Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
KabisaNaona demokrasia ya Uingereza imekomaa mpaka imeanza kuharibikia shambani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaNaona demokrasia ya Uingereza imekomaa mpaka imeanza kuharibikia shambani.
Nchi ishakuwa ya kitaahira sasa hv hiyo
I wish chadema wangekua hiviNaona demokrasia ya Uingereza imekomaa mpaka imeanza kuharibikia shambani.
Kikubwa tujifunze huku kwetu uwajibikaji , Viongozi hasa Ministers wanachukua hatua gani, pale mambo yanapowazidi kichwa?. Kule swala la Tozo lingemuondoa mtu..huku kwetu ndy kwanza mtu akilalamikiwa ndy kitambi huongezeka.
Wale waleeeeeeeNchi ya kitaahira ni inayoweza kutawaliwa na mtu mmoja au chama kimoja kwa zaidi ya miaka 20
Kwanini?I wish chadema wangekua hivi
kwa hiyo naye anahesabiwa ni mstaafu na anakula pension ya PM mpka kufa kama ilivyo bongo?Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
View attachment 2392829
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na kumtaka ajiuzulu.
----
Liz Truss resigns as prime minister
Liz Truss has resigned as prime minister and will step down after a week-long emergency contest to find her successor, she has announced outside Downing Street.
It follows a turbulent 45 days in office during which Truss’s mini-budget crashed the markets, she lost two key ministers and shed the confidence of almost all her own MPs.
Her statement came after she met Graham Brady, the chair of the 1922 Committee of backbench Tory MPs at Downing Street, followed by her deputy PM, Thérèse Coffey, and the party chair, Jake Berry.
Truss said she had entered office with “a vision for a low-tax, high-growth economy that would take advantage of the freedoms of Brexit”.
She went on: “I recognise that, given the situation, I cannot deliver the mandate on which I was elected by the Conservative party. I have therefore spoken to His Majesty the King to notify him that I am resigning as leader of the Conservative party.
“This morning I met the chairman of the 1922 Committee, Sir Graham Brady. We’ve agreed that there will be a leadership election to be completed within the next week. This will ensure that we remain on behalf to deliver our fiscal plans and maintain our country’s economic stability and national security. I will remain as prime minister until a successor has been chosen.”
Chanzo: The Guardian
Kwa hili povu dawa inafanya kaziToa utumbo wak hapa inahusianaje mambo haya na putin, putin mwenyew taaban hana jeshi hana silaha anakodi silaha kutoka Iran ata mwaka vita haijafika kajichokea nafsi yake
Kamua baba kamua babaaaEndelea kubaki na akili zako za kidikteta za kiputin, utaendelea kubaki nyuma gizani daima ukiyashangilia madikteta
Huko ndio hawana akili kabisa. Unafaham ni pesa kiasi gani inapotea kwa huu upuuzi. Bora jamaa na vitenge vya mama bonge azidi kukaza.Huko Wana akili timamu sio huku
Illiterates kama nyie ndio mnaofurahiwa na CCM, na ndio maana mnakanyagwa , mnakula virungu, na tozo juu kwa sababu wanajua kuna mang.ombe wengi wa kuswagwa na kuingizwa kwenye zizi na fimbo juu.Sasa kwa taarifa yako hiyo siyo ishara ya utimamu. Ni dalili za disfunctional political system. Ni vile tu kwamba washajijengea jina kubwa na historia kama british empire na nyie mnaona kila ujinga wao ni ustaarabu kwenu.
Kujitambua ndo viongozi wao wanajiuzulu kila siku?
RUSSIA kamatia hapo hapo
Wapi mk254 aje kwahuku aone putin effect inavyowafagia
Nyinyi mbulula , hivi mnajua hata ni sababu gani imemfanya ajiuzuru...au mnashoboka na putini kwa jinsi ya ufinyu wa kuelewa siasa za UK...Nikikumbukaga wale walokua wanasema Putin atatolewa madarakani na raia wake sasa yamekua kwao wenyewe.