UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

Hujui maana ya haki. Wewe kufunga, na Mimi kuendelea kula hadharani hizo zote ni haki zetu. Wewe umefunga kwa imani yako Wala mm sipaswi kujua, Mimi nakula kwa ratiba zangu na navyoona hapo unataka nn tena?

Kutoruhusiwa kupractice public hiyo tu Ni kunyima hazi za wengine wasioamini kwenye uislamu. Unasema maamuzi ya saudia has nothing to do with Islam? Huijui Saudia?

Kila anachozungumza sheikh au padre tunakibeba na kuona ni sheria? Sasa wewe mbona alichofanya huyo sheikh umeona ni Cha kiislamu? Kwa nn usingewaza kuwa alipigania haki ksa utashi wake tu
Mnaongozwa na Quran, kwenye Quran ndio kumehalalisha kuua wasio waislamu, hizi aya nadhani unazijua zinavyoelekeza wasio waislamu wanapaswa kuuliwa, wanaohan
Ma uislamu wanapaswa pia kuuliwa. Kama uislamu ni kupigania haki kwa nini uue watu wasio waislamu au walioamua kuhana uislamu?
Ndio imehalalishwa kwasababu maalum , kama ambavyo Sauli alipewa uhalali wa kuua wa Amaleki, kwahiyo kuua kuna sababu mfano kama hapa vinginevyo utuambie wa Amaleki ni Mbwa sio watu?

Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3
 
Kula hadharani unafaniasha na mtu kukaa uchi? Unaifananisha na ushoga? Hii ndio akili umetumia?

Pia sijui kiwango chako cha elimu, lakini naomba uandike kwa kuweka paragraph
Hata ushoga ni haki za binadamu , muwaache sasa msiwasumbue maana kila mtu ana haki ya kutumia mwili wake bila kudhuru mwengine ndivyo watetezi wa haki za binadamu wanasema, kwahiyo marufuku kuwasema wala kuwa nyooshea vidole wewe si mpigania haki tulia
 
Umeeleza mambo mengi sana. Vizuri sana.
Lakini dhuluma ambayo mnayofanyiwa na waarabu ni kukatazwa kuendesha ibada zenu kwa lugha ya kwako. Wanataka utumie lugha yao ili uendelee kudumisha utamaduni wao ambao unajengwa kwa msingi wa lugha.

Pia kuhusu majina yenu lazima yawe ya kiarabu.

Pia kila mwaka lazima baadhi yenu kuzunguka dunia nzima mnaenda Mecca. Mnaambiwa ukienda huko mnasafishwa na kuwa bila dhambi kama mtoto.
Kama kila mtu angetumia lugha yake basi Qurani Leo hii Karne ya 21 isingekua na maana iliyopo Leo, lugha ya mtume ndio imetumika kulinda kitabu yaan tunalazimka kutumia kiarabu Hasa Kwenye Quran ili kuepusha kila mtu kuchomeka anacho kijua, we chomekea unajua kwinngine ila sio Kwenye Quran na sala, hio imelinda kitabu na dini yenyewe.
 
Ni haki yangu huku sio kule? Kwa Nini huko nisipewe haki yangu kama ulivyosema uislamu unapigania haki za wote?

Ulienda Rwanda huruhusiwi kupractice uislamu public? Uongo huu, hata hvyo kuhusu Rwanda hata makanisa nayo yamepigwa pin. Lakini hapa pia hatulinganishi uislamu na wengine hapa tunazungumzia uislamu kupigania haki za wasio waislamu kama ulivyosema. Hii kulinganisha inaingiaje?

Mimi sio raia wa saudia Arabia natakiwa niheshimu nchi za watu sijawasaidia kupigania nchi yao? Sasa mbona unajikataa mwenyewe uliyesema uislamu unapigania haki za wengine wasio waislamu?
Pia hapa mbona unahalalisha wanayopitia waislamu wachache walio nchi za wengine? Mfano wanayopitia waislamu wa Rohingya kule Myanmar? Na yale wanaopitia kule China? So China na mynamar wapo sawa wanayofanya kwa waislamu? If so, mbona huwa mnalalamika?

Nimesoma wapi .tu kuhama uislamu akauliwa? Unajifanya kipofu au? Hizi cases zipo nyingi tu. Alafu mbona tena unasema mwenye mamlaka ya kuua anayebadili dini ni khalifa, lakini hapo hapo unauliza nimeona wapi aliyehama dini akiuliwa? Mbona unajichanganya?

Watu bil 2 wangeamrishwa kuua pasingekalika? Dunia Ina watu bil 8, hao watu bil 2 wangeua watu wote bil 6 ambao sio waislamu? Pia nani kakuambia kila muilamu anafata kwa usahihi Quran unavyosema?? Quran inakataza kuzini, je hao waislamu bil 2 wote huea hawazini? Quran inakataza watu kuwa washirikina, je hao waislamu bil 2 wote hawafanyi shirki? Quran inakataza ulevi, je hao waislamu wote bil 2 hawafanyi ulevi? Kwa akili yako sababu Quran umesema wasio waislamu wauwawe basi unajua waislamu wote watakubaliana na hilo?

