Germany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni.
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor, ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all