Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

Naomba ujibu hili swali: Je haijawahi kutokea USA mgombea akashinda popular votes lakini akaja kuanguka kwenye Electoral college votes na asitangazwe mshindi? badala yake akatangazwa mgombea mwengine aliyeshinda Electoral college votes? au akaanguka kwenye popular votes lakini akashinda kwenye Electoral college votes?
 
Soma hapo chini, usipotoshe umma nimeona nikujibu moja kwa moja. hao ni viongozi katika history ya marekani walifeli kwenye kwenye popular vote lakini wakawa marais wa marekani kwa wingi wa Electoral College votes
  1. Rutherford B. Hayes (1876): In the highly contested election against Samuel J. Tilden, Hayes lost the popular vote but won the Electoral College by a single vote, 185 to 184. The election was marred by disputes over electoral returns in several Southern states, which led to a special electoral commission that ultimately awarded the disputed votes to Hayes.
  2. Benjamin Harrison (1888): Harrison lost the popular vote to incumbent President Grover Cleveland but won the Electoral College, 233 to 168. Harrison carried key swing states, despite Cleveland receiving more votes overall.
  3. George W. Bush (2000): In a very close election against Al Gore, Bush lost the popular vote by approximately 500,000 votes but won the Electoral College, 271 to 266. The outcome hinged on a contentious recount in Florida, which was ultimately decided by a Supreme Court ruling in Bush's favor.
 
Hapa ndio nimeelewa sasa.
 
Hata mimi mwenye E moja nimeelewa.
 
Fafanua swali dogo tafadhali: Hao Electors ambao wewe ulishinda kwenye jimbo na Chama chako na wao ndio wakapita una uhakika gani siku ya wao Electors kupiga kura kama watakupigia wewe kura?

Kwa mfano na imetokea waziwazi karibuni jimbo ambalo Trump alishinda kwa kura Electors wake waziwazi alimuunga mkono Kamala baada kusikiliza sera za Kamala.
 
Ww hujui kitu kaa kimya, hillary alimpita trump popular vote na baadae akaja kuangushwa kwny hiyo electoral college vote, hizo n kula zinazopigwa na wajumbe kutoka hayo majimbo na uwakilishi wao hutokana na idadi ya ushind chama kimepata kwny majimbo yote ya marekani…

Wananchi km wananchi hawaamui matokeo yote ya urahisi cz wawakilich wa majimbo ambao n 538 ndo uamua nani atayekuwa mshindi….

Hapo chini popular vote hillary clinton alimbwaga trump bt after hizo college vote ambazo zinapigwa na wajumbe trump akamuangusha hillary…

Inshort hizo kula za wawakilish 538 ndo zinaamua rais wa USA
 
 

Attachments

  • B3E3CB16-6A86-4BB3-861A-BF1006AAEBEE.jpeg
    260.2 KB · Views: 3
Kwa style hii atapita rais ambaye matajiri wanamtaka na sio wananchi
Maana wamerahisisha ni rahisi ku-lobby watu 538 kuliko rais milioni 300. Kama ndio hivi Trump atapita kwenye urais mwaka huu 2024.
 
Best of all lucky to Donald Trump on Tuesday's November 2024 US general election.
 
I know....ila popular vote, at least for the last 30 years or so is dominated by Democrats.
Ndiyo, ni kweli.

Ila hiyo inatokana na majimbo mawili au matatu yenye idadi kubwa ya watu.

California, New York, na Illinois.

CA na NY tu peke yake zinaweza ku skew national popular votes.

Na ndo maana founding fathers waliweka mfumo wa ECV.

Btw, George W. Bush alishinda popular votes kwenye re-election.
 
Dah!

Watu mna vichwa vigumu sana.

Mshindi wa uchaguzi wa urais Marekani hashindi kwa kutumia kura za jumla za nchi nzima.

Anashinda kwa kupata idadi ya kura za wajumbe wa EC.

Mgombea akishinda popular votes za jimbo, ndo wajumbe wa EC