UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

Ndio imehalalishwa kwasababu maalum , kama ambavyo Sauli alipewa uhalali wa kuua wa Amaleki, kwahiyo kuua kuna sababu mfano kama hapa vinginevyo utuambie wa Amaleki ni Mbwa sio watu?

Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3
 
Kula hadharani unafaniasha na mtu kukaa uchi? Unaifananisha na ushoga? Hii ndio akili umetumia?

Pia sijui kiwango chako cha elimu, lakini naomba uandike kwa kuweka paragraph
Hata ushoga ni haki za binadamu , muwaache sasa msiwasumbue maana kila mtu ana haki ya kutumia mwili wake bila kudhuru mwengine ndivyo watetezi wa haki za binadamu wanasema, kwahiyo marufuku kuwasema wala kuwa nyooshea vidole wewe si mpigania haki tulia
 
Kama kila mtu angetumia lugha yake basi Qurani Leo hii Karne ya 21 isingekua na maana iliyopo Leo, lugha ya mtume ndio imetumika kulinda kitabu yaan tunalazimka kutumia kiarabu Hasa Kwenye Quran ili kuepusha kila mtu kuchomeka anacho kijua, we chomekea unajua kwinngine ila sio Kwenye Quran na sala, hio imelinda kitabu na dini yenyewe.
 
Hizi aya ziko sawa kabisa hazina tatizo kila moja inasababu yake , ukileta uchokozi utapigwa tu tii masharti utaishi , kama ambavyo hapa kwetu ni makosa kumuingilia mtu kinyume cha maumbile, kwa wengine ni halali tu muhimu mmekubaliana, kwahiyo ukiwa nchi za watu lazima utii mamlaka iliopo kama hutaki ondoka
 

Tulia, kunywa maji, njoo tena huku ukizingatia alama za uandishi wa lugha yako adhimu.
 
Kula chakula unafananisha na ushoga?
 
Mifano yako mbona ni ya kuhusu ushoga tu?
 
Mifano yako mbona ni ya kuhusu ushoga tu?
Kwasababu ushoga ni mfano hai kwa ulimwengu wa sasa, kuna nchi hawautaki na wengine wanautaka japo ni haki za binadamu, hivyo basi hakuna ulazima wa kila haki ya binadamu uipate kila sehemu
 
Vipi kwa waarabu wasio waislam, wana-fit vipi kwenye hiyo nadharia ya kutumia dini kusambaza tamaduni au kup8gania haki?
 
Vipi kwa waarabu wasio waislam, wana-fit vipi kwenye hiyo nadharia ya kutumia dini kusambaza tamaduni au kup8gania haki?

Hivi ni asilimia ngapi ya idadi jumla ya watu?
 
1. Uislamu ni theology ya Ukombozi dhidi ya mifumo kandamizi kama ya Farao, Babylon etc. Hata hizi falme za sasa ambazo zinataka kugeza udhalimu wa falme zilizipita zinajikuta zipo ktk collision na uislamu.

2. Mifumo ya kiuchumi ya kiislamu inapingana na mifumo mingi katili inayonyonya watu, kwa mfano Uislamu unakataza Riba/Interest katakata. Kwa hili peke yake lazima uingie ktk mgogoro na nchi kubwa ambazo backbone ya chumi zake ni riba.

3. Uislamu haujamung'unya maneno kuwa Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke, hili peke yake linaleta ugomvi na feminists

4. Uislamu ni easily adaptable, yaani hata ukilipua nchi kubwa za kiislamu, popote palipo na waislamu watatu, wanateua kiongozi miongoni mwao na struggle inaendelea.

5. Uislamu unafundisha kuwa usidhulumu na wala usidhulumiwe. Kiufupi ni vigumu mno kuwathibiti Waislamu kama wakisimamia misingi ya dini yao, maana inakataza kuwa cowards

ISLAM is a LIBERATION THEOLOGY
 

Nakuelewa vizuri. Ila nitaomba rejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…