Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,138
Matadi, Boma na Banana Ile ni mialo tu... Hakuna biashara wala sophisticated machine za kufanya kuweza kuhimili biashara ndani ya Congo. Hiyo Matadi ambayo ndio kubwa kabisa anategemea transhipment from Angola.Matadi.