Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Geezer....
Hawa watu vimelea hawataelewa hii cockney slang...
Waache tu waendelee kuelea...
safi naenda kuishi huko ambako wabunge na mawaziri wanaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na mtu anajihudhuru,si hapa uwoga tu na kujipendekeza ndiyo miongoni mwa sababu tunachelewa kuendelea.Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
View attachment 2392829
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na kumtaka ajiuzulu.
----
Liz Truss resigns as prime minister
Liz Truss has resigned as prime minister and will step down after a week-long emergency contest to find her successor, she has announced outside Downing Street.
It follows a turbulent 45 days in office during which Truss’s mini-budget crashed the markets, she lost two key ministers and shed the confidence of almost all her own MPs.
Her statement came after she met Graham Brady, the chair of the 1922 Committee of backbench Tory MPs at Downing Street, followed by her deputy PM, Thérèse Coffey, and the party chair, Jake Berry.
Truss said she had entered office with “a vision for a low-tax, high-growth economy that would take advantage of the freedoms of Brexit”.
She went on: “I recognise that, given the situation, I cannot deliver the mandate on which I was elected by the Conservative party. I have therefore spoken to His Majesty the King to notify him that I am resigning as leader of the Conservative party.
“This morning I met the chairman of the 1922 Committee, Sir Graham Brady. We’ve agreed that there will be a leadership election to be completed within the next week. This will ensure that we remain on behalf to deliver our fiscal plans and maintain our country’s economic stability and national security. I will remain as prime minister until a successor has been chosen.”
Chanzo: The Guardian
Njaa mbaya babasafi naenda kuishi huko ambako wabunge na mawaziri wanaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na mtu anajihudhuru,si hapa uwoga tu na kujipendekeza ndiyo miongoni mwa sababu tunachelewa kuendelea.
Ndio yeyeHivi huyu Maghayo ndiyo yule aliwahi kuhonga sh 7528 au nimechanganya?
Kwa ajili yako unadhani viongozi wanakuwa 100%? Wewe ukiwa Waziri utakuwa sahihi kwa asilimia Mia? Kama hapana then ukifanya Jambo ambalo taratibu mliojiwekea inakataza unatakiwa kuwajibika...simple and clear.Hakuna cha demokrasia wala uwajibikaji hapo, kama mawaziri wakuu wanajiuzulu kwa kutomaliza mihula,hilo ni tatizo siyo demokrasia. Ni udhaifu katika uandaaji wa viongozi
Ni kweli,lakini ninaamini uongozi ni kusimamia sera ili kufikia malengo mliyojiwekea kwa kufuata katiba(kanuni,miongozo na taratibu).Kwa ajili yako unadhani viongozi wanakuwa 100%? Wewe ukiwa Waziri utakuwa sahihi kwa asilimia Mia? Kama hapana then ukifanya Jambo ambalo taratibu mliojiwekea inakataza unatakiwa kuwajibika...simple and clear.
Siyo sisi mpaka unamsikia DED anashutumiwa kuua huko kanisani lakini bado yupo kazini, sijui anaongoza akina Nani.
Kuna mmoja alisema kwamba kama wananchi hawamuamini waende wakamuue!Huku kwetu mpaka watolewe na greda huko maofisini.
Unajisikiaje kutukana alichokiumba Mungu kuwa kimejaza funza kichwani? Inauma kuona vijana wa kitanzania wakikosa uvumilivu wa hoja badala yake hutumia matusi yanayodhalilisha utu na uumbaji.Warusi wa kwa mtogole bwanaaa, mmejaza funza kichwani...
Mbowe anaongoza serikali ww mama ?Kajiuzulu sababu chama chake kimepoteza imani kwake
Huku kwetu akina Mbowe na Mbatia hata vyama vipoteze imani kwao hatoki mtu hajiuzulu mtu
Sunak ameishapata watu 100 hebu tusubiri mpambanoBoris Johnson anazidi kujizolea hadharani uungwaji mkono wa wabunge wa Conservative ili kurejea kwenye uwaziri mkuu.
Acha bangi.Watoto wa wauza watu.....hawata kaa salama!.....damu takatifu ya wana somalia. kenya, Liberia, Nigeria,Haiti,Australia, msumbiji,DRC nk....haitawaacha salama ndo inawatafuna ivo...mbona huo mwanzo tuu. Ombeni msife haraka.... mshuhudie mengi mnooo! !Kwanza vizalio vimeziba. hawazai...wanazidi kwisha.pigo la kwanza hilo sasa hili ni la pili......yakifika saba kwisha thamani yao........subirini tu mtanikumbuka....km mkiweza nendeni muwahi.mijengo.na viwanja vya downing street!
Huyu jamaa sio mzima daah kweli CCM kuna mitamboMbowe anaongoza serikali ww mama ?
aliwe wapi anakiburiiii huyo???...utakula mtu ana kiburi ivo..hebu piga picha ulete mrejesho....!@@ kwani weye ndo miss zomboko?? Mna fananaaa!!! Heee! Au mdogo wako mwaya!Lala ukiamka umeshaliwa
Lazima utakuwa na damu yao wewe!! Si bure avatar tu yaonyesha......unajua nyie rahisi sanaa kuwajua......ajabu sasa wao hao....hawa wapendi km nini!!!...tulieni huku kwa babu zenu weusi.....hamtaki...mnatuona Bangi..tutawaache muende muumie.....make hamsikiii!Acha bangi.