Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Usiwe na wasiwasi hivyo jiamini anaetishiwa hatishiki kwanza amekalia pote la mbali liwalo na liwe
Haya ni manyunyu mkuu naomba udiyapuuze, amini nikuambiayo kuwa nchi zote za Ulaya zitatoa kauli kama hii, sasa sikilizia 2020.
Hawa ni watu makini sana, haya matukio yataunganishwa na mengine ndipo wachukue hatua.
Nchi yangu nzuri inaelekea kubaya Mungu atunusuru.
 
Embu soma vizuri alichoandika tena huyo bibi analaumu serikari kwa kuondoa wagombea ambao wote walirudishwa.

Analaumu serikari kwa maamuzi ya upinzani kujitoa, hata baada ya kubembelezwa mbele ya dunia.

Inawezekana huyu mama kachoka kuishi Tanzania anatafuta sababu za kutunga aichokoze serikari arudishwe kwao kama anavyotaka.

Maana hakuna la maana analoongea.

Kama ana ku-miss kwao atume tweet kushiriki mjadala unaondelea huko chief Rabbi amemponda kiongozi wa labour kwa madai ya anti semitism swala ambalo limewakera Jewish community wanao support labour na sehemu kubwa ya jamii kwa kuingiza dini kwenye siasa

Lakini kwa hili la uchaguzi ukisoma hayo malalamiko yake apeleke ushahidi ni kituo gani kilikuwa hakina majina ya wagombea wa vyama vingine na kwa vipi serikari inahusika wapinzani kugoma wakati wametumia muda kweli kuwabembeleza. Sasa kama anao ushahidi mwingine alete.
Baiskeli inapolazimishwa kuwa pikipiki
 
Liko wazi upinzani umeanza tabia za kitoto kutaka kubembelezwa kushiriki kwenye misingi ya demokrasia.

Hakuna mwenye huo muda nao
kwa hali ya kawaida kabisa upinzani umeonyesha ukomavu mkubwa, pale kanuni na taratibu zisipofuatwa kwa nini ukubali kuwa sehemu ya kubariki dhambi.?
 
Tanzania ni Huru lkn mjue ni common wealth country ipo chini ya Queen [emoji146] wa United Kingdom, uhuru rulio pewa una masharti na moja ni democracia, ikiwa hakuna democracia ina maana hatuna uhuru, na hilo mama eti Queen [emoji146] hatolikubali
 
kwa hali ya kawaida kabisa upinzani umeonyesha ukomavu mkubwa, pale kanuni na taratibu zisipofuatwa kwa nini ukubali kuwa sehemu ya kubariki dhambi.?
Wengine utafuta wanasheria makini na kuonyesha were the ‘conflict of interest lies’ mahakamani na kupinga kama issue ni usimamizi.

Swala la wagombea serikari ilikubali makosa na kurudisha wote walioenguliwa, nini zaidi ulitaka wafanye?
 
View attachment 1274916

Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.

My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
Madikiteita haya hayawatishi, saut wanayoisikia ni mabomu, hayo yatawasitua tena sana!
 
Huyu sasa ndio wakuitwa atuelezee mgombea yupi alikuwa disqualified.
Rudia kusoma mkuu ama uliza waelewa wa lugha ufafanuzi. Kwa ufupi wapinzani waliondolewa kwa vigezo vilivyo ratibiwa ama maelekezo maalumu. Huo ujinga uliofanyika hata mtoto darasa la pili anaelewa.
 
Marekani alishamtolea matamko mengi sana hata Museven, nadhani sasa hivi yatakuwa yamejaa file zima, lkn Museven bado anadunda tu pale Uganda.

Point yangu ni kwamba Tanzania haijawa na haitakuwa na hali mbaya kuzidi Uganda.
Sawa mkuu nimekuelewa na nakubaliana na wewe, lakini bado nina wasiwasi sana na hawa watu. Pengine maslahi ya Ug na Tz yanweza yakawa tofauti mbele ya macho ya hawa watu. Nachokiona sababu bado uchumi wetu hauturuhusu kujitegemea kwa sasa, basi tujitathmini kama kuna sehemu tunakosea si dhambi kurekebisha kwa faida ya vizazi vyetu vijavyo.

Watu na interest zetu binafsi zinapita lakini Tanzania itakuwepo. Tunapotenda ni heri kuangalia sana maslahi mapana ya walio wengi wa sasa na wajao.
 
View attachment 1274916

Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.

My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
kwani inawauma sana eeeee?
 
Rudia kusoma mkuu ama uliza waelewa wa lugha ufafanuzi. Kwa ufupi wapinzani waliondolewa kwa vigezo vilivyo ratibiwa ama maelekezo maalumu. Huo ujinga uliofanyika hata mtoto darasa la pili anaelewa.

Hiyo lugha ya malkia unailewa peke yako kwa fikra zako sisi wote hatujui
 
Wataishia kusikitika la kufanya hakuna juzi marekani leo uingereza kesho canada au pakistani
Sijui kama inajua tofauti ya usiku na mchana.

Hebu niambie:

Unajua maana ya KUJIMWAMBAFAI?
 
Hata na sisi tumesikitishwa mno kwa namna mnavyosikitika.
 
Utakuwa hujitambui wewe.
Why?

Life is not plain sailing for everyone others encounter rough seas; you either deal with the weather or prepare to be battered by the angry sea.

Hizi tabia za kuwadekeza upinzani na kuwa support ata kwenye maamuzi yao ya kijinga amuwajengi bali kuwafundisha tabia za uzembe; na mwishowe kupotezwa kabisa.
 
Back
Top Bottom