Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

😂😂😂why not.. why niwe alive afu nishakufa...tatizo binadamu mnapenda kuimagine vitu afu mnaforce kuwa reality. Hujiulizi kila dini inasema Mungu wake ndo waukweli na wanaobisha ni adhabu. Wat makes yours special .kisa wewe umezaliwa huko na wengine hawajazaliwa huko. 😂Hii dhana ni ya kijinga kujiona main character wa ulimwengu wakati we ni kama kijidudu kwenye universe yenye billions of planets n stars

Ku immagine kivipi sasa,wewe ishi maisha unayopenda mkuu
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
WAnapochinja watu na kuimba "alaha akbaru" kwani wanamanisha mungu anayeabudiwa na waislamu wengine.
 
Sina uhakika juu ya hiyo lugha ya kiarabu... Labda wewe unieleweshe maana yake ni nini
 
Ajabu uislamu ndio dini inayokua kwa kasi sana hapa ulimwenguni tujiulize wakristo tunakosea wapi hasa wakatoliki.
Inakua sababu mnazaana sana ,wanawake 4 kila mwanmke akizaa watoto 3 ni waislama wangapi wameingia uislam hapo !
 
Vipi hapo:

Mnamo Machi 15, 2019, mashambulizi ya risasi ya watu wengi yalitokea katika mashambulizi ya kigaidi mfululizo kwenye misikiti miwili huko Christchurch, New Zealand. [2][7] Walifanywa na mtu mwenye silaha ambaye aliingia misikiti yote miwili wakati wa sala ya Ijumaa, kwanza katika Msikiti wa Al Noor katika kitongoji cha Riccarton saa 1:40 jioni na baadaye katika Kituo cha Kiislamu cha Linwood saa 1:52 jioni.[8][9][10] Watu hamsini na mmoja waliuawa na wengine arobaini walijeruhiwa. [11][12]

😴Hata mtoto wa la Saba anajua waislamu ni magaidi kuliko wakristo so we endelea kujikosha tu na cherry picking yako
 
Ndivyo mlivyojazwa ujinga.

Wewe unaishi wapi Tanzania hii, unaishi na Waislam au hauishi nao hapo ulipo? Umeshawaona wakifanya ugaidi upi
 
Kwa hiyo na mama zako watakuwa 100, Bro hapa kuna point unamiss😀😀😀
Ndio hivyo kama mlivyoahidiwa na biblia kama nimekosa huo mstari niambie !maana biblia nimesoma yote.
 
Sisi Wakristo Mungu alichotuahidi ni uzima wa milele kuishi pamoja na Yeye.
😅😅😅Huo mstari huujui kumbe? Ndugu zangu someni biblia acheni matendo .

Na nyie si ndio mnaamini hakuna hukumu kwa aliyemkiri yesu !?
 
Ndivyo mlivyojazwa ujinga.

Wewe unaishi wapi Tanzania hii, unaishi na Waislam au hauishi nao hapo ulipo? Umeshawaona wakifanya ugaidi upi
Dar es salaam 1998 Al Qaeda walilipua ubalozi wa marekani. Haya niletee ya wakristo asa. Bongo tunaishi Kama ndugu coz Nyerere aliondoa udini.. tunaishi Kama vile dini zote ni za Mungu mmoja ila Quran na hadiths zenu zinatakia tu mabaya wakristo na huo ndo ukweli
 
Umesma ubalozi wa nini? Nilifikiri utasema wamebomowa jengo la serikali ya Tanzania.

Kwenu Dar? Ubalozi wa USA?

Unafahamu kuwa mchaga tena mkristo ndiye alitengeneza lile bomu na kuliunda kwenye gari iliyoripuliwa nalo?
 
😂😂Ndio kwetu dar? Ubalozi upo wapi kwani...we umeuliza swali umejibiwa unaanza kuzuga. Acha kutafuta visingizio everyone knows waislamu ni magaidi. Utajikosha utajaribu kupaka rangi eti "religion of peace, Islam is beautiful" kawaambie waliokufa 911, kawaambie waliochinjwa na isis na video zao kusambaa mitandaoni. Acheni kujikosha kubalini ukweli
 
😅😅😅Huo mstari huujui kumbe? Ndugu zangu someni biblia acheni matendo .

Na nyie si ndio mnaamini hakuna hukumu kwa aliyemkiri yesu !?
Kumkiri Yesu ni moja,

Ila matendo yako lazima yafanane na maisha ya Yesu. . . .
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Kwa mfano wanaachaje katika hali hii wanavyokuwa brainwashed

View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1714568509680693414?s=20
 
Ndivyo mlivyojazwa ujinga.

Wewe unaishi wapi Tanzania hii, unaishi na Waislam au hauishi nao hapo ulipo? Umeshawaona wakifanya ugaidi upi
HAMZA alieua askari alikuwa dini gan, wale jamaa wa kibiti walikuwa dini gani... Makundi yote ya kigaidi diniani yanakuwa linked na Islamic State...
 
Kwanini aliua?
Anajua yeye... Mwenyewe, ila kiuhalisia uwezi kuona mkristo anashika bunduki na kuua watu hovyo... Nakazia neno "Mkristo" maana unaweza kuniletea wazungu ukawaita wakristo, wazungu wengi ni wapagani
 
Back
Top Bottom