Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

Hata hapa kwetu huyu mvaa mishungi alipaswa kujiuzulu kitambo sana.
Tokea aingie madarakani uchumi umeyumba sana lakini kwa sababu ya siasa za watu weusi bado yupo tena anajipigia mapambio kila siku.

Ingekuwa ni Ulaya, wangeshamtoa siku nyingi walahi!
 
Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake

Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022

Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na kumtaka ajiuzulu.

----

Liz Truss resigns as prime minister

Liz Truss has resigned as prime minister and will step down after a week-long emergency contest to find her successor, she has announced outside Downing Street.

It follows a turbulent 45 days in office during which Truss’s mini-budget crashed the markets, she lost two key ministers and shed the confidence of almost all her own MPs.

Her statement came after she met Graham Brady, the chair of the 1922 Committee of backbench Tory MPs at Downing Street, followed by her deputy PM, Thérèse Coffey, and the party chair, Jake Berry.

Truss said she had entered office with “a vision for a low-tax, high-growth economy that would take advantage of the freedoms of Brexit”.

She went on: “I recognise that, given the situation, I cannot deliver the mandate on which I was elected by the Conservative party. I have therefore spoken to His Majesty the King to notify him that I am resigning as leader of the Conservative party.

“This morning I met the chairman of the 1922 Committee, Sir Graham Brady. We’ve agreed that there will be a leadership election to be completed within the next week. This will ensure that we remain on behalf to deliver our fiscal plans and maintain our country’s economic stability and national security. I will remain as prime minister until a successor has been chosen.”

Chanzo: The Guardian
Issue ya Tozo na gharama kubwa za maisha hapa TZ zilipaswa kuondoka na rais Samia na Mwigulu ila bongo yetu ndiyo hivyo tena.
 
Sawa, ila aina hii ya siasa ukiileta bongo mtashangaa mtakavyokuwa kama Somalia. Niamini stability ni kitu cha muhimu sana. Hao wangereza wanaafford kujiuzulu na kubadilishana kiholela hivyo kwa sababu kuna mifumo mingine inayowabeba.
Huku kwetu majizi ya Kodi zetu na kashfa lukuki...mbona hakuna anayejiuzuru....huko ng'ambo wanajua uongozi Ni kwa ajili ya watu...mtu akishindwa Ni kung'atuka tu
 
Toa utumbo wak hapa inahusianaje mambo haya na putin, putin mwenyew taaban hana jeshi hana silaha anakodi silaha kutoka Iran ata mwaka vita haijafika kajichokea nafsi yake
Huwezi kufikiria hata kidogo?huyo waziri mkuu kwashindwa kuja na mipango ya maana kusaidia uchumi wao unaoyumba Kwa Sababu ya hii vita.sasa ili maafa yasiendelee waache Putin ashinde na waongee naye amalize vita.maana Putin lazima ashinde.
 
Huku kwetu majizi ya Kodi zetu na kashfa lukuki...mbona hakuna anayejiuzuru....huko ng'ambo wanajua uongozi Ni kwa ajili ya watu...mtu akishindwa Ni kung'atuka tu
Kwani Liz Truss kashindwa nini? Sera zake za kiuchumi hata hawajazipa muda kuona matokeo yake, kelele za watu zikamvuruga ndio akaonekana amepwaya? Hapa kwetu tuna matatizo yetu ndiyo nayo yatajitaji mwarobaini wake, lakini si lazima iwe kama style wangereza.
 
Kwa utaratibu na katiba yao, anapojiuzuru kama kiongozi wa chama anapoteza uwaziri mkuu pia.
Maana yake waziri mkuu lazima awe kiongozi wa chama.
sisi kina MGURU wanavurunda halafu eti wanarekebisha halafu tunawapigia makofi!

 
Waingereza bado sana kwenye demokrasia.Ni taifa changa lile.Waje kujifunza Tanzania "dona kantle"!
 
Sasa kwa taarifa yako hiyo siyo ishara ya utimamu. Ni dalili za disfunctional political system. Ni vile tu kwamba washajijengea jina kubwa na historia kama british empire na nyie mnaona kila ujinga wao ni ustaarabu kwenu.
hapana, political system inafanya kazi, ndiyo maana amevurunda, amejiuzuru. kama ingekuwa haifanyi kazi, angesema samahani halafu anarekebisha na kuendelea. N a kweli alijaribu kufanya hivyo lakini system ikamwambia NO.
Sema ndani ya conservative hawako makini kwenye uchaguzi wao
Huwezi kufikiria hata kidogo?huyo waziri mkuu kwashindwa kuja na mipango ya maana kusaidia uchumi wao unaoyumba Kwa Sababu ya hii vita.sasa ili maafa yasiendelee waache Putin ashinde na waongee naye amalize vita.maana Putin lazima ashinde.
Wakati anaomba madaraka, aliyajua yote hayo akaahidi ataweza. Hakuna jipya lililotokea, vita ilikuwepo. Kashindwa. muungwana kajiuzuru
 
Back
Top Bottom