and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Tunyweni bia
sawa! ikibidi tuvute na bangi kabisa....Tunyweni bia
Bia tamu eehTunyweni BIA jamani
Mkuu uKifanya kitu fanya haina haja ya haraka.pana dada mmoja ukiangalia kodi anayolipa hapo anapokaa kama angeamuwa kupanga nyumba ya uswahilini bei nafuu basi angekuwa ameshaanza ujenzi
na pili anataka kujenga nyumba kubwa wakati uwezo hana namwambia jenga kwanza ya wastani ili kujihifadhi ,hasikii
Si ndo hapo mkuu.Heri moja kenda kuliko kumi nenda rudi, unajenga nyumba ya vyumba2, baada ya kuhamia unakaa miaka3 familia inakuwa kubwa. Mwisho unawaza kujenga nyumba nyingine kubwa.
Mkuu raha ya nyumba ujiachie. Sio unakuwa kwako utadhani upo geto, kajumba kadogooo.
Hahhah dah inakuwaje mkuu..Kanuni mojawapo ya kujenga ni Kujenga kama hautaki vile...
HhhhhhhhhhhhhBora kujenga tu hivyo hivyo ukishindwa kuhamia unaipangisha tu halafu ile kodi na wewe unaenda kulipa ulikopanga bado hakuna hasara
Ukiona hivyo huna future ya kukaa kwako na familia yakoDah...hapa nalipa buku 8 tu kwa mwezi...sawa na 96,000/- kwa mwaka ..ambayo ni sawa 960,000/- kwa miaka 10....nyumba ya nini sasa [emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia hivyo hivyo, uishi kwenye gofu la ndoto zako. (Nakutania mkuu).Yamenikuta hayahaya Diana mie..[emoji25][emoji25]
Kutaka floor moja ya vyumba viwili limekuwa gofu sasa mweh[emoji26]
Dah...hapa nimelipa miaka 30 mbele...umri wangu ni miaka 72...kwa kifupi hapa ni kama kwangu tu[emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona hivyo huna future ya kukaa kwako na familia yako
Yaaah! Habari za kuacha kuvaa kadeti kali kisa unajenga huo utopoloHahhah dah inakuwaje mkuu..
Au ndo ile usiwe siriaz sana na kujenga
Mie lazma nijengw servant quarter kwanza. Kirum cha master, sebule na jiko. Hapo tutachill na mke wangu wakati ujenzi wa nyumba kubwa my dream house unaendelea.pana dada mmoja ukiangalia kodi anayolipa hapo anapokaa kama angeamuwa kupanga nyumba ya uswahilini bei nafuu basi angekuwa ameshaanza ujenzi
na pili anataka kujenga nyumba kubwa wakati uwezo hana namwambia jenga kwanza ya wastani ili kujihifadhi ,hasikii
Ujenzi ni kiwanja... Ukishapata kiwanja seheme ya kueleweka kujenga kunakuja kwenyewe... Suala la kodi kwangu halijawahi kunisumbua akili yani nianze kuumia kulipa labda kubwa kisa sina kwangu hadi nikapange kachumba kamoja huko ndani ndani kila siku nichune bampa 😂😂😂...! Kujenga ni mipango tuMie lazma nijengw servant quarter kwanza. Kirum cha master, sebule na jiko. Hapo tutachill na mke wangu wakati ujenzi wa nyumba kubwa my dream house unaendelea.
Sihitaji kuteseka for years huku unalipa makodi huku unajenga kitu kisichoisha.
Mkuu nikupongeze kwa hatua hii uliyofikia,upo hatua 900 mbele ya anaenza leo nikupe moyo kwamba utaimaliza.me yangu ilisimama hivi almost miaka 7,I mean 7 years bila kufanya chochote na mfukoni hela sina kila nayoipata inatosha kwa matumizi ya wakati husika tu ila sikuwahi kukata tamaa,imani yangu ilikuwa ipo siku kama nipo hai nitaimaliza
Namshukuru Mungu,ndoto yangu amenipa uwezo wa kuitekeleza.hii pic ipo Google photos niliipiga mwaka 2017 siku ya jumapili,nikiwa hapa nilikutana na mjumbe wa mtaa akaniambia pagale lako linafuga wezi kama umeshindwa si umuuzie fulani (ni jirani yangu ana hela kidogo za kubadilisha mboga) na alikuwa ameshamnunua jirani yangu wa upande wa kushoto,nilijisikia huzuni sana nakumbuka nilikosa kauli sahihi ya kumjibu nikakaa kimya na hivi lilikuwa limefurika majani nikijiangalia mfukoni hela sina dah,binadamu wanajua sana kukatishana tamaa ila sasa maisha yanaendelea.
Mpaka nafikia hatua ya kuweka bati hizo tofali zilishabadilika rangi zikawa rangi nyeusi tii!kikubwa tusikate tamaa pumzi ikiwepo pambana.View attachment 1503264View attachment 1503265View attachment 1503266