Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake

Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake

Ndio ngonjera zako za upeo mdogo zilipoishia..Hakika "ukasuku" ni janga kwa vijana..
Yaani vimaneno vya kukaririshwa tu,uwezo mdogo wa kujenga na kutetea hoja
Sasa wapi nimekwambia halina utaratibu? Kwa hiyo hoja yako halipo au lina utaratibu wake?
Na huo utaratibu wake ni upi?
Hapo ndio inabidi ukae chini usomeshwe kama ilivyo Ndoa huwezi Leo kumchukua Binti wa watu na kumuozesha bila taratibu na kila suala lipo hivyo hivyo.

Kama haujui subiri nitaandika Uzi mwingine kuueleza Hilo swala .
 
Hapa umefika pazuri napenda watu kama nyinyi .

Katika kila jambo lazima Kuna kuwa na miongozo na taratibu mfano hata shuleni mkiambiwa siku Fulani Wanafunzi mripoti huwezi kuripoti hivi hivi lazima utakuta taratibu na namna ya kuripoti mfano uje ukiwa na Uniform , Majembe nk.

Hata ukiambiwa kwenye kula kisa umeambiwa ule hauwezi kula kama mnyama lazima unakuta Kuta taratibu za kula mfano kunawa mikono kwanza , kula kupitia kinywa nk.

Tukirudi kwenye Uislamu ibada na matendo yote yanataratibu zake , mfano Qur'an imeamrisha kuswali je , kila mtu ataswali kwa namna ayavyotaka bila muongozo ? Qur'an imeamrisha Jihad je mtu atachukua upanga na kuua kila mtu wakati wowote hadi watoto ?

Jibu hapana ili kitu kiitwe dini kwenye Uislamu lazima muongozo wa kufanya utoke kutokana na jinsi Mtume Muhammad (ﷺ) alivyofanya na kuamrisha na kufundisha namna ya ufanyaji wake .

Uislamu unasisitiza kupigania haki na kupinga dhuluma na uonevu ila imeweka namna na misingi yake katika kuendelea Hilo kama ilivyo kwenye mambo mengine kama Swala , Ndoa , Zaka nk sasa haiwezekani mtu aibuke kufanya jambo katika Uislamu kwa namna anayoona yeye ni sawa.
Ni kweli kwenye kila jambo kuna utaratibu.

Na utaratibu wa kuendesha nchi ya Tanzania ni sheria za nchi zisizofuata dini yoyote.

Mambo ya Uislamu kahubiri msikitini.

Kwa nini unataka kuleta mambo ya Uislamu kwenye kuendesha nchi wakati kuna watu wengi kwenye nchi hatuyaamini wala kuyaheshimu?
 
Dogo wewe kwa upeo wako mdogo wa kujenga hoja hivyo utafanya watu wote tudharaulike na kuonekana wapumbavu,kumbe wapumbavu ni wachache mfano wako..mnaoupotosha uislam kwa maslahi ya utawala muovu wa Saudia..Jifunze kujenga hoja na sio Taqleed na ukasuku wa kukariri maneno
 
Hapo ndio inabidi ukae chini usomeshwe kama ilivyo Ndoa huwezi Leo kumchukua Binti wa watu na kumuozesha bila taratibu na kila suala lipo hivyo hivyo.

Kama haujui subiri nitaandika Uzi mwingine kuueleza Hilo swala .
Yaani nisomeshwe fikra potofu za kuabudu watawala waovu? Wewe unafikiri mm akili kisoda kama wewe..
Yaani nisomeshwe kuwa kasuku na punda?
 
Popote wanaosema vibaya Serikali na kwenda kinyume yaani wale potential threats serikali inawafyeka na kuwakandamiza hata nchi zinazojiita za Kidemokrasia.

Marekani ; Wanafunzi wanaonga mkona Palestina wamezimwa na wengine kufukuzwa z kufanyiwa figisu nk.

