Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

Watarudishwa tu au na wao watangangania kama wapalestina[emoji28][emoji28]
Haitotokea trust me maneno ya hasira watu wengi walitegemea baada ya 9/11 waarabu watawawekea ngumu ulaya na marekani ila the opposite ndio wanawapokea sana kuliko hata nchi za africa
 
Haitotokea trust me maneno ya hasira watu wengi walitegemea baada ya 9/11 waarabu watawawekea ngumu ulaya na marekani ila the opposite ndio wanawapokea sana kuliko hata nchi za africa

Ila inawezekana na ikifanyika hivyo hakuna kitu watafanya.
 
Hawawapendi wazungu mchana lakini usiku deep down wanalilia kuishi Ulaya
Kuna comment yangu sehemu nilimjibu mfia dini mmoja hivi nikamwambia; "... sehemu nzuri ya kupata mkate mmoja na mwingine kwa urahisi ni western zone.

Huko sijui Dubai, Oman ni uongo mkuu utapiga maisha mpaka unakiona kiyama hutoboi, for instant housemate kutoka Africa aliyepo western huwezi mlinganisha na aliye Arabic zone".
 
kiongozi wa uingereza akiongoza maandamano kutetea palestina
 

Attachments

  • Screenshot_20231023-143224_Instagram.jpg
    94.8 KB · Views: 5
Bora na wao waondoke nchi za kiarabu na za kislamu wanatuibia sana

Wakristo wengi wanaishi nchi za kiarabu kuliko warabu wanavyo ishi kwao

Hawa akitokea mfalme wa kiarabu kama King Faisal ndio wangejua warabu hawana haja nao.
 
Safi sana, magaidi hawatakiwi duniani. Warudi makwao wakauane tu.
 
Unajielewa bro
 
Safi sana, magaidi hawatakiwi duniani. Warudi makwao wakauane tu.
Sasa waondoke au wasiondoke ulaya wewe inakusaidia nini? Hibi unajua muslim population ni 5% europe na inazidi kuongezeka kwasababu wana high fertility rate kulinganisha na wazungu ambao hawapendi kuzaa kwasababu moja au nyimgine ikiwemo ushoga nakadhalika, na hakuna sheria ya kuwarudisha unless wawe wameingia ilegally , by 2050 muslim will make 14% of europe fyi
 
Kwa anavyowapenda wazungu wa magharibi waziwazi MK254, hapo lazima akupe "like." Kazi Ipo.

Wazungu wanavuna walichopanda, kwa wao kupokea hayo mazombi isiyokua na fadhila ndicho kinachowaponza.
Mjifunze kwa Wahindi na Wachina ambao wakiingia kwenye nchi yoyote wao huwafanya mambo yao kimya kimya bila chokochoko zozote.
 
Hahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…