Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Miafrika😀😂😂bhana inapenda madaraka wakati kuongoza Ni ziroHuku kwetu haitakaa itokee. Aingie kwenye ''ulaji'' kabla hajala akubali kuondoka? Labda afe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miafrika😀😂😂bhana inapenda madaraka wakati kuongoza Ni ziroHuku kwetu haitakaa itokee. Aingie kwenye ''ulaji'' kabla hajala akubali kuondoka? Labda afe!
Tumembia twende BurundiKujutambua na demokrasia
Dah naona Saguda47 mtu wangu amelike. Kumbe Mwamba hupo?Putin huyo qmmmmq
Tupate chaguo la wananchiIli iweje
Mimi mwenyewe
Huwezi kujua. Mambo mengine yapo juu ya uwezo wako wa kuchanganua.Halafu mnjiwazia nyie tu Kwani Hilo Lina faida gani kwa wananchi mpaka mfurahie
Kujitambua ndo viongozi wao wanajiuzulu kila siku?Kujutambua na demokrasia
Sasa kwa taarifa yako hiyo siyo ishara ya utimamu. Ni dalili za disfunctional political system. Ni vile tu kwamba washajijengea jina kubwa na historia kama british empire na nyie mnaona kila ujinga wao ni ustaarabu kwenu.Huko Wana akili timamu sio huku
FactSasa kwa taarifa yako hiyo siyo ishara ya utimamu. Ni dalili za disfunctional political system. Ni vile tu kwamba washajijengea jina kubwa na historia kama british empire na nyie mnaona kila ujinga wao ni ustaarabu kwenu.
mwamba hanaga noma mtuDah naona Saguda47 mtu wangu amelike. Kumbe Mwamba hupo?
Wapi mk254 aje kwahuku aone putin effect inavyowafagiaWaziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na kumtaka ajiuzulu.
---
Liz Truss is to issue a statement resigning as prime minister after just 45 days, following the near-complete evaporation of her political authority, a process begun by last month’s disastrous mini-budget. “It’s over,” a source said.
Truss, who would become the shortest-serving prime minister in UK history, has been under pressure from Tory MPs to quit after the resignation of Suella Braverman as home secretary and as the Tory party plunged into chaos.
It is unclear whether she will step down immediately or set out a timetable for departure, with the Conservative party so far unable to coalesce around a successor, although Rishi Sunak, Jeremy Hunt, Penny Mordaunt and Ben Wallace have all been mentioned as possible successors.
The final straw for many Tory MPs appeared to be the chaotic scenes on Wednesday, in which a vote on a Labour motion over fracking saw mayhem in the voting lobbies, with shouting and jostling. Afterwards, a dozen or more Conservative MPs who rebelled did not even know whether they still had the whip.
This came just five days after Truss sacked her chancellor, Kwasi Kwarteng, replacing him with Jeremy Hunt, the former foreign secretary and health secretary.
Truss made Kwarteng take the blame for September’s mini-budget, despite it being widely seen as a joint project. A panicked market reaction to the £45bn of largely unfunded tax cuts caused the pound to slump and the cost of new government debt to soar.
Truss, facing a mutiny by her MPs as mortgage costs rocketed, sacked Kwarteng but was unable to explain why she should stay on when the tax-cutting measures had been strongly advocated by her as well.
Another humiliation came when Hunt announced the scrapping of almost all the tax cuts, and the scaling back of Truss’s flagship scheme to cap energy bills, in an attempt to restore stability.
Source: Liz Truss to quit as prime minister
BBCChanzo?
Tangu lini?🤣Mimi mwenyewe
Kweli kabisa. Unajua ni kwa nini wanapenda madaraka? Kwa sababu kuwa kwenye madaraka kwa mwafrika ni kutumbua maisha. Ingekuwa wanawajibika ipasavyo wasingeng'ang'ania kwani kazi yoyote huchosha.Miafrika😀😂😂bhana inapenda madaraka wakati kuongoza Ni ziro