Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Hawa mkuu jitahidi tu kuwaelewa ila kwa ambao wameshapitia mbilinge za maisha ni kawaida kabisa kufikiri kama wewe. Kwamba kuna maisha mengine nje kutafuta pesa. Na sio kila kitu ni suala serious. Kuna maisha mengine kabisa nje ya kile watu wanakaririshwa
 
Mbon umefungua code zote mhusika akisoma si ataelewa kila kitu.
Hapana. Muhusika yeye hakuna anachojua kuhsu pesa, yeye anajua jilikua na hela tu sio namna nilizipata. Hata hakujua kuwa nilivyotoka nilienda kuoiga simu nitumiwe pesa
 
Nawaona wazee wa ID mpya, mnachakata mbususu humu then mnabadili ID ili muendelee dhambi Sana secure🤣🤣🤣
Hapana bwana. Ile Id niliona imeshakata miaka ya kutosha nikaona sina budi kutafuta nyingine mpaka namba za simu nilibadili zote mwaka jana mwanzoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…