Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia mbele kwa mbele, halazimishi kupendwa kama yule dictator....tumempendq wenyeweNyumbu hamueleweki.
Roho mbaya imekushika ndio maana umeandika hivyoSo what?
Yaani watu wanaacha shughuli za uzalishaji mali, wanakusanyika kusikiliza hotuba!
Halafu mbona wananchi wenyewe ni kama hawana furaha? Wanafaidi migebuka kweli huko? Au inasafirishwa zaidi nje baada ya mipaka kufunguliwa?
Na hii yote ni kumridhisha kiongozi kwa mlengo wa kisiasa. Ila kiuchumi hakuna tija yoyote!
Kunywa vidonge kupunguza mawazo tu maana Rais Samia Ndio habari ya mjini kwa Sasa, kila anakokwenda Ni mapokezi ya kishindooo tuSo what?
Yaani watu wanaacha shughuli za uzalishaji mali, wanakusanyika kusikiliza hotuba!
Halafu mbona wananchi wenyewe ni kama hawana furaha? Wanafaidi migebuka kweli huko? Au inasafirishwa zaidi nje baada ya mipaka kufunguliwa?
Na hii yote ni kumridhisha kiongozi kwa mlengo wa kisiasa. Ila kiuchumi hakuna tija yoyote!
Yote hii ni roho mbaya ya kutokumpenda mama ndio maana ukaandika hiviUdini tu kule ujiji ndio maana ni sehemu masikini zaidi duniani
USSR
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA
View attachment 2391342
Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika.
View attachment 2391335
Mapenzi haya makubwa kwa Rais Samia yanahusishwa na jitihada zake kupitia serikali anayoiongoza ya kuifanya mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara ukanda wa Magharibi.
View attachment 2391340
Serikali ya awamu ya sita anayoiongoza Rais Samia inakamilisha ujenzi wa barabara za lami zinazouunganisha mkoa wa Kigoma na mikoa ya Tabora, Kagera na Katavi.
Inatekeleza pia miradi ya ujenzi wa meli kubwa mbili kwa ajili ya abiria na mizigo, inakamilisha ujenzi wa bandari ya Ujiji na Kibirizi, inakamilisha ukarabati wa meli ya kubeba mafuta ya MT Sangara, imeuunganisha mkoa huo na umeme wa Gridi ya Taifa pamoja na uimarishaji mkubwa wa hospitali ya rufaa ya mkoa huo Maweni.
Naye Mzee Ali Msaze wa Buzebazeba anasema tangu awe na akili za kujitambua hujawahi kuona watu wengi Kama hawa," Huyu mama ni mpango wa Mungu "
View attachment 2391341
Hakika wanakigoma #Tunaridhika #HakunaKilichosimama #KaziIendelee
Utakufa na Roho mbaya yako hiyo maana mafuriko ya watanzania kumpokea Rais Samia yatakupandisha presha na kukupa vidonda vya tumboWatoto wengi wa Shule wanaonekana kila mahali, mgewapa nafasi wakahudhuria masomo .
Kuna watu watapinga na kusema watu wamekuja kuona wasanii 😁😁
Wataftaji wanaziona fursa ndani ya Samia Ni wale bongo lala tu ndo vilio Kila kukicha
Utakufa na Roho mbaya yako hiyo maana mafuriko ya watanzania kumpokea Rais Samia yatakupandisha presha na kukupa vidonda vya tumbo
Watafutaji au chawa?unajua nn maana ya uchawa mkuu
CCM inapita kwa kura za watanzania, nyie endeleeni kutafuna tu fedha za join the chain mpaka meno yenu yalizike maana ndio furaha yenuMafuriko kisha ikifika wakati wa uchaguzi wizi ndio inakuwa nguzo kuu ya chama?!
Siku hizi wazee wamekalia uchawa na unafiki. Ndiyo maana hawaheshimiki tena.
Kura za watanzania zinabebwa na polisi kuingizwa kwenye vyumba vya kura? Ingekuwa inapita kwa kura za wananchi leo hii matokeo ya uchaguzi wa 2020 yangekuwa kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama sheria inavyotaka.CCM inapita kwa kura za watanzania, nyie endeleeni kutafuna tu fedha za join the chain mpaka meno yenu yalizike maana ndio furaha yenu
Kwa hiyo wewe shida yako ni kuweka matokeo kwenye tovuti ya tume ? Hata hivyo haya Mambo siyo saizi yenu maana nyie mnadili na hela tu mifukoni mwenu kupitia michango mitaani,Kura za watanzania zinabebwa na polisi kuingizwa kwenye vyumba vya kura? Ingekuwa inapita kwa kura za wananchi leo hii matokeo ya uchaguzi wa 2020 yangekuwa kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama sheria inavyotaka.
Kwa hiyo wewe shida yako ni kuweka matokeo kwenye tovuti ya tume ? Hata hivyo haya Mambo siyo saizi yenu maana nyie mnadili na hela tu mifukoni mwenu kupitia michango mitaani,
Kazi Nzuri Sana, Mungu ibariki TanzaniaKIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA