Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha


Maandiko yako yanaelimisha kwa wenye uelewa wa kujifunza.
 
Uko smart mkuu,kwahyo unatushauri kabla yakuoa tuangalie level of similarities between us sio Mkuu,nimevuna kitu hapa bwashee!
Yah mkuu.

Kuna mambo mnaweza kufanana na mwenza wwko lakini hayo mambo yenyewe mliyofanana yanatija na kuwawezesha nyinyi kuishi kwa amani katika ndoa yenu.?

Mfano huwenda mkawa mnafanana makabila,kimo,kazi na kipato lakini je mambo haya yanaweza kuchangia kuwafanya nyie muishi pamoja ?

Kufanana ukabila hakufanyi muelewewane kwa sababu kuna watu wana kabila moja na hawawezi kuishi pamoja ,kwa nini ? Akili kichwani kwako.

Kufanana kazi hakuwafanyi muelewewane kwa sababu kuna watu wanafanya kazi ya aina moja lakini wanagombana na hawawezi kuishi pamoja,kwa nini ? Akili kichwani.

Na kuna mambo mengi watu wanafanana lakini still hawawezi kuishi pamoja,so ishu ya kufanana ni pana sana.


Ufanano ambao unafaa ni ule ambao utawafanya muishi vizuri na amani kwenye ndoa na sio mifanano mengine ambayo haina tija.
 
wasiingie ndoani na single mother bali Watafute wanawake WA level zao ambao nao hawajawahi kuolewa.
Hivi single maza utamjuaje?? mbali na hao waliojiweka wazi wazi?? ......kuna single maza wengine vitoto vilitupwa chooni!! na sewage tanks huko! tena kwa idadi ya kutosha kabisa km mie muongo waulize Madaktari!

Mke mwema ntu hupewa na Bwana tu! ndo jibu sahihi! labda nikwambie Bibi yake Yesu alikuwa kahaba!! Mariam Magdalena alikuwa Kahaba lkn alitembea kuhubiri neno na Yesu,

km haitoshi ndiye alikuwa wa kwanza kuonana na Yesu baada ya kufufuka! ...Makahaba wengine wamecheleweshewa hatima yao njema na shetani maksudi tu!

Kwanza single Maza ni mzoefu nani atamdanganya tena?......ametulia!.....kumbuka Ayubu pamoja na kuongea na Mungu tit for tat km rafiki yake!....alikubali kumrudia mke wake aliye mkimbia ajili ya umasikini!

Km single maza nyota zikipanda weye oa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…