Tech pekee ya Marekani ni kuchapisha zile karatasi mnazozihusudu na kuziita dola
Kwa Urusi wawanashika adabu.Isråel ndio Marekani!
Kumbe hujui Isråel ni Mtawala wa Marekani na dunia
Wachambuzi wengi wa Mambo ya kijeshi sio Wanajeshi na hawachagui ukubwa au uwezo wa silaha.Humu watu munavyoongea utazaa wanajeshi wastaafu ambao washawahi kutumia hiyo mifumo yote kumba mpaka hivi tunaongea haupo hata mfumo mmoja bara zima sio nchini Tanzania tu bali bara zima hakuna
Swali la msingi ni kwamba mbona hawajakimbilia kununua za Marekani ambazo inaamika ziko imara kwenye anga la Ukraine?
Lakini urusi amekua akinunua silaha nyingi tu kama Drones na makombora kutoka hiran na ChinaHilo ni swali la msingi kwa nchi washamba kama Warusi, yani Warusi hawawezi nunua kitu cha rafiki yao hata kiwe superior kwa cha kwao. Air defense inatumia concept ya integration. Hautumii system ya aina moja au manufacturer mmoja, hata China ina air defense systems nyingi za kwake ila bado inazo S-400 za Urusi.
Marekani inazo za kutosha ila bado ilinunua za Israel. Israel inazo za kwake nyingi ila bado ilinunua Patriot na systems nyingine za Marekani. Bado Marekani hiyo hiyo imewekeza na kutoa technical support kwa Israel kutengeneza systems kama Iron Dome. Ukiachana na support hiyo ya teknolojia bado Marekani inatoa fungu kwa mwaka zaidi ya $3 billion kusaidia jeshi la Israel na baadhi ya hela inaenda kwa R&D ya hizo silaha.
Arrow 3 kuna US tech hapo. Na uzuri wa hiyo system ni hit to kill, sio yenye close proximity na fragmentations nyingi kama za Warusi ambazo hulazimika ziwe na warhead kubwa ndio zifanye interception. Arrow 3 na Patriot version mpya hazina warhead au zina ndogo sana, na zimepunguza ukubwa wa missile na kuongeza range sababu ya teknolojia kubwa kama seeker, manoeuvrability na uwezo wa kompyuta.
Mwaka kwenye taarifa hauendani na maelezo ya mleta uziThe German government has expressed its willingness to buy the system as early as March 2022.
wale wanampa bure hanunui ...Wewe ni muongo sana huoni Urusi akinunua silaha nyingi tu kama Drones na makombora kutoka Iran na China??
Yale matakataka ya kimarekani yanapasuka vibayaSwali la msingi ni kwamba mbona hawajakimbilia kununua za Marekani ambazo inaamika ziko imara kwenye anga la Ukraine?
We jamaa chuki inakupotezea weledi kwenye uchambuzi wa baadhi ya mambo. Hivi Urusi analazimika vp kununua system ambazo ni inferior kwa alizonazo? Hivi ukanunua AD systems za Mchina wakati mchina mwenyewe anategemea ujuzi wako kutengeneza baadhi ya siraha zake under license? Mbona Urusi wananunua Shaheeds za Iran ila pia juzi kati hapa si jeshi la Akhmat ya wa Chechniya si wamenunua ShaanXi Tiger 4×4 za wachina. Au kwako hadi inunuliwe AD ndo unaelewa?Hilo ni swali la msingi kwa nchi washamba kama Warusi, yani Warusi hawawezi nunua kitu cha rafiki yao hata kiwe superior kwa cha kwao. Air defense inatumia concept ya integration. Hautumii system ya aina moja au manufacturer mmoja, hata China ina air defense systems nyingi za kwake ila bado inazo S-400 za Urusi.
Lakini urusi amekua akinunua silaha nyingi tu kama Drones na makombora kutoka hiran na China
Urusi ananunua maji yakifika shingoni, sio kwa mahitaji ila kwa kulazimika. Yani badala ya kinga yeye anatafuta tiba.We jamaa chuki inakupotezea weledi kwenye uchambuzi wa baadhi ya mambo. Hivi Urusi analazimika vp kununua system ambazo ni inferior kwa alizonazo? Hivi ukanunua AD systems za Mchina wakati mchina mwenyewe anategemea ujuzi wako kutengeneza baadhi ya siraha zake under license? Mbona Urusi wananunua Shaheeds za Iran ila pia juzi kati hapa si jeshi la Akhmat ya wa Chechniya si wamenunua ShaanXi Tiger 4×4 za wachina. Au kwako hadi inunuliwe AD ndo unaelewa?
