mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 513
- 338
Kwakuwa sijasifia auHuwezi kujua. Mambo mengine yapo juu ya uwezo wako wa kuchanganua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa sijasifia auHuwezi kujua. Mambo mengine yapo juu ya uwezo wako wa kuchanganua.
Very positive politics for the benefits of people.Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
View attachment 2392829
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na kumtaka ajiuzulu.
----
Liz Truss resigns as prime minister
Liz Truss has resigned as prime minister and will step down after a week-long emergency contest to find her successor, she has announced outside Downing Street.
It follows a turbulent 45 days in office during which Truss’s mini-budget crashed the markets, she lost two key ministers and shed the confidence of almost all her own MPs.
Her statement came after she met Graham Brady, the chair of the 1922 Committee of backbench Tory MPs at Downing Street, followed by her deputy PM, Thérèse Coffey, and the party chair, Jake Berry.
Truss said she had entered office with “a vision for a low-tax, high-growth economy that would take advantage of the freedoms of Brexit”.
She went on: “I recognise that, given the situation, I cannot deliver the mandate on which I was elected by the Conservative party. I have therefore spoken to His Majesty the King to notify him that I am resigning as leader of the Conservative party.
“This morning I met the chairman of the 1922 Committee, Sir Graham Brady. We’ve agreed that there will be a leadership election to be completed within the next week. This will ensure that we remain on behalf to deliver our fiscal plans and maintain our country’s economic stability and national security. I will remain as prime minister until a successor has been chosen.”
Chanzo: The Guardian
One thing nakubaliana wewe: ni muungwana kaamua isiwe tabu. Yapo maisha ya utulivu zaidi nje ya uprime minister.hapana, political system inafanya kazi, ndiyo maana amevurunda, amejiuzuru. kama ingekuwa haifanyi kazi, angesema samahani halafu anarekebisha na kuendelea. N a kweli alijaribu kufanya hivyo lakini system ikamwambia NO.
Sema ndani ya conservative hawako makini kwenye uchaguzi wao
Wakati anaomba madaraka, aliyajua yote hayo akaahidi ataweza. Hakuna jipya lililotokea, vita ilikuwepo. Kashindwa. muungwana kajiuzuru
Ndio uwajibikaji, siyo jitu linasema muhamie Burundi bado liko ofisini!
Uongozi shughuli oevuJana kakaza mishipa kwamba yupo ngangari kumbe utopolo tu kmmqe
Acha,kumbe hana korodani alikuwa anajifariji tuUongozi shughuli oevu
Ni mwanamkeAcha,kumbe hana korodani alikuwa anajifariji tu