Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

kamata Fanta hapo DD analipa
andiko murua kabisa
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
What a Man! Mungu akuweke sana sababu unaandika uhalsia utadhani Robert Greene wa 48 laws. Tukipata waandishi kama nyie 10 nchi hii itapona.
 
kuna vitu umeandika hapa vipo sawa logically ila tukiingia kwenye uhalisia vinakinzana. But mimi binafsi nikupongeze kwa ufahamu wako mzuri kuhusu maisha na hili ni moja kati ya andiko zuri watu kujifunza ila sio kuyaishi na kuamini hivyo kwa asilimia 100%.. Maisha ya mtu ni too complicate scene ambayo majibu yake hayapatikani kwa kiumbe chochote hapa duniani zaidi ya yeye MUNGU aliyetuumba. Mungu akubariki, karibu sana Ontario CA.
 
Trigger level 100%
 

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

Nashukuru Sana Mkuu.
Barikiwa sana
 
Mie nakupinga kwa asilimia zotee! Mzazi km hajasoma watoto hawatasoma pia! ni kweli kabisaa wewe kusoma kutoka kwa mzazi kilaza kuna mambo matatu Moja ni kwa kuwa

huyo mzazi alijua/tambua umuhimu na maana ya Elimu! hii tu ni kisomo pia!

Pili aliishi Mazingira ya wasomi km Misssion, hata kufanya kazi za ndani kwa msomi, Mikocheni, oyster bay uzunguni Ikulu nk! ni kusoma pia!

Tatu aliona na kuitambua faida ya wasomi, hili tu ni kusoma pia!
ile tu kutembea kuona, kudadisi na kujua kuna fungua macho ya fursa mnooo! wazazi wako km walifanya kazi kwa wahindi/waarabu lazima wafunguke tu!...japo hawana elimu ya darasani!

pamoja na weye kuwa kusema graduate sina hakika na hili...... ni makosa kuamini kuwa Elimu hupatikana Drsani tuu!!kule field uliko kwenda ulikutana na watu ambao hawakusoma kabisaaaa lkn walikuwa msaada kwako!

mfano hai! DR mafunzoni akienda field ni lazima akutane na TBA wasiopungua saba, awajue na wa mu asses! finally watie dole gumba lao ili hatimaye DR apitishwe.

nasema haya ili ujue kuwa hata ambaye hakusoma una la kujifunza ktoka kwake km weye ulivo pata muongozo kutoka kwa wazazi vilaza !kwa mujibu wa respond yako!

nikiwa na maana kuwa wazazio hawakwenda shule unayo dhania weye! ni sawa! lkn kuna mahala usipopajua wao km wao walijifunza kitu umuhim wa Ilimu!! hiyo nayo ni shule kubwa isiyo rasmi!

Mfano house girl wa kikwete/kairuki/ Professor shivji! aliye kaa nae vizuri na miaka mingi una dhani watoto wa house/boy/girl watakuwa vilaza? mifano ni mingi!
 
Uko smart mkuu,kwahyo unatushauri kabla yakuoa tuangalie level of similarities between us sio Mkuu,nimevuna kitu hapa bwashee!
 
Hoja Imeungwa Mkono!!
Sasa Nitawahoji......
 
Mengi uliyosema apo mtu asipoyafikiria na kuingia kichwa kichwa ni kama Mandonga mtu kazi anavosema "Mtu atapigwa kama ngoma"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…