Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

"Kuandaa" viongozi ni tabia na mfumo wa Kikomunisti.
Hakuna cha demokrasia wala uwajibikaji hapo, kama mawaziri wakuu wanajiuzulu kwa kutomaliza mihula,hilo ni tatizo siyo demokrasia. Ni udhaifu katika uandaaji wa viongozi
 
Hali ya maisha ndio inafanya iwe hivyo watu wanataka mtu mwenye nguvu ya kutuvusha hapa

Maisha yamekuwa juu sana na Liz sio wa kutuvushaaa
Mulete muzungu Boris
Hali inajulikana wazi ni issue ya vita kati ya Ukraine na Urusi..means hata anaye kuja hato badili chochote..naye atajiuzulu..then what? Wazungu ni wapumbavu tu sometimes
 
Wajuzi wa mambo;
1. Vp, urusi inahusika kwa namna moja au nyingine?!!!
2. Hv uingereza ataweza kutawala nani?!!! Kama demokrasia ipo hv mbona huu ni shida sasa hii?!!!
 
Kujitambua ndo viongozi wao wanajiuzulu kila siku?
unashindwa kuweka mazingira ya serikali kujiingizia kipato unalazimisha tozo unasema wananchi wamekubali kisa umewalipa rushwa wabunge ili wakubali.

wakat serikal ina maeneo kibao wangefunguq viwanda hata vya nguo na viatu na vingetoka ajira na pia vingewaingizia mapato pia tuna mashamba sasa wanayagawa kwa raia bure bure raia hawayatumii ipasavyo wkt wangefungua large scale agriculture either ufugaji wa samaki /kuku au kilimo cha vyakula /viungo pia ingetoa ajira na kuingizia serikali kipato.

pia serikali ingekuwa timamu ingekuwa na maduka makubwa ndan ya majengo ya halmashaur zote za Tz , kambi zote za jeshi , maofisi makubwa, vyuo , pia hata serikali ingekuwa na mfumo wa kufungua kumbi / viwanja vya michezo kweny viwanja vyao wanakodisha.

YAAN VIONGOZ WA BARA LA AFRIKA WANAHISI WANAITAWALA AMERICA KWENY UKUSANYAJ WA MAPATO , WKT WENZAO WA MBELE WAMEWEKA KILA NAMNA YA KUPATA MAPATO HATA MALAYA ANALIPIA KODI , ILA SISI TUNAJIKUTA WATAKA TIFU NA TUNAKOPESHWA HIZO KODI ZA MALAYA
 
Msimpe Putin sifa ambazo hastaili! Vita ya Ukraine na Russia ni vya siku za karibuni. Hii kuondoa ni toka Tony Blair.

-Tony Blair ali resign akachukua Gordon Brown.
  • Gordon Brown akaondolewa kwenye uchaguzi baada ya kipindi na Cameron.
  • Cameron ali resign akachukua Theresa May.
  • Theresa May ali resign akachukua Boris Johnson.
  • Boris Johnson ali resign akachukua Liz Truss.
  • Liz Truss ame resign anachuwa ____
 
Putin shikilia hapoo hapoooo, wazungu washanyooka, safiii, bado Rais wa Ufaransa, muda si mrefu atajiuzulu tu..
 
Hali inajulikana wazi ni issue ya vita kati ya Ukraine na Urusi..means hata anaye kuja hato badili chochote..naye atajiuzulu..then what? Wazungu ni wapumbavu tu sometimes
Mkuu unajua kuna watu wanataka kununua nyumba na wamejiwekea miaka ili waweke down payment ila sasa hawawezi kwa sababu interest ilikuwa 4.75% na basda ya ile mini budget ya Kwasi akapandisha mpaka 6.65% huoni kuna tatizo hapo

Acha tule vichwa vya samaki maana we cannot afford fish anymore [emoji22]

Mambo ya Ukraine sawa na ni la Dunia ila hapa kuna tatizo la utawala kwa sasa
Umeona wamejiuzulu wangapi tangu waanze haya

Tunapambana mkuu ingawa maisha magumu lakini yatapita na haya
 
Illiterates kama nyie ndio mnaofurahiwa na CCM, na ndio maana mnakanyagwa , mnakula virungu, na tozo juu kwa sababu wanajua kuna mang.ombe wengi wa kuswagwa na kuingizwa kwenye zizi na fimbo juu...
Mnawalazimisha watu washindane na watu ambao wanakuua kila ukijaribu kuwasogelea.yaani watawala wa kiafrika.

