FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hebu tujulishe umeyaona wapi?Sisi tunaona matendo ya waziwazi ya waislam pamoja na chuki waliyonayo kwa wasio waislam.Hatuhitaji kuusoma.Imani inaendana na matendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tujulishe umeyaona wapi?Sisi tunaona matendo ya waziwazi ya waislam pamoja na chuki waliyonayo kwa wasio waislam.Hatuhitaji kuusoma.Imani inaendana na matendo
Mnamsaidia Allah kuhukumu?Unaona ukatili mzinifu kuchapwa vboko 99 lkn ukimfumania jamaa na mke wako unampaka mafuta y KY ,hizo adhabu zimewekwa ili kumfanya mtu aogope kabisa kufanya hio dhambi.
Iran, binti wa kiislamu hakufunika kichwa. AliuliwaHebu tujulishe umeyaona wapi?
Hata ushoga unaongezeka kwa kasiAjabu uislamu ndio dini inayokua kwa kasi sana hapa ulimwenguni tujiulize wakristo tunakosea wapi hasa wakatoliki.
🤣🤣🤣Uzuri ukimwekea muislam SAUD ARABIA na UJERUMAN atataka kwenda Ujerumani
Iran na Poland atachagua Poland
Italy na Maka atachagua Italy
Dah mkuu zamani ipi unazungumzia Makundi yote hayo mengi yao ni ya 2000s na baadhi ni ya 1990sMNiwanangu ...huwezi kuwa serious bac me sijui...Ila everyone knows Islamic terrorist hata Kenya hapo wamefika. Hata dar wamefika hao wako w
Sawa Ila more destructive ni Islamic terroristDah mkuu zamani ipi unazungumzia Makundi yote hayo mengi yao ni ya 2000s na baadhi ni ya 1990s
😂So unakubali hizi data zikisema Islam ni fastest growing ila zikisema atheists wapo wengi unazikataa ..unakubali only when it favors u .😂sawa mkuu good dayCooked data na ndy nyie mnakubali matokeo ya sensa z uongo.
Sawa Ila more destructive ni Islamic terrorist
We ndiyo unakurupuka mkuu. Hii ishu ilikua kwingine umeileta kwingine halafu unalazimisha ibaki hapo.Sijazungumzia Dola mkuu soma vizuri kabla hujakurupuka kujibu Kuna currencies Ambazo zina power kuliko zingne $€£¥ zinaweza ila nenda na Tsh 10000 yako tumia marekani halafu tumia...
Tatizo wengi ni Malimbukeni hamtembei ila shida kufata story za vijiweni...
Sawa 😂😂😂bac kaangalie taarifa za Al Jazeera, taarifa za Saudia uje na news za mkristo akijipua kwenye daladala katika jina la Yesu. Niite mbwa nimekaa paleKwa sababu those who own Media they publsh it more to looks like the way you saw it
Unapotosha wazi wazi.konde(shamba) unajua faida inayotkna na kulima?/shambani?je unajua ukulima ni kanuni na syo inshu ya kujifanyia ?uelewa wako sio sahh kweny hii aya..kama unawaza mambo ya kaumu luti futa kbs.
😂😂Acha kutetea dini ya wazazi wako na uje na hoja. Kusoma Quran tumesoma na tumeona yote yaliyomo hamna jipya acha visingizioUislamu ni dini iliyokamilika katika nyanja zote hivyo kausome uislamu uuelewe sio kutoa maoni kwenye kitu usichokijua!
Mkuu hiyo huwezi onyeshwa Kama nilivyokuambia Just go and search those christian Terrorist GroupSawa 😂😂😂bac kaangalie taarifa za Al Jazeera, taarifa za Saudia uje na news za mkristo akijipua kwenye daladala katika jina la Yesu. Niite mbwa nimekaa pale
Sasa mzee wapi hujaelewa? Uisilamu ni dini, hayo makundi ya DRC ni ya harakati za kisiasa na kimaslahi. Imekuwaje ulete mfano wa kulinganisha M23 na uisilamu? 🙄Umeandika porojo tupu hapo, vp makundi yanayoua watu Kongo yanatofautiana vp na al shabab
Amezungumzia Uisilamu, nilitegemea ungejibu kila hoja iliyotajwa kama ni kweli au si kweli badala ya kutafuta sehemu nyingine ya kulinganishia. Mfano ungesema si kweli kumkata mwizi mkono kupo kiimani katika uisilamu, kwamba si kweli kufa kwa kujitoa mhanga kama wafanyavyo ISIS, Taleban, Al Shabab, Boko Haram, Hamas na wengineo kupo kiimani katika uisilamu, si kweli kumuweka mwanamke asiwajibike kama mwanaume katika baadhi ya shughuli ambazo hazimshindi kibaiolojia kupo kiimani katika uisilamu, na kadhalika na kadhalika. Kuna mahali katika mijadala nilisikia hata Mtume alisema kuwa hatakama binti yake angeiba hata naye angemkata mkonoHakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,
😂😂😂Zipo wapi asa... huwezi fananisha. Afu this isn't abt wakristo vs waislamu. Mi Niko against allMkuu hiyo huwezi onyeshwa Kama nilivyokuambia Just go and search those christian Terrorist Group
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.
Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.
Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.
Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.
😂😂😂Toa hoja bana kwani lazma uwe kilema ili utetee haki zao. Mbona unakuwa kama mtoto mdogoMKuu hivi kweli wewe ni mwanamme? Dah Hatuna mtu kwa kweli Mwanaume unapigania haki za wanawake. au unataka tuishi kama ulaya ?