Quran imekataza muislamu kuwa na urafiki na mayahudi na wakristo, imeenda mbali Kuna Aya zinazosema asiye muislamu unatakiwa kuuwawa hizo hapo
View attachment 3186443View attachment 3186445
View attachment 3186446
Hizi aya ziko sawa kabisa hazina tatizo kila moja inasababu yake , ukileta uchokozi utapigwa tu tii masharti utaishi , kama ambavyo hapa kwetu ni makosa kumuingilia mtu kinyume cha maumbile, kwa wengine ni halali tu muhimu mmekubaliana, kwahiyo ukiwa nchi za watu lazima utii mamlaka iliopo kama hutaki ondoka
 
Shida ya Kafiri yeyote Duniani ni ukosefu wa Kutumia Akili yake kwenye mambo mengi wamekuwa watu wa kulishwa maneno na viongozi wao wa Dini bila kutumia japo kidogo Akili zao yaani wemwenyewe umekaa ukatafakari umeona una bonge la hoja na inawezekana umemwambia mpaka mkeo kwamba leo umeandika nondo jf kwanza hujui hata historia ya Ukristo sio huo Uislamu uliojaribu kuuelezea Kwanza kaa ukijua wewe na makafiri wenzako kuwa mwarabu haikupi tiketi ya kuijua Quran kilichomo ndani na wao wanakaa darasani kusoma Quran kama nilivyokaa mimi na wanangu kujifunza Quran hii ni toka kipindi cha Mtume.Na katika Watu Duniani walikuwa ni wapingaji wa Uislamu hakuna kama waarabu wewe hapo ulipo unajiona hivyo ulivyo na chuki dhidi ya Uislamu ongeza mara Elfu ya Mwarabu wa kumwita Warid bin Mukhira,Abb rahab,Na hao niliokutajia sio kama wewe huna hata cheo cha mjumbe wa nyumba kumi hapo mtaani kwenu hao mabwana kauli zao zinasikika nchi nzima zamani walikuwa wanasema mji nzima na wana hela sio kama unakamuliwa sadaka na mwamposa na pengo,wao ndo walikuwa wanakamua watu sadaka fikiria watu wanashauliana mpaka kutaka kumuua Mtume Muhammad S.A.W ikamlazimu kukimbia mji aliozaliwa kukwepa kuuwawa alafu we kafiri unakuja hapa eti waarabu hivi waarabu vile huna lolote hulijualo halafu kitu msichokijua hizi chokochoko zenu ni kuupa kiki Uislamu na Waislamu na hata kama kuna mnachokitaka jua Waislamu wanakitaka zaidi la mwisho hii Nchi yako Uhuru umepambaniwa na hao unaowatukana Babu zako wa kikafiri walikuwa wanatafuna Nguruwe na kuimba kwaya Huyo Baba wa Taifa UN alipelekwa na hao wavaa kobaz na Mzee Tewa said Tewa alishawahi kuwatahadharisha wazee wenzake juu ya mtu wa kuitwa kambarage akawaambia kafiri hana Ahadi wale wazee walipuuza ila Neno lilitimia.Acha chokochoko kula nguluwe lala kunywa gongo tega cheza mziki hii ndo Tanzania tuitakayo **** wee.

Tulia, kunywa maji, njoo tena huku ukizingatia alama za uandishi wa lugha yako adhimu.
 
Hata ushoga ni haki za binadamu , muwaache sasa msiwasumbue maana kila mtu ana haki ya kutumia mwili wake bila kudhuru mwengine ndivyo watetezi wa haki za binadamu wanasema, kwahiyo marufuku kuwasema wala kuwa nyooshea vidole wewe si mpigania haki tulia
Kula chakula unafananisha na ushoga?
 
Hizi aya ziko sawa kabisa hazina tatizo kila moja inasababu yake , ukileta uchokozi utapigwa tu tii masharti utaishi , kama ambavyo hapa kwetu ni makosa kumuingilia mtu kinyume cha maumbile, kwa wengine ni halali tu muhimu mmekubaliana, kwahiyo ukiwa nchi za watu lazima utii mamlaka iliopo kama hutaki ondoka
Mifano yako mbona ni ya kuhusu ushoga tu?
 
Mifano yako mbona ni ya kuhusu ushoga tu?
Kwasababu ushoga ni mfano hai kwa ulimwengu wa sasa, kuna nchi hawautaki na wengine wanautaka japo ni haki za binadamu, hivyo basi hakuna ulazima wa kila haki ya binadamu uipate kila sehemu
 
Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu wa kueneza tamaduni, mila na desturi zao.