Wakati Russia anaagiza Mistrals kutoka France alikuwa kwenye vita gani?Urusi ananunua maji yakifika shingoni, sio kwa mahitaji ila kwa kulazimika. Yani badala ya kinga yeye anatafuta tiba.
Hizo Tiger 4×4 wamenunua sababu ni cheap na widely available, production ya factories za Urusi haifikii demand waliyonayo kipindi hiki.
Shaheed walinunua sababu hawakuwa na suicide drones za uhakika na hawakuwa na mass production, ilikuwa concept mpya kwao wakati kwa Iran ni concept ya miaka mingi. Mpaka baadae Urusi ilivyoendeleza na kutoa drones kama Lancent.
Hao kina Ujerumani, Israel, Marekani wananunua kipindi hawana vita. Wanafanya assesment wanaona silaha gani ina performance nzuri wananunua, hawasubiri zao zifeli au production isifike mahitaji ndio wachukue chochote kinachopatikana kwa allies.
China ina uwezo wa kutengeneza meli kuizidi Urusi, makombora, smart munitions ndio usiseme, drones kuanzia za kiraia hao DJI na za kijeshi, microchips na vitu vingi ambavyo Russia anasuasua.
Kwenye radars Wachina wana hatua nzuri sana, kwenye hypersonic wako mbali, kwenye stealth technology mbali. Kitu kimoja muhimu ambacho bado wako nyuma kwa Mrusi ni turbofan engines za jet fighters.
China ina hela, ikiona superior product inaagiza mkigoma kuuza hilo ni jambo lingine. Iko radhi inunue teknolojia ya civilian version ya kifaa cha kijeshi kama hizo European heavy trucks au ifanye licence production.
Urusi hajui kitu kwenye civilian technology ambayo ndio iko wazi, alafu kuna watu wanaamini anajua sana kwenye military tech ambayo ni ngumu zaidi. Kompyuta, simu, magari, kamera, TV sets, ndege za kiraia na tech products nyingine Urusi inategemea mataifa ya nje na hiyo China kwa wingi. Ghafla kwenye jeshi ndio eti Urusi inajua kila kitu mpaka maji yafike shingoni ndio iwafikirie Iran na China.
Unarudi palepale, maji yakifika shingoni ndio anakumbuka shuka kumekucha. Meli kubwa karibia zote za Urusi ni za miaka ya 1970s na 80s, kaja kuweka order ya Mistral apate tech transfer prior na kuivamia Crimea.Wakati Russia anaagiza Mistrals kutoka France alikuwa kwenye vita gani?
Hueleweki unasimamia niniUnarudi palepale, maji yakifika shingoni ndio anakumbuka shuka kumekucha. Meli kubwa karibia zote za Urusi ni za miaka ya 1970s na 80s, kaja kuweka order ya Mistral apate tech transfer prior na kuivamia Crimea.
Tangu anyimwe hizo Mistral hajaunda meli kubwa anaishia kwenye corvettes.
Patriot, HIMARS, Javelin...and the list goes on. S 400 za Urusi tulizoambiwa ni latest zimekufa kifo cha mende hapo Ukraine.Tech pekee ya Marekani ni kuchapisha zile karatasi mnazozihusudu na kuziita dola
Mkuu, ukitaka kujua HIMARS anasimamia nini, pitia taarifa zake pale ubalozi wa MarekaniHueleweki unasimamia nini
Mkuu permanides , ukweli ni kwamba machuma chuma ya Marekani na NATO yamefia Ukraine.Patriot, HIMARS, Javelin...and the list goes on. S 400 za Urusi tulizoambiwa ni latest zimekufa kifo cha mende hapo Ukraine.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
MK254Swali la msingi ni kwamba mbona hawajakimbilia kununua za Marekani ambazo inaamika ziko imara kwenye anga la Ukraine?