Israel ; ndio kabisa hawataki masihara wanafanyia vitimbi activists na diplomats mbalimbali

Jullian Assange nae yalimkuta.

Kwa vile nchi hii ina Waislamu na Mimi ni Muislamu jukumu langu ni kusafisha fikra mbovu kwa Waislamu warejee katika njia sahihi ya dini na haya ndio makusidio mama ya huu Uzi mengine ni ziada.
Pumbavu kweli kama hao unaowataja yaliwakuta hata mitume na manabii yaliwakuta
Mussa yalimkuta hayohayo kwa firaun
Yusuf hivyohivyo
Dawud hivyohivyo
Muhammad hivyohivyo na wema wengine waliopita

Kwani waelewa nn kuhusu aya hii
حَسِبْتُمْ أَن تَدْخُلُوا الْجَنَّةَ وَلَمَّا يَأْتِكُم مَّثَلُ الَّذِينَ خَلَوْا مِن قَبْلِكُم ۖ مَّسَّتْهُمُ الْبَأْسَاءُ وَالضَّرَّاءُ وَزُلْزِلُوا حَتَّىٰ يَقُولَ الرَّسُولُ وَالَّذِينَ آمَنُوا مَعَهُ مَتَىٰ نَصْرُ اللَّهِ ۗ أَلَا إِنَّ نَصْرَ اللَّهِ قَرِيبٌ﴾
[ البقرة: 214]

Mnadhani kuwa mtaingia Peponi, bila ya kukujieni kama yaliyo wajia wale walio pita kabla yenu? Iliwapata shida na madhara na wakatikiswa hata Mtume na walio amini pamoja naye wakasema: Lini nusura ya Mwenyezi Mungu itakuja? Jueni kuwa nusura ya Mwenyezi Mungu ipo karibu.​

Sasa sijui hoja yako ni ipi?
 
Ndio ngonjera zako za upeo mdogo zilipoishia..Hakika "ukasuku" ni janga kwa vijana..
Yaani vimaneno vya kukaririshwa tu,uwezo mdogo wa kujenga na kutetea hoja
Sasa wapi nimekwambia halina utaratibu? Kwa hiyo hoja yako halipo au lina utaratibu wake?
Na huo utaratibu wake ni upi?
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa.

OK , tafuta mjinga mwenzio wa kuendelea nae mijadala maana sio Elimu tu hauna hata akili pia

#Nimemaliza
 
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa.

OK , tafuta mjinga mwenzio wa kuendelea nae mijadala maana sio Elimu tu hauna hata akili pia

#Nimemaliza
Upeo mdogo
Kasuku wewe..
Tafuta watoto wenzako mkacheze kombolela wafikiri uislam ni dini ya "misukule"
IMbacile
 
Ni kweli kwenye kila jambo kuna utaratibu.

Na utaratibu wa kuendesha nchi ya Tanzania ni sheria za nchi zisizofuata dini yoyote.

Mambo ya Uislamu kahubiri msikitini.

Kwa nini unataka kuleta mambo ya Uislamu kwenye kuendesha nchi wakati kuna watu wengi kwenye nchi hatuyaamini wala kuyaheshimu?
Sababu Waislamu wapo kwa idadi kubwa na wameanza kulishwa fikra potufu na kupandikizwa hamasa za kijinga za Fujo na maandamano.

Sijataka nchi iendeshwe Kiislamu bali ninachotaka ni kwamba Waislamu nchi hii waache kwenda Kibubusa warejee katika njia sahihi ya dini Yao .
 
Upeo mdogo
Kasuku wewe..
Tafuta watoto wenzako mkacheze kombolela wafikiri uislam ni dini ya "misukule"
IMbacile
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa .

Alhamdulillah jambo linaenda vizuri watu wengi wanaelewa , kwa hiyo Scumbags wachache kama nyie mkibaki Vichwa ngumu haina atahari.
images (63).jpeg
 
Sababu Waislamu wapo kwa idadi kubwa na wameanza kulishwa fikra potufu na kupandikizwa hamasa za kijinga za Fujo na maandamano.

