi hiyo kwa wiki tano tu.
Hakika imekuwa ni vigumu sana waingereza kumpa nafasi mtu mweuzi kuongoza moja ya nafasi nyeti za serikali ya nchi hiyo.