Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

Mapambio jazz band
 
Binafsi niko Tanga inawezeka tena vizuri tu na huwa tunasafiri kwa hiyo njia kwa sasa vumbi iko hivi
TANGA JIJI HADI HANDENI NI LAMI
HANDENI HADI KILINDI NI VUMBI
KILINDI UNAENDA KAMA Kilomita kadhaa kama unaenda TURIANI ILA HUFIKI TOWN KUNA SEHEM UNACHEPUKA UNAINGIA KONDOA HADI HAPO TUKO PAMOJA
 
Ukitaja Turiani , tayari umeshaingia mkoa wa MOROGORO ambako Prof mbarawa hakuutaja huo mkoa
 
Mbona inawezekana. Barabara hapo itapitia Turiani ambayo ipo wilaya ya mvomero kwa maana itatokea kilindi Tanga inakuja kupita turiani Moro inakuja kuungana na barabara ya moro- dom. Uzuri ni kwamba rami inakaribia kufika madizini turiani
 
Mkuu ukitaja Mvomero, tayari umetaja mkoa wa Morogoro na Prof mbarawa hakuutaja mkoa wa MOROGORO, bali alitaja Tanga,Dodoma kwenda Singida
 
Hii ni tofauti na anayoiulizia kiongozi..Hii ya Kwako ni kweli inaanzia Dumila----Madizini- Kibati--Negero-- kuna kata hapo katikati ya Handeni na Kilindi,kuna mgodi wa dhahabu--then unatokea Handeni Mjini..huwa ina jina lake,kama sikosei ni Commonwealth road(I stand to be corrected), ni bonge la short cut
 
Mkuu ukitaja Mvomero, tayari umetaja mkoa wa Morogoro na Prof mbarawa hakuutaja mkoa wa MOROGORO, bali alitaja Tanga,Dodoma kwenda Singida
Kwa hiyo shida yako ni kutokutaja mkoa wa Manyara?..ha haa..ni kweli hiyo barabara baada ya Kibirashi inatokezea Kiteto Manyara ndio inaendelea hadi Kondoa..nadhani Mh Waziri alioverlook tu kidogo..ikiisha itarahisisha sana usafiri wa ukanda huo
 
Sasa ninakubaliana na jibu lako mkuu.
Wengine wanajibu tu na shule hawana
 
Mkuu haya mafala achana nao. Nipinga pinga hao. Wanachuki tu na selikali ya mama
 
Dodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania,Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa,Morogoro,Manyara,Tabora na Mbeya.

Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Acha fix iringa na tabora zinaingiaje
 
Anza Tanga -Handeni-Dodoma- Singida
 
Dodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania,Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa,Morogoro,Manyara,Tabora na Mbeya.

Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Unaijua Handeni - Kilindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…