Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

Kila mjinga leo anatoa ushauri wa kichekesho.
Na wewe tuo ujinga wako. Dunia nzima wanajenga Reli. Sisi tunataka kuishia Dodoma. Halifu baadaye tunalalamika. Ohooo Kenya wanatuzidi. Ohoo tungekuwa na reli mpaka kigoma ohoo sii unaona wezetu reli yao inafika mpaka Uganda [emoji1254]
 
Ushauri mzuri, ila Sasa aina ya watu tulionao kuufanyia KAZI ndo changamoto
 
Tazara ipo, mbona haitumiki kikamilifu ,
 
Leteni maji Dar kwanza.
SGR Ni kitu haiwezi Anza. Imagine Dar mpaka Moro mwaka wa tano huu kilomita 200.
 
..ingesaidia kama ungeeleza reli ilitakiwa ipite wapi.

..tueleze reli ianzie wapi, ipite wapi, na iishie wapi.
Nadhani reli ingetengenezewa tawi hapo Dodoma ambalo litaenda kwenye migodi ya Copper ya Zambia usawa wa Kanshasi Mine kisha ielekee usawa wa Migodi ya Cobalt ya Katanga.
Inaweza kuwa Dar-Makutopora-Zambia copper belt migodini- Mutanda mine Congo-Katanga(kwenye migodi ya Cobalt.
Au wangalie route ya kutoka Dodoma- Zambia- Congo ambayo itakuwa fupi ila yenye mizigo mingi.
Dar-Makutopora- Kansanshi Mine(Zambia)-Mutanda Mine(Drc Congo)-Katanga(DRC congo)
Au Dar-Makutopora- Copper belt-Katanga



Yaani iwepo route ya sgr toka Dodoma Makutopora kuelekea Zambia na DRC congo ila iwe karibu na maeneo ambayo migodi ipo mingi
 
Kwani hayo madeni yamekubana wapi mpaka uogope kukopa?
Kinachotakiwa ni kukopa na kufanyia kazi za maendeleo na sio kulipana posho na mishahala.
 
Umeandika kitu Cha kufikirisha Sana, maana huwezi kukosoa bila kuwa na data ya mizigo inayotoka sehemu husika.
Mwenye data atuletee Kwanza hapa tuone
Ili tusijitie uvivu kwenye ujenzi wa reli hii tufikirie zaidi mizigo na abiria kwwnda na kutoka mwanza, kagera, Mara, Simiyu, Chato, Shinyanga, Singida, Tabora na Kigoma kabla ya mizigo ya DRC, Rwanda, na Burundi. Lengo nadhani lilikuwa kupubguza uharibifu wa barabara kwa njia ya barabara na kupunguza bei za bidhaa kanda ya kati na ziwa.
 
Na wewe tuo ujinga wako. Dunia nzima wanajenga Reli. Sisi tunataka kuishia Dodoma. Halifu baadaye tunalalamika. Ohooo Kenya wanatuzidi. Ohoo tungekuwa na reli mpaka kigoma ohoo sii unaona wezetu reli yao inafika mpaka Uganda [emoji1254]
Huwezi kujenga reli kwa mihenko kama hiyo, utafiti wa faida, hasara na mazingira ni lazima katika kila mradi.
 
Pesa imekopwa na itatakiwa kulipwa na riba. Lazima sgr ipite sehemu ya mizigo mingi ili pesa ipatikane deni lilipwe. Mizigo mingi mno ipo Zambia na DRC congo na ni Kutoka kwenye migodi ya Cobalt na Copper. Nenda katafute idadi ya mizigo inayopita bandarini Dar, je mingi inatoka nchi gani?
 
Mbona huko kuna Tazara ambayo nayo ni SGR?
Tatizo sio miumdombinu bali watu ambao ni politicians ndo wenye kuamua
 
Wewe ukishakuwa Mr kopa kopa hasara ni mtoto wako
 
Wewe ukishakuwa Mr kopa kopa hasara ni mtoto wako
Ili kuacha kukopa wabunge wako tayari walipwe nusu mishahara Na posho ili tupate pesa za kujenga reli kwa pesa yetu wenyewe? Au ndugai anataka nani akamuliwe atoe pesa ya kujenga reli?
 

..hebu tueleze reli unayopendekeza na vituo vyake toka Dsm mpaka huko Copper belt za Zambia na DRC.

..tueleze kituo kwa kituo ipite wapi ili tupate picha kamili ya hoja yako.
 
..hebu tueleze reli unayopendekeza na vituo vyake toka Dsm mpaka huko Copper belt za Zambia na DRC.

..tueleze kituo kwa kituo ipite wapi ili tupate picha kamili ya hoja yako.
Maana amekazania copper belt Na cobalt
 
Mbona huko kuna Tazara ambayo nayo ni SGR?
Tatizo sio miumdombinu bali watu ambao ni politicians ndo wenye kuamua

..reli ya Tazara ni Cape Gauge Rail.

..ndio kiwango cha reli zinazotumika ktk nchi nyingi kusini mwa Afrika / SADC.

..miaka ya karibuni Angola wamejenga reli mpya ktk kiwango cha Cape Gauge.

..Nchi wanachama wa EAC ziliamua reli zao mpya zitakuwa Standard Gauge Rail.

..Standard Gauge Rail ni 1435 mm.

..Cape Gauge Rail ni 1067 mm.

..Nimeweka msisitizo huu ili asitokee mtu akadai kwamba reli ya Tazara haifai kwasababu sio SGR.
 
Maana amekazania copper belt Na cobalt

..ningekuwa na mamlaka ningeamua reli iishie ISAKA DRY PORT.

..baada ya hapo tupumue turudishe fedha tulizokopa kwenye mradi.

..any branch beyond Isaka ijengwe kwa fedha za ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…