Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

Ujerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao

haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya raia wa Israel waliouliwa na magaidi wa kundi la HAMAS linalopewa support na Palestina pamoja na wafuasi wa dini ya kiislam

"The Chancellor of Germany returned home after a visit to Israel, where he saw what Hamas did to civilians. In response to seeing "migrants" openly supporting Hamas, the Chancellor said: 'It's time to start large-scale deportations.' "


View: https://twitter.com/HananyaNaftali/status/1716062711761576142?t=3X-p7EJQZ5uL04PoMcWycg&s=19

"It's time to start large-scale deportations.' "

Naona nchi nyingi za ulaya zimeanza kuamka sasa kwa kukaribisha wahamiaji wanaosupport ugaidi ngoja tuone huu mchezo unavyoenda.

Nimeishi nchi kazaa za Ulaya, in short viongozi wa ulaya wapo short sighted sana kwenye masuala ya tamaduni. Wanadhani muislam unaweza ukambadilisha. Kibaya zaidi wahamiaji wengi wa kiislamu wanaoa wake zaidi ya wawili na wanazaa watoto 10plus huku wazungu wakiwa na ka mke kamoja na mtoto mmoja au wawili huku wanajiona wastaarabu bila kujua siku zijazo waislamu ndiyo itakuwa population kubwa na kuzigeuza nchi hizo kiwa za kidini. Na bado watakoma mno
 
Wahamiaji ndio wanaopiga sana kazi huko Ulaya. Kazi za kilimo, viwandani nk
Kwa hiyo ni ngumu kuwaondoa.
Labda hofu ni kuzaliana kwao, wanazaliana sana kuliko wenyeji itafika hatua wao watakuwa wengi
 
Kama wanuwezo wakukuza uchumi kwanini wasiukuze uchumi wa nchi yao
Nchi za Wadosi Kiuchumi unaweza kuzifananisha na hizi zetu za Kibantu?

Hata hapa Afrika Wadosi kwa Uchumi wako juu Mfano Mo Dewji MT MERU nk.
 
Hawa ni wazungu ila wameamua kusimama na haki
 

Attachments

  • Screenshot_20231023-115251_Instagram.jpg
    Screenshot_20231023-115251_Instagram.jpg
    86.2 KB · Views: 2
Hawawapendi wazungu mchana lakini usiku deep down wanalilia kuishi Ulaya
Waafrica bana na wewe unajinasibisha na wazungu huyo anaongea Waturuki peke yake Ujerumani zaidi ya Milioni 4 halafu chukua hii….
 

Attachments

  • 7145e3c0-0ee4-434a-9e32-626d8d52e548.mov
    6.2 MB
Halafu hizo chuki mnazo nyie watu weusi ila wenyewe bado wanawahitaji na hawana chuki hizo , cheki top three ya green card ya marekani wote waarabu hao , acheni chuki za kijinga waarabu na waislamu wataendelea kuishi popote na hatutokuwa mabubu kwenye kuisemea haki popote
 

Attachments

  • Screenshot_20231023-140340_Chrome.jpg
    Screenshot_20231023-140340_Chrome.jpg
    65.1 KB · Views: 3
Wazee wa kuplay victmis wataanza kusema wazungu wanachuki na waislamu,kumbe waislam vichwani wamejaza mavi na upuuzi mwingi.
 
Wao ndio wameleta majanga ya vita kuanzia Iraq, Libya, Syria na nchi nyingi za Africa wao ndio sababu, Kama Syria walisema kabisa wanahitaji wakimbizi mpaka Million moja wa Syria kwa kuwa hawana wafanyakazi wa viwanda miaka kumi inayokuja. Wakaona njia nyingine washindikize mashoga ili watu wazizaliane huku hiyo imewashinda. Wajerumani wengi hawana family na wengine Ulaya wapo wapo tu na haya ma LGBT sijui ndio kabisa watapotea tu.
 
Back
Top Bottom