Pia lingine ambalo watu wengi wameanza kulimulika ni ile hali ya chombo hiki (uislam) kuwa na sura ya uana harakati au upigania uhuru. Uislam ulivyo unajitanabaisha na harakati za kudai uhuru/haki maeneo mbali mbali duniani. Tofauti na tulivyokuwa tukitarajia uislam uwe kwa kuwaelekeza waumini wake kwenye maisha ya peponi baada ya haya. Wenyewe sasa wanawaendeleza maandamano na migogoro na mamlaka. Wakitaka haki na uhuru wao. Wakilazimisha sheria za nchi ambako wanaishi zibadili sheria na kuongoza nchi hizo kwa sharia law. Kitu ambacho dini zingine hazijawahi kufanya.

Baada ya kuyaona hayo, nchi nyingi sasa hazichukulii uislam kama dini (kama waumini wake wanavyodai), bali ni mpango au chombo cha (wanaharakati cha) kupigania uhuru na haki ya waislam/waarabu kwa njia ya kipekee (exclusive right). Wanataka mahali popote wanapoishi wapewe uhuru/haki zao katika njia ambayo wengine hawawezi kupata. Wanataka wapewe special attention na mamlaka ya nchi husika. Hata kama kufanya hivyo kunaweza kwa hali au namna fulani kuathiri haki, uhuru, mamlaka na ustawi wa wengine.

Ndiyo maana mara zote nimekuwa nikiwa dhidi ya wazo la kwamba uislam ni dini. Kwa sababu nilizozitaja. Hiyo ni desturi yaani zaidi ya dini. Binafsi nawafananisha na wamasai. Wamasai licha ya kuwa wana ishi katika nchi zenye serikali yaani Jamhuri. Lakini bado wana utaratibu au namna yao ya utawala, siasa, imani (beliefs), lugha, sheria, mavazi nk. Pia jamii hii popote ikienda, lazima kuwe na msuguano na jamii walioikuta kwa kuwa siku zote wanaamini utamaduni wao ni bora kuliko wa wengine. Hili nilo mfanano dhahili wa uislam (yaani desturi za waarabu) na wamasai.
Naomba niishie hapa.
Alamsiki
Vipi kwa waarabu wasio waislam, wana-fit vipi kwenye hiyo nadharia ya kutumia dini kusambaza tamaduni au kup8gania haki?
 
Vipi kwa waarabu wasio waislam, wana-fit vipi kwenye hiyo nadharia ya kutumia dini kusambaza tamaduni au kup8gania haki?

Hivi ni asilimia ngapi ya idadi jumla ya watu?
 
1. Uislamu ni theology ya Ukombozi dhidi ya mifumo kandamizi kama ya Farao, Babylon etc. Hata hizi falme za sasa ambazo zinataka kugeza udhalimu wa falme zilizipita zinajikuta zipo ktk collision na uislamu.

2. Mifumo ya kiuchumi ya kiislamu inapingana na mifumo mingi katili inayonyonya watu, kwa mfano Uislamu unakataza Riba/Interest katakata. Kwa hili peke yake lazima uingie ktk mgogoro na nchi kubwa ambazo backbone ya chumi zake ni riba.

3. Uislamu haujamung'unya maneno kuwa Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke, hili peke yake linaleta ugomvi na feminists

4. Uislamu ni easily adaptable, yaani hata ukilipua nchi kubwa za kiislamu, popote palipo na waislamu watatu, wanateua kiongozi miongoni mwao na struggle inaendelea.

5. Uislamu unafundisha kuwa usidhulumu na wala usidhulumiwe. Kiufupi ni vigumu mno kuwathibiti Waislamu kama wakisimamia misingi ya dini yao, maana inakataza kuwa cowards

ISLAM is a LIBERATION THEOLOGY
 
1. Uislamu ni theology ya Ukombozi dhidi ya mifumo kandamizi kama ya Farao, Babylon etc. Hata hizi falme za sasa ambazo zinataka kugeza udhalimu wa falme zilizipita zinajikuta zipo ktk collision na uislamu.

2. Mifumo ya kiuchumi ya kiislamu inapingana na mifumo mingi katili inayonyonya watu, kwa mfano Uislamu unakataza Riba/Interest katakata. Kwa hili peke yake lazima uingie ktk mgogoro na nchi kubwa ambazo backbone ya chumi zake ni riba.

3. Uislamu haujamung'unya maneno kuwa Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke, hili peke yake linaleta ugomvi na feminists

4. Uislamu ni easily adaptable, yaani hata ukilipua nchi kubwa za kiislamu, popote palipo na waislamu watatu, wanateua kiongozi miongoni mwao na struggle inaendelea.

5. Uislamu unafundisha kuwa usidhulumu na wala usidhulumiwe. Kiufupi ni vigumu mno kuwathibiti Waislamu kama wakisimamia misingi ya dini yao, maana inakataza kuwa cowards

ISLAM is a LIBERATION THEOLOGY

Nakuelewa vizuri. Ila nitaomba rejea.
 
Back
Top Bottom