Bila shaka mna tatizo la afya ya AKILI.VIONGOZI WA KIAFRIKA SI WATU UNAOWEZA KUJADILIANA NAO,MSIWAPOTOSHE WATU WAKAPOTEZA UHAI WAO KWA KUSHINDANA NA WANYAMAPORI WENYE SUTI.
 
Sasa kwa taarifa yako hiyo siyo ishara ya utimamu. Ni dalili za disfunctional political system. Ni vile tu kwamba washajijengea jina kubwa na historia kama british empire na nyie mnaona kila ujinga wao ni ustaarabu kwenu.
Wafaransa wamewasihi Waingereza wawe watulivu ili mambo yao yaende sawa kama miaka ya nyuma
 
Msimpe Putin sifa ambazo hastaili! Vita ya Ukraine na Russia ni vya siku za karibuni. Hii kuondoa ni toka Tony Blair.

-Tony Blair ali resign akachukua Gordon Brown.
  • Gordon Brown akaondolewa kwenye uchaguzi baada ya kipindi na Cameron.
  • Cameron ali resign akachukua Theresa May.
  • Theresa May ali resign akachukua Boris Johnson.
  • Boris Johnson ali resign akachukua Liz Truss.
  • Liz Truss ame resign anachuwa ____
Mkuu unahangaika bure kuelimisha wasiotaka kuelimika .
Wrnzio kila kitu kibaya kinachotokea ulaya wanakihusha na putin
 
Mkuu unajua kuna watu wanataka kununua nyumba na wamejiwekea miaka ili waweke down payment ila sasa hawawezi kwa sababu interest ilikuwa 4.75% na basda ya ile mini budget ya Kwasi akapandisha mpaka 6.65% huoni kuna tatizo hapo

Acha tule vichwa vya samaki maana we cannot afford fish anymore [emoji22]

Mambo ya Ukraine sawa na ni la Dunia ila hapa kuna tatizo la utawala kwa sasa
Umeona wamejiuzulu wangapi tangu waanze haya

Tunapambana mkuu ingawa maisha magumu lakini yatapita na haya
Geezer....
Hawa watu vimelea hawataelewa hii cockney slang...
Waache tu waendelee kuelea...
 
Msimpe Putin sifa ambazo hastaili! Vita ya Ukraine na Russia ni vya siku za karibuni. Hii kuondoa ni toka Tony Blair.

-Tony Blair ali resign akachukua Gordon Brown.
  • Gordon Brown akaondolewa kwenye uchaguzi baada ya kipindi na Cameron.
  • Cameron ali resign akachukua Theresa May.
  • Theresa May ali resign akachukua Boris Johnson.
  • Boris Johnson ali resign akachukua Liz Truss.
  • Liz Truss ame resign anachuwa ____
Hawawezi kukuelewa, wengi wao putini TP...
Hiyo ni nchi ya wajanja waliokaa tokea karne ya 17 na kuamua kuwa hawahitaji kitu kinaitwa katiba..
Sababu kitawapa washenzi nguvu ya kung'ang'ania madaraka kwa mgongo wa katiba...
Huku wakikuchoka hata hujamaliza wiki baada ya uchaguzi, wanaanza shamrashamra ya kukutolea mbali, hakuna wajinga wa kuwaburuza huku.....
Ajabu ya musa, kila wakitoa kenge, pound inapanda kwenye soko la kimataifa... 🤣
 
Back
Top Bottom