UJIJI: Wazee wa UJIJI -KIGOMA wasema hawajawahi kuona Kiongozi aliyeujaza Uwanjani wa Lake Tanganyika kama Rais Samia

Watoto wengi wa Shule wanaonekana kila mahali, mgewapa nafasi wakahudhuria masomo .
 
Roho mbaya imekushika ndio maana umeandika hivyo
 
Kunywa vidonge kupunguza mawazo tu maana Rais Samia Ndio habari ya mjini kwa Sasa, kila anakokwenda Ni mapokezi ya kishindooo tu
 
Rais Samia anazidi kuchanja mbuga kwa kishindooo, watanzania wanamkubali na kumpenda Sana Rais Samia, watanzania Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais Samia, kagusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti, kaleta nuru kwenye mioyo ya watanzania.sasa watanzania Wana matumaini makubwa na kesho yao kuwa Bora zaidi ya leo
 
Wataftaji wanaziona fursa ndani ya Samia Ni wale bongo lala tu ndo vilio Kila kukicha
 
Watoto wengi wa Shule wanaonekana kila mahali, mgewapa nafasi wakahudhuria masomo .
Utakufa na Roho mbaya yako hiyo maana mafuriko ya watanzania kumpokea Rais Samia yatakupandisha presha na kukupa vidonda vya tumbo
 
Kuna watu watapinga na kusema watu wamekuja kuona wasanii 😁😁

Mbinu za kujaza mikutano ya chama dola inafahamika duniani. Hapo wamejazwa wanafunzi kwa shuruti, wengine wamesombwa na malori toka mashambani kwenda kuona mji. Hapo unategemea wasijae.
 
Utakufa na Roho mbaya yako hiyo maana mafuriko ya watanzania kumpokea Rais Samia yatakupandisha presha na kukupa vidonda vya tumbo

Mafuriko kisha ikifika wakati wa uchaguzi wizi ndio inakuwa nguzo kuu ya chama?!
 
Mafuriko kisha ikifika wakati wa uchaguzi wizi ndio inakuwa nguzo kuu ya chama?!
CCM inapita kwa kura za watanzania, nyie endeleeni kutafuna tu fedha za join the chain mpaka meno yenu yalizike maana ndio furaha yenu
 
Kigoma hata wewe ukivaa suti na upo kwenye gari hata IST... Wwtu kibao watakuzunguka na kushangaa
 
CCM inapita kwa kura za watanzania, nyie endeleeni kutafuna tu fedha za join the chain mpaka meno yenu yalizike maana ndio furaha yenu
Kura za watanzania zinabebwa na polisi kuingizwa kwenye vyumba vya kura? Ingekuwa inapita kwa kura za wananchi leo hii matokeo ya uchaguzi wa 2020 yangekuwa kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama sheria inavyotaka.
 
Kwa hiyo wewe shida yako ni kuweka matokeo kwenye tovuti ya tume ? Hata hivyo haya Mambo siyo saizi yenu maana nyie mnadili na hela tu mifukoni mwenu kupitia michango mitaani,
 
Kwa hiyo wewe shida yako ni kuweka matokeo kwenye tovuti ya tume ? Hata hivyo haya Mambo siyo saizi yenu maana nyie mnadili na hela tu mifukoni mwenu kupitia michango mitaani,

Sio Shida yangu, hilo ni takwa la kisheria.
 
Kazi Nzuri Sana, Mungu ibariki Tanzania
 
Haiondoi ukweli CCM bila mbeleko ya polisi na tume ya Chai jaba si kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…