Ni haki yangu huku sio kule? Kwa Nini huko nisipewe haki yangu kama ulivyosema uislamu unapigania haki za wote?
Ulienda Rwanda huruhusiwi kupractice uislamu public? Uongo huu, hata hvyo kuhusu Rwanda hata makanisa nayo yamepigwa pin. Lakini hapa pia hatulinganishi uislamu na wengine hapa tunazungumzia uislamu kupigania haki za wasio waislamu kama ulivyosema. Hii kulinganisha inaingiaje?
Mimi sio raia wa saudia Arabia natakiwa niheshimu nchi za watu sijawasaidia kupigania nchi yao? Sasa mbona unajikataa mwenyewe uliyesema uislamu unapigania haki za wengine wasio waislamu?
Pia hapa mbona unahalalisha wanayopitia waislamu wachache walio nchi za wengine? Mfano wanayopitia waislamu wa Rohingya kule Myanmar? Na yale wanaopitia kule China? So China na mynamar wapo sawa wanayofanya kwa waislamu? If so, mbona huwa mnalalamika?
Nimesoma wapi .tu kuhama uislamu akauliwa? Unajifanya kipofu au? Hizi cases zipo nyingi tu. Alafu mbona tena unasema mwenye mamlaka ya kuua anayebadili dini ni khalifa, lakini hapo hapo unauliza nimeona wapi aliyehama dini akiuliwa? Mbona unajichanganya?
Watu bil 2 wangeamrishwa kuua pasingekalika? Dunia Ina watu bil 8, hao watu bil 2 wangeua watu wote bil 6 ambao sio waislamu? Pia nani kakuambia kila muilamu anafata kwa usahihi Quran unavyosema?? Quran inakataza kuzini, je hao waislamu bil 2 wote huea hawazini? Quran inakataza watu kuwa washirikina, je hao waislamu bil 2 wote hawafanyi shirki? Quran inakataza ulevi, je hao waislamu wote bil 2 hawafanyi ulevi? Kwa akili yako sababu Quran umesema wasio waislamu wauwawe basi unajua waislamu wote watakubaliana na hilo?
Quran imekataza muislamu kuwa na urafiki na mayahudi na wakristo, imeenda mbali Kuna Aya zinazosema asiye muislamu unatakiwa kuuwawa hizo hapo
View attachment 3186443View attachment 3186445
View attachment 3186446