Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Na bado simmekubalikuburuzwa na Beberu mkuu,pambaneni na hali yenu🥱Walijua watamvuruga Putin kumbe wanajivuruga wao wenyewe, watu wanafurahia pale Ukraine wakiachiwa vipande vya ardhi hawajui bwana Putin anacheza hili game ndani na nje ya uwanja tena acha hii vita iendelee kua ndefu ili wavurugane vizuri mabeberu, hadi beberu mkuu akatolewe kamasi..........Ulaya wakija kuamka wataacha kumuendekeza Mmarekani na kuanza kufatilia maslahi yao na wananchi wao,,,,,huku kwingine mfaransa na mjerumani wameshanunianaView attachment 2392795View attachment 2392796