Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

naomba jawabu kati ya donard trump na hilal Clinton nani alipata kura nyingi kimajimbo usemavyo na akatangazwa RAIS wa marekani?
 
Kamala Trumple
 

Attachments

  • Screenshot_20241103_102710_Chrome.jpg
    362.2 KB · Views: 3
Compare and constrast uchaguzi wa Marekani na wa Tanzania hasa ule wa shuja wa Afrika wa mwaka 2020
 
WEWE MGUNYA ndo mpotoshaji pumbafu wee
 
naomba jawabu kati ya donard trump na hilal Clinton nani alipata kura nyingi kimajimbo usemavyo na akatangazwa RAIS wa marekani?
Nafikiri USA waliweka huu mfumo ili kubalance maamuzi ili kwamba Raisi hasitokane na majimbo yenye wapiga kura wengi pekee bali awe ni wa wamarekani wote! Mfano kwetu hapa mgombea akipata kura nyingi kanda ya ziwa na Dar basi hana haja na kura za Zanzibar au kusini, ili linafanya maeneo machache ndiyo yaamue nani awe raisi wa inchi.
Kwa mantiki hii USA wakaja na mfumo wa kwamba katika jimbo x lenye wapiga kura million 5 ukipata kura nyingi zaidi ya mwenzio utapata kura zote 3 za electrol na mgombea mwenzako katika jimbo Y lenye wapiga kura laki 5 akikuzidi kura za wananchi atapata kura zote 3 za electrol! Kwa mantiki hii ukijumlisha kura za wananchi aliyeshinda kwenye jimbo x ataonekana ana kura nyingi lakini kwenye kuingia ikuru bado analingana na aliyeshinda kwenye jimbo Y. Ili ndo lilitokea kwa Trump na Clinton
 
Kura zinapigwa na wajumbe wa Baraza la uchaguzi na Kila mshindi kwenye Jimbo la uchaguzi huesabiwa amepata kura moja hivyo atakayefikisha kura 270 Kwa maana ya majimbo ya uchaguzi ndiyo mshindi
Yaani hapa tanzania mfano Kila MKOA mgombea akishinda huesabiwa kura moja hivyo jumlisha mikoa yote atakayeongoza ndiye mshindi
 
Kila laheri Kamala Harris...
 
Ngoja ni kujibu swali la pili Marekani ni federal goverment au Muungano wa mataifa.

Mataifa mawili au zaidi yanapoungana huwa hayawi sawa, kiuchumi, kijamii hata kwa Idadi ya watu, Mfano muungano wa Soviet katika huo Muungano mataifa mengine madogo yalikuwa ni vassals states za Russia, same to Austro-Hungary au hata muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar katika hali yake ya sasa hata zanzibar wapewe entilement ngapi bado watakuwa hawana impact yoyote. Kutatua tatizo hili waasisi wa wamarekani wakaona kuna haja majimbo yote licha ya ukubwa au udogo lazima yawe na uwakilishi sawa ndio wakaunda hiyo Idea ya electroal college.

Kwa nini hawasumbuliwi kupigiwa kampeni? Majimbo yote yanauwiano sawa/unaokaribiana wa hawa wajumbe na kawaida ya Siasa vyama huwa na strongholds sehemu flani, so hakuna namna zaidi ya utendaji wa Chama/Mgombea utakaoweza kuondoa hii balance
 
Demokrasia wanayoihubiri kila siku iko wapi hapo?
Kwa nini Marekani wameendelea kuliko nchi zote?

Walijua kasoro kubwa za Serikali Duniani

Serikali huaanza na Mfalme, mfalme hupendwa na watu na kuonekana kama mungu, baadae ndani ya Ufalme viongozi wa serikali humchoka Mfalme, baadae Mfalme anaanzisha uongozi wa sera ya mkono wa chuma baada ya hapo viongozi wa serikali huanza kujilinda na Mfalme, ili kuconcile wanaunda utawala wa kurithishana(Aristocracy), baada ya hapo Aristocracy hubadilika na kati yao kuna kuwa na majatiri/Elite wa kutupwa wanaitwa Oligarchy (Mfano Russia) baada yake hawa Oligarchy wanaanza mfuno wa Politics (Kushirikisha Umma) kwenye maamuzi mwisho inatokea Democracy, kwenye Democracy then anatokea Kiongozi maarufu anakuwa anajiona yeye ndio yeye then anakuwa Monarchy mfano Hitler, Julio Cesar, Tundu Lissu, Magufuli e.t.c

Kusovle hili tatizo Marekani wakaunda mix ya Democracy (Senate) na Aristrocacy (Congress) hawa wamehakikisha Marekani kuna check and balance na mihimili yote ya Serikali ina ngumu na mipaka

 
Hiyo ni democracy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…