permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hoja yako ni dhaifu sana. Urusi anatengeneza silaha za kila aina huku akinunua nyingine kwa waziwazi na nyingine kwa magendo, Ukraine kwa sasa hana kiwanda cha silaha kinschofanya kazi na wala hakuwa na silaha za maana kupigana hii vita.Mkuu permanides , ukweli ni kwamba machuma chuma ya Marekani na NATO yamefia Ukraine.
Nikuulize kitu, mkuu? Hivi hizi military packages zisizoisha za Joe Biden kila juma hazikushtui?
Ulipaswa utoe pongezi kwa namna silaha chache za msaada zimeweza kuizuia Urusi mpaka sasa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app