Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

Poa mkuu my point ni kwamba kuna baadhi ya wakristo wa tanzania wanajifanya wao ni watakatifu na wengine wote ni wakosefu that was my objective sipo hapa kumdhihaki mwamposa au mtu yoyote
Okay
Nimekusoma
 
Poa mkuu my point ni kwamba kuna baadhi ya wakristo wa tanzania wanajifanya wao ni watakatifu na wengine wote ni wakosefu that was my objective sipo hapa kumdhihaki mwamposa au mtu yoyote

Wengine hawa


 
Dah! unyumbu wa kiwango gani huu??? hivi hawa watu wamerogwa???

Kumradhi ila nimejikuta nimekereka sana kwa watu wanavyokubali kutukana intelligence zao kiwango hiki! It's a shame to us Africans, Ulaya hakuna huu upuuzi, no wonder hata waumini wa hii dini wanazidi kuwa athiets kule kila siku. Akili ndogo tu mtu inakutosha kutoka kwenye utumwa huu wa akili!
 
Kama Huna Nguvu Kwenye hii Dunia basi kubali Kuwa mpole na Sikiliza wakubwa wanachosema Mf china ,Japani Wamekuwa wapole Sasa hivi Wana Nguvu na Maisha Yanakwenda Uchumi Mzur na Kila kitu Safi Sasa Hawa Waarabu wasio kuwa na Akili yoyte Kwenye hii Dunia Wanataka kuvimbia wakubwa huku Kila Kitu wanachotumia ni Kutoka Maghalibi Wasubili wawe Mfano wa Wengine wasio kuwa na Akili kama Wao
 
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.

Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo kwa sasa imejiongezea maadui kufuatia vita vya miezi 10 na Hamas.

Hayo yakitokea wafalme wa nchi za mashariki ya kati walilala muda wote wa miezi 10 ya vita na bado wanaendelea kulala huku ndugu zao wa Palestina wakimalizwa kwa kuuliwa kwa njia ya silaha nzito na njaa.
Hivi wafalme wa mashariki ya kati waliwahi kuamka ndugu zao katika Imani walipokuwa wanauliwa huko Somalia, Sudan,Mali na kwingineko Afrika?
Amka mwarabu si ndugu yako.
 
Israel wapo vizuri kwenye calculation zake kama ameweza kuwashawishi mataifa makubwa ulimwenguni yawe upande wake licha ya yote anayoyafanya....imefika mahali mataifa makubwa yanaona usalama wa Israel sio suala la kujadiliana bali ni kutekeleza
Ironically vita inataka kurindima middle east ulaya wanataka kujustify mass deportation ya Waislamu wa middle east.Hizi ni calculated moves si bure.
 
Back
Top Bottom