Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Unaona ukatili mzinifu kuchapwa vboko 99 lkn ukimfumania jamaa na mke wako unampaka mafuta y KY ,hizo adhabu zimewekwa ili kumfanya mtu aogope kabisa kufanya hio dhambi.
Mnamsaidia Allah kuhukumu?
Hakuna mafundisho ambayo mnaweza kuhubiri ili watu waache dhambi zaidi ya kuchapwa viboko au kuuliwa?
Nchi za kiislamu zingekuwa ni superpower, ukikataa kuwa muislamu unauliwa au kutengwa kbsa.
 
Hebu tujulishe umeyaona wapi?
Iran, binti wa kiislamu hakufunika kichwa. Aliuliwa
Wengine wakaunga mkono kwa kuacha kichwa wazi, adhabu yao ilikuwa kifo.
Hapa unaongea kwasababu upo nchi yenye mchangamano wa imani.
Nenda Iran ukaache kichwa wazi kama Ayatollah ajakukata kichwa kwa kukiuka sheria za kiislamu
 
Dah mkuu zamani ipi unazungumzia Makundi yote hayo mengi yao ni ya 2000s na baadhi ni ya 1990sMNiwanangu ...huwezi kuwa serious bac me sijui...Ila everyone knows Islamic terrorist hata Kenya hapo wamefika. Hata dar wamefika hao wako w

Dah mkuu zamani ipi unazungumzia Makundi yote hayo mengi yao ni ya 2000s na baadhi ni ya 1990s
Sawa Ila more destructive ni Islamic terrorist
 
Sijazungumzia Dola mkuu soma vizuri kabla hujakurupuka kujibu Kuna currencies Ambazo zina power kuliko zingne $€£¥ zinaweza ila nenda na Tsh 10000 yako tumia marekani halafu tumia...
Tatizo wengi ni Malimbukeni hamtembei ila shida kufata story za vijiweni...
We ndiyo unakurupuka mkuu. Hii ishu ilikua kwingine umeileta kwingine halafu unalazimisha ibaki hapo.

Wewe utakua ni mpuuzi tu mkuu kama unatembea ila hujifunzi
 
Kwa sababu those who own Media they publsh it more to looks like the way you saw it
Sawa 😂😂😂bac kaangalie taarifa za Al Jazeera, taarifa za Saudia uje na news za mkristo akijipua kwenye daladala katika jina la Yesu. Niite mbwa nimekaa pale
 
Uislamu ni dini iliyokamilika katika nyanja zote hivyo kausome uislamu uuelewe sio kutoa maoni kwenye kitu usichokijua!
 
Uislamu ni dini iliyokamilika katika nyanja zote hivyo kausome uislamu uuelewe sio kutoa maoni kwenye kitu usichokijua!
😂😂Acha kutetea dini ya wazazi wako na uje na hoja. Kusoma Quran tumesoma na tumeona yote yaliyomo hamna jipya acha visingizio
 
Sawa 😂😂😂bac kaangalie taarifa za Al Jazeera, taarifa za Saudia uje na news za mkristo akijipua kwenye daladala katika jina la Yesu. Niite mbwa nimekaa pale
Mkuu hiyo huwezi onyeshwa Kama nilivyokuambia Just go and search those christian Terrorist Group
 
Umeandika porojo tupu hapo, vp makundi yanayoua watu Kongo yanatofautiana vp na al shabab
Sasa mzee wapi hujaelewa? Uisilamu ni dini, hayo makundi ya DRC ni ya harakati za kisiasa na kimaslahi. Imekuwaje ulete mfano wa kulinganisha M23 na uisilamu? 🙄
 
Hakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,
Amezungumzia Uisilamu, nilitegemea ungejibu kila hoja iliyotajwa kama ni kweli au si kweli badala ya kutafuta sehemu nyingine ya kulinganishia. Mfano ungesema si kweli kumkata mwizi mkono kupo kiimani katika uisilamu, kwamba si kweli kufa kwa kujitoa mhanga kama wafanyavyo ISIS, Taleban, Al Shabab, Boko Haram, Hamas na wengineo kupo kiimani katika uisilamu, si kweli kumuweka mwanamke asiwajibike kama mwanaume katika baadhi ya shughuli ambazo hazimshindi kibaiolojia kupo kiimani katika uisilamu, na kadhalika na kadhalika. Kuna mahali katika mijadala nilisikia hata Mtume alisema kuwa hatakama binti yake angeiba hata naye angemkata mkono
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

MKuu hivi kweli wewe ni mwanamme? Dah Hatuna mtu kwa kweli Mwanaume unapigania haki za wanawake. au unataka tuishi kama ulaya ?
 
Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Hakuna kitu kujichukulia sheria mkonini ndani ya Uislamu, Uislama unawataka wenye mamlaka ndio zichukue sheria.
 
MKuu hivi kweli wewe ni mwanamme? Dah Hatuna mtu kwa kweli Mwanaume unapigania haki za wanawake. au unataka tuishi kama ulaya ?
😂😂😂Toa hoja bana kwani lazma uwe kilema ili utetee haki zao. Mbona unakuwa kama mtoto mdogo
 
Back
Top Bottom