Wawalete Kariakoo ili wakuze Uchumi wetu.Wacanada nao wawapunguze wadosi
Nimeishi nchi kazaa za Ulaya, in short viongozi wa ulaya wapo short sighted sana kwenye masuala ya tamaduni. Wanadhani muislam unaweza ukambadilisha. Kibaya zaidi wahamiaji wengi wa kiislamu wanaoa wake zaidi ya wawili na wanazaa watoto 10plus huku wazungu wakiwa na ka mke kamoja na mtoto mmoja au wawili huku wanajiona wastaarabu bila kujua siku zijazo waislamu ndiyo itakuwa population kubwa na kuzigeuza nchi hizo kiwa za kidini. Na bado watakoma mnoUjerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao
haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya raia wa Israel waliouliwa na magaidi wa kundi la HAMAS linalopewa support na Palestina pamoja na wafuasi wa dini ya kiislam
"The Chancellor of Germany returned home after a visit to Israel, where he saw what Hamas did to civilians. In response to seeing "migrants" openly supporting Hamas, the Chancellor said: 'It's time to start large-scale deportations.' "
View: https://twitter.com/HananyaNaftali/status/1716062711761576142?t=3X-p7EJQZ5uL04PoMcWycg&s=19
"It's time to start large-scale deportations.' "
Naona nchi nyingi za ulaya zimeanza kuamka sasa kwa kukaribisha wahamiaji wanaosupport ugaidi ngoja tuone huu mchezo unavyoenda.
Ndio makimbilio yao wanakimbia njaa bombay na mumbaiWacanada nao wawapunguze wadosi
Masikini sana kwao ni wabaguzi kuliko wazungu,hapo CA wameshusha malipo baadhi ya kazi eg truck driverNdio makimbilio yao wanakimbia njaa bombay na mumbai
Kama wanuwezo wakukuza uchumi kwanini wasiukuze uchumi wa nchi yaoWawalete Kariakoo ili wakuze Uchumi wetu.
Kuna kazi za heshima wanapataga au wanafanyaga hata za hovyo ili mradi tu nao wako CanadaMasikini sana kwao ni wabaguzi kuliko wazungu,hapo CA wameshusha malipo baadhi ya kazi eg truck driver
Nchi za Wadosi Kiuchumi unaweza kuzifananisha na hizi zetu za Kibantu?Kama wanuwezo wakukuza uchumi kwanini wasiukuze uchumi wa nchi yao
Jamaa wao ni vurugu tu hata wao kma wao vurugu vurumai yani kimsingi nguzo kuu ya uislamu ni kusababisha tafrani kisha kulalamikaAliyeleta hii dini alileta janga duniani
Waafrica bana na wewe unajinasibisha na wazungu huyo anaongea Waturuki peke yake Ujerumani zaidi ya Milioni 4 halafu chukua hii….Hawawapendi wazungu mchana lakini usiku deep down wanalilia kuishi Ulaya
Sasa wote mashoga kuzaa hawazai unategemea nini?Kama hapo France & Italy wasipokuwa makini watageuzwa mataifa ya kufaidi soon.
Wamestuka shuka kumekucha.
Son, it's too late!Kama hapo France & Italy wasipokuwa makini watageuzwa mataifa ya kufaidi soon.