Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Katika Group la Watu,kuna Viatu hujitokeza mbeleHawa ni dini moja na madam president, hawezi kuamuru jeshi letu liwashughulikie. Watapewa msaada waendeleze harakati zao.
Wewe tupo njia moja.Vita ya intelijensia...siyo vita ya maguvu!
Yawezekana waingereza wa3 ila wakapewa wajeda wa Msumbiji 300.
Wanaenda kisasa na miwani night vision, mawasiliano, silaha za uhakika, mavazi, chakula kila kitu uhakika.
Hao wala sio ISIS kama walio Syria Au Iraq, hao ni wahuni tu fulani jobless, hawawezi hata kufananishwa na Al-shabaab. Hawa ni mamluki! Kama sungusungu tu!
Everyday is Saturday............................... 😎
Kila kitu ni kujaribu.Kwa Waingereza Kutangaza Kwao tu hivi ( huku ) huyo Raia wao wanayeenda Kumkomboa kutoka kwa hao Magaidi wa ISIS huko Msumbiji wakimpata akiwa Hai ( hajafa ) naogolea Baharini chini kwa chini tu ( kwa Kuzamia ) kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar na kurejea Dar es Salaam tena.
Thanks,kwa hiyo hao ni majambazi tu na yawezekana wala isiwe hao wanaoitwa ISIS bali ni uhuni na fitna imepandikizwa hapo ili watu wafanye kazi yao.....dah hahahahahaha ...nashukuru acceptableWanapewa na hao wazungu ambao wanajidai kutoa misaada!
[emoji33][emoji33][emoji33]Zimbabwe gani tena?Tunasubiri Hollywood watuletee movie yao...
3 commandos in Zimbabwe
Wenye mamlaka za kuamua hayo ndani ya nchi hizo huwa na maslahi binafsi ndo maana hawawezi kuamuru vikosi viingie kazini kama ilivyofanyika Kibiti.Yaani kiukweli mimi huwa sioni mantiki ya sheria za ulinzi wa amani wa UN, kwasababu hawa UN wanajua kabisa kwamba wanasababisha vita kwenye nchi hizi ni wafadhili wa kizungu. Huko Congo ni wazungu ndyo wanafadhili ili waendelee kuchota mali za waCongo. Kwanini nchi husika zisichukue hatua ya kufanya operation kama wanapigana na adui kutoka nchi nyingine ili kuwafyekelea mbali hao watu????
Siku zote IS hawana kazi yenye maslahi yao binafsi. Kuna wakubwa waliunda na wanaendeleza kikundi hiki kwa maslahi ya hao wakubwa. Bila ufadhili wa mabos wao, IS hawana hata chupi.Upo sahihi. Lakini duru zinasema bado mitambo inaendelea kusimikwa. Nikukumbushe mkuu TOTAL ni kampuni ya KIFARANSA wacha tuone mwendelezo wa hao raia wa kigeni wanaopata madhara wanatoka upande gani.
Swali langu ni kwamba hicho kikundi cha wanamgambo kinalinda maslahi yake kama IS au kinachezeshwa gwaride kulinda maslahi ya mzungu?????.
Kila kitu ni kujaribu.
Huenda tayari "survey" imefanywa mateka yupo mahala na huenda kunaandaliwa kiasi cha "ramsom".
Hivyo hawa watatu wanajaribu na bila shaka nyuma yao wana support ya Mozambique army.
Hapohapo wao ndo wataongoza mapigano.
Yule choko nilikuwa simpendi manina zake.... Niliposikia kachapwa risasi nikasema safi, hiyo ndio namna ya kudeal na watu wenye magonjwa ya akili yanayosababishwa na imani.Hapa ndo nawapa hongera Kenya kwa kumwagia risasi za kutosha Aboud Rogo ambaye ndiye roal model wa hawa watu.
Rogo ndie alianzisha huu ujinga huu huku Afrika, ndio maana lilikufa kifo kibaya sana na meno yote nje!!Hapa ndo nawapa hongera Kenya kwa kumwagia risasi za kutosha Aboud Rogo ambaye ndiye roal model wa hawa watu.
Sijaona sehemu katika hii Africa, ambapo mfaransa ameenda kisha pasitokee machafuko..... Mfaransa ni mfitini na kila anapoondoka anaacha laaana ya vita au ugomvi! Mfaransa ni wa kumtafakari sana kufanya nae ushirikiano wa aina yoyote ile....Upo sahihi. Lakini duru zinasema bado mitambo inaendelea kusimikwa. Nikukumbushe mkuu TOTAL ni kampuni ya KIFARANSA wacha tuone mwendelezo wa hao raia wa kigeni wanaopata madhara wanatoka upande gani.
Swali langu ni kwamba hicho kikundi cha wanamgambo kinalinda maslahi yake kama IS au kinachezeshwa gwaride kulinda maslahi ya mzungu?????.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 101.Katika Group la Watu,kuna Viatu hujitokeza mbele
Uislam hauna mafunzo ya Kigaidi
Uislam,ni Dini salama na yenye amani
Hawa ni Makundi yanayotengenezwa kwa ajili maalum kwa faida za Watu maalum
Ninaanza kuhisi huenda wazungu (wazungu hasa wale wanaotoka kwenye nchi zilizoendelea) wanao kuja huku Africa huenda wanafungiwa vifaa fulani vinavyo onesha location; nasema ninahisi/ninafikiria hivyo so huenda hao Waingereza, wanamuona jamaa yao mahali alipoHawa wavaa vipedo pusha si wa kuwadekeza, mkiwadekeza matokeo yake ndio haya.
Hao makomando watatu wako vizuri kiasi Cha kukwepa risasi?
Mkuu; kwani NENO Jihadi hua lina maana gani? Nataka kujifunza kitu hapaKatika Group la Watu,kuna Viatu hujitokeza mbele
Uislam hauna mafunzo ya Kigaidi
Uislam,ni Dini salama na yenye amani
Hawa ni Makundi yanayotengenezwa kwa ajili maalum kwa faida za Watu maalum