Sijataka nchi iendeshwe Kiislamu bali ninachotaka ni kwamba Waislamu nchi hii waache kwenda Kibubusa warejee katika njia sahihi ya dini Yao .
Waislamu wahubirie misikitini. Hapa ni public square ukileta mambo ya Waislamu kwenye kuendesha nchi unaleta picha kwamba unataka kuendesha nchi Kiislamu.
 
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa .

Alhamdulillah jambo linaenda vizuri watu wengi wanaelewa , kwa hiyo Scumbags wachache kama nyie mkibaki Vichwa ngumu haina atahari.View attachment 3354709
Uzuri kwa mjadala ulivyoenda kila mwenye akili kaona nani mjinga na nani mwerevu..
Ujinga au werevu haupimwi kwa maneno matupu bali hoja zenye mashiko
Neno langu la mwisho kwako we mtoto jitahidi kupanua fikra na upeo,usiwe mvivu wa kufirikiri na kudandia dandia kila "mdundo" unaopita mbele yako utaishia vibaya kama hv sasa kuingia kundi potofu la " madhkali" la kutetea watawala waouvu ukajiona upo kwenye haki kumbe umeingia shimo lefu usiloweza kuchomoka
 
Bado nasisitiza ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa , kutumia neno "Madkhali" kunathibitisha wewe ni mtu wa aina gani.

Haya wewe si Kidume mbona unajificha nyuma ya Keyboard wakati Uislamu unataka ukiwashe dhidi ya dhulma ?

Ni muda sasa wa kuOrganize Familia na ukoo kutoka Frontline uelekeo ni ikulu au Kituo Cha polisi kupinga dhuluma wewe ukiwa kiongozi . Acha kupiga kelele mtandaoni do some actions maana Mwanamke anaweza kuongea hata chizi pia na hata mtoto mdogo ila Kidume anafanya action . ingia front mwamba ukapinge dhuluma.
 
Ndio akili yako ilipoishia
Kweli "utoto" ni janga
 
Moja kwa moja..

Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo gani yanaendelea waulizeni Hamas waliona bora kukiwasha kuliko unyonge sasa wamepata Faida na madhara gani , cheki Sudan mambo ya kupindua utawala yamepeleka uovu zaidi na hali mbaya mno , Libya nk mnoshadadia tukiwashe hamjui huku kwetu machafuko yatafika mbali kiasi gani na kusababisha madhara gani , kwa sisi ambao tumewahi kuishi sehemu kukiwa na mabomu na mitutu mara kwa mara tunaelewa Amani ni jambo zito kiasi gani.

Uislamu ni dini kamili ina sheria na miongozo yake inayojitosheleza katika kila jambo na tatizo lilipo Waislamu wengi tumekuwa wavivu wa kukaa chini kusoma dini yetu kwa uhakika na usahihi na hili swala ndio chanzo kikubwa cha matatizo kwa Umma wa Kiislamu kupelekea wengi kufuata mihemko , mkumbo na matamanio ndio maana Kuna kipindi baadhi ya Waislamu Osama walimuona kama Kidume na shujaa wa Kiislamu , wengine wakafuata mikumbo kuingia katika makundi potofu ya Jihadi na kuanzisha vuguvugu mbalimbali.

Na upande wa Wakristo wengi pia hawana ufahamu sahihi na Elimu ya uhakika kuhusu Uislamu ndio maana sio ajabu kukuta eti Mkiristo kukuambia Qur'an ina majini , Kufunga majini nk . Tatizo hili kuu la kukosa Elimu limepelekea wengi katika Wakristo au Waislamu ukiwaelekeza jambo Fulani la sawa kuhusu Uislamu wanaona kama ni jambo geni kwao na wanaweza kukupinga tu.

