Yaani wewe Ni kiazi, hayo maeneo yaliyotajwa yako wilaya tofauti kuanzia Korogwe,Handeni,Kilindi,Kiteto,Kondoa/Chemba Hadi Singida..
Kama umewahi pita Barabara ya Singida-Babati nje kidogo ya Mji wa Singida utaona Kibao kinaonesha uelekeo wa Dodoma(Kondoa eneo la Kwa Mtoro)..
Na kwa taarifa yako hii Ni Barabara kuu ya ku serve Bandari ya Tanga na iko ndani ya Central Corridor na Ni miongoni mwa Barabara za kimkakati za Afrika Mashariki.
Hivi nyie Chadomo huwa mnaleta ubishi wa Nini hasa?[emoji116]