Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

---
Ujerumani.jpg

Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the system as early as March 2022.

Here's What We Know​

The Arrow 3 is the "top layer" of Israel's missile defence system. The system is used to intercept short-, medium- and long-range missiles at safe altitudes (up to 100 km). The system is also capable of shooting down ballistic targets outside the atmosphere.

Germany plans to strike a deal with the Israeli government later this year. This was reported by Reuters news agency, citing a Finance Ministry document prepared for parliament.

Previously, there was information that Germany would pay about €3 billion ($3.23 billion) for the Arrow-3. According to the new information, the deal will amount to €4bn ($4.3bn). In addition, the contract involves an upfront payment of nearly €560 million ($600 million).

Deliveries of the Arrow-3 missile defense system are scheduled for the fourth quarter of 2025. In the event of a deal breakdown, the advance payment is non-refundable. It will become compensation for costs incurred by Israel.

Source: Germany to spend $4.3bn to buy Arrow-3 missile defence system to intercept ballistic missiles outside the atmosphere
 
Swali la msingi ni kwamba mbona hawajakimbilia kununua za Marekani ambazo inaamika ziko imara kwenye anga la Ukraine?
Hilo ni swali la msingi kwa nchi washamba kama Warusi, yani Warusi hawawezi nunua kitu cha rafiki yao hata kiwe superior kwa cha kwao. Air defense inatumia concept ya integration. Hautumii system ya aina moja au manufacturer mmoja, hata China ina air defense systems nyingi za kwake ila bado inazo S-400 za Urusi.

Marekani inazo za kutosha ila bado ilinunua za Israel. Israel inazo za kwake nyingi ila bado ilinunua Patriot na systems nyingine za Marekani. Bado Marekani hiyo hiyo imewekeza na kutoa technical support kwa Israel kutengeneza systems kama Iron Dome. Ukiachana na support hiyo ya teknolojia bado Marekani inatoa fungu kwa mwaka zaidi ya $3 billion kusaidia jeshi la Israel na baadhi ya hela inaenda kwa R&D ya hizo silaha.

Arrow 3 kuna US tech hapo. Na uzuri wa hiyo system ni hit to kill, sio yenye close proximity na fragmentations nyingi kama za Warusi ambazo hulazimika ziwe na warhead kubwa ndio zifanye interception. Arrow 3 na Patriot version mpya hazina warhead au zina ndogo sana, na zimepunguza ukubwa wa missile na kuongeza range sababu ya teknolojia kubwa kama seeker, manoeuvrability na uwezo wa kompyuta.
 
Moja au mbili zinaweza kulinda eneo la ukubwa gani na kwa usahihi upi, ili tuangalie uwezekano wa Ukraine kusalimika kichapo bwebwe cha Mrusi?
 
Jambo la msingi lingine ni uharaka wa mahitaji. Lockheed Martin imesema wiki jana hapo kwamba inaweza toa batteries 6 za Patriot kwa mwaka, wakati huo kuna orders kadhaa zipo na bado Ukraine itapewa kwenye production run hiyohiyo.
Commitment ya LM ni kutoa systems kadhaa na sijui ni ngapi labda batteries tatu kwa upendeleo kwenda Ukraine (zinalipiwa na Marekani) ila bado mpaka ziende ni mwakani. Sasa hizo ni za upendeleo zinakamilika mwakani, bado hujaongeza order iliyopo, haya sasa Ujerumani ingeweka order sasa hivi si ingepata 2025.

Kule Israel hao kina Rafael na IAI hawana contracts nyingi sana.
 
Moja au mbili zinaweza kulinda eneo la ukubwa gani na kwa usahihi upi, ili tuangalie uwezekano wa Ukraine kusalimika kichapo bwebwe cha Mrusi?
AD systems zinauzwa kwa battery kama zikiwa long range au medium range. Battery moja ya AD hasa S-400 au Patriot almost zina vifaa sawasawa so iko hivi. Zote zina launchers 8 na hiyo launcher moja ina makombora manne yenye range tofautitofauti kwenye transport elector vehicle. Kuna searching radar, engagement radar, gari la generator, command vehicle na gari la kubebea wanajeshi wa unit na vehicle nyingine labda nimesahau. So complex zote zinabeba watu hata mia.

Patriot PAC 3 ina range ndogo zaidi ya S-400 ila ina accuracy na ni fool proof zaidi ya S-400. Ukiwa unapigana na jeshi la uwezo wa kati S-400 ni nzuri sana ila ukipaga na jeshi la uwezo wa juu Patriot ni nzuri zaidi. Concepts za watengenezaji zinatofautiana, wakati Marekani unajua itakuwa na air dominance, AWACS na intelligence kubwa angani. Urusi haiamini kwenye air dominance na ina AWACS chache sana na haiwezi pata awareness nzuri ya anga la adui hivyo inabidi iwe na system yenye range kubwa kufidia upungufu kwingine.
 
Humu watu munavyoongea utazaa wanajeshi wastaafu ambao washawahi kutumia hiyo mifumo yote kumba mpaka hivi tunaongea haupo hata mfumo mmoja bara zima sio nchini Tanzania tu bali bara zima hakuna
 
Isråel ndio Marekani!
Kumbe hujui Isråel ni Mtawala wa Marekani na dunia
 
mb
Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the system as early as March 2022
mbona hii ya mwaka jana???
muda ulishapita kabisa
 
Moja au mbili zinaweza kulinda eneo la ukubwa gani na kwa usahihi upi, ili tuangalie uwezekano wa Ukraine kusalimika kichapo bwebwe cha Mrusi?
Uwezo wako wa ku reason upo chini sana, na hii inatokana lishe mbovu uliyokuwa unapewa wakati ukiwa bado mdogo.
 
Back
Top Bottom