MIAKA YA VUGUVUGU ZA UASI KWA WAISLAMU

Kama mnakumbukumbu vizuri miaka kuanzia 2010 - 2013 hapa bongo kulitokea vuguvugu kubwa lililopamba moto kwa Waislamu wanaonewa na serikali katika nyanja mbalimbali na wengine wanaojiita Masheikh walikuwa Mstari wa mbele waliwahamaisha kuhamasisha maandamano, Fujo , uasi nk na ilileta madhara makubwa mpaka serikali ikaamua sasa kuvalia njuga ikakamata Masheikh na watu wengi Wenye hatia , wasio na hatia hata redio Moja maarufu ya Waislamu ilifungiwa kutokana na kuchochea chuki na uasi hatimaye hali ikapoa vuguvugu likapotea mpka sasa hali shwari.

MAANDIKO YANASEMAJE ?

Uasi (khurooj) hufafanuliwa kama kujaribu kunyang’anya mamlaka kutoka kwa mtawala, kumpinga hadharani, kujaribu kumwondoa madarakani kwa nguvu, kuwachochea watu dhidi yake (kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, maandamano ya barabarani, migomo, n.k.), kupanga njama dhidi yake na kuinuka kumpinga kwa maandishi, kwa khutuba au kwa upanga.

Haya yote yanachukuliwa kuwa ni khurooj. Mtume (ﷺ) alikataza jambo hili katika hadithi zilizo wazi na zenye nguvu. Hadithi ambazo haziwezi kupingwa na matamanio, maoni binafsi au akili, wala kwa maamuzi yasiyo sahihi ya watu, bila kujali daraja yao mbele ya watu. Mtume (ﷺ) alizungumza kwa wahyi (ufunuo) kutoka kwa Allah, lakini waliokuja baada yake hawakuwa na wahyi. Kwa sababu hiyo, wakati ijmā’ (makubaliano ya pamoja ya wanazuoni) ilipothibitishwa, hakuna aliyepinga isipokuwa Khawārij, Shia, Mu’tazilah na matawi yao hadi wakati wetu huu.

Imepokewa na Muslim katika Sahih yake (1847) kutoka kwa Wā’il Ibn Hujr kuwa: Salamah Ibn Yazeed Al-Ju’fee alimuuliza Mtume wa Allah (ﷺ): “Ewe Mtume wa Allah, tufanye nini ikiwa tutakuwa na watawala juu yetu wanaotaka haki zao lakini wanatunyima haki zetu?” Akajibu: “Wasikilizeni na watiini [bila kujali]. Juu yao ni mzigo wao, na juu yenu ni mzigo wenu .”

MY TAKE :

Fikra za Kikhawarij (kutoka chini ya utii wa matawala ) ndio zimesababisha madhara ya Leo kuwepo Al Shabaab, Al Qaeda , Boko Haram nk wote hawa madai yao kwamba watawala hawaendesh kisawasawa wanaendesha mambo Kikafiri vurugu , kuingia msituni na kutoka dhidi yake.

Kubadilisha mtawala sio solutions ya matatizo yote ya kutawala , wakati wa kifo cha JPM baadhi ya watu mlishangilia na kumdhihaki vibaya mno na kuona matatizo yameisha na makundi yote yaliungana na kuimba mapambio ya "Mama anaupia mwingi " kuwaumiza wafuasi wa JPM sasa mmebadili gia angani.

Uzi huu unaendelea maana bado sijatoa solutions na Kuna mambo Muhimu bado sijayagusia

UPDATES :

1. Tuone kwa Manabii wa Mwenyezi Mungu

Nabii Musa (Amani iwe juu yake ) alikuta Wana wa Israeli wakionewa chini ya utawala wa Kiongozi Dhalimu mkubwa Firauni lakini hakuwa kuhubili Wana wa Israeli wafanye njama ya kumtoa Firauni Madarakani au wafanye maandamano na Uasi bali yeye aliwaningania katika neno la Mungu .

Na hiyo ndio wito wa Manabii mara nyingi hawapendi kushindana na Serikali kwa kutaka kupanga njama za kuwapondua uasi , fujo nk wao wamefocuos kuwapa neno la haki kwa njia Bora . Mfano Yesu , Nuh , Shuayb, Yusuph na wengineo ( Amani iwe juu Yao wote
a)Kutoka kwenye maisha ya Kiigizo chema Mtume Muhammad (ﷺ)

Msingi mwingine dini ya Uislamu katika kila ibada kiigizo chetu ni Mtume Muhammad (ﷺ) lazima iangaliwe yeye alifanya vipi ili jambo liitwe dini kinyume na hapo ni uzushi , sasa angalia maisha yake kipindi Cha utume katika mji wa Makkah ambapo Uislamu ulipokuwa hauna nguvu. Je , Waislamu wangapi waliuwawa kwa dhuluma , kuteswa , kuporwa mali zao , dhihaka na madhila mengine makubwa ? Je alimarisha kisasi , maandamano, Fujo , njama , mapinduzi nk ?

Jawabu hapana, walifanya subra na wakamcha Allaah hatimaye wakafanya Hijra kuhamia Madina ili kuepuka dhuluma na manyaso na sio kutumia Maguvu kuminyana na watawala wakati hata nguvu zenyewe hauna na madhara yatakayo patikana kwa watu ni makubwa mno.

#LindaAmaniYaNchiYako

View attachment 3353969
Alipokea Urais baada ya kifo cha JPM, sote tulijawa na matumaini kuwa atatuongoza vizuri kukamilisha mhula wao wa pili kisha akae pembeni! Badala yake kanogewa na kaamua kujiteua yeye na Mwanpwani mwenzake JK, tena kinyume na utaratibu wa chamade chetu.
#Ee Mwenyezi Mungu uliye hai milele, Ingilia kati tuamulie huu ugomvi... in your Name we pray.
 
Ndio akili yako ilipoishia
Kweli "utoto" ni janga
Acha kupoteza kuwa Keyboard Warrior kama Mmama we si Kidume kwa Nini unakuwa nyuma kuOrganize ukoo na Familia yako kwenda front ikulu au police makao makuu kukiwasha ?

Kwa Nini unakuwa nyuma katika kupigania haki na kupinga dhuluma ?

If you're Man do some actions..
 
ACha bhangi mtoto..we wafikiri ni chakula
Utaishia kubaya
 
«أَفْضَلُ الْجِهَادِ كَلِمَةُ حَقٍّ عِنْدَ سُلْطَانٍ جَائِرٍ» “Jihad iliyo bora kabisa ni kusema neno la kweli mbele ya mtawala jeuri.”
Nenda basi mbele yake ukaseme mbona unasemea huku mitandaoni

Banii israil waliwahi kumkaripia Firauni?
Hujui lolote ww mbele ya kuheshimu mtawala
 
ACha bhangi mtoto..we wafikiri ni chakula
Utaishia kubaya
Niishia pabaya kwa lipi ?

Bado nasimami msimamo wangu Wamama ndio wqpiga kelele wewe si Kidume unafuata mafundisho sahihi na namna sahihi ya kupinga dhuluma na unatetea kukiwasha sasa kwa Nini unabaki kubweka nyuma ya Keyboard?

Organize Familia na Ukoo wako uelekeo Kituo Cha polisi au ikulu kukiwasha , acha uwonga If you're a Man do something but If you desire to sit you are a pathetic Scumbabag , Maarass!!!
 
Mvuta bangi kama wewe ni kuwa ignore tu,ni kujishusha hadhi na kujibizana nawe..
 
Nenda basi mbele yake ukaseme mbona unasemea huku mitandaoni

Banii israil waliwahi kumkaripia Firauni?
Hujui lolote ww mbele ya kuheshimu mtawala
Yaani ambaye hajui ni mm au wewe? Yaani mm nimekuwekea hadith ya mtume wewe waniletea ngonjera na porojo
Mipasho peleka kwa diamond na zuchu
 
Back
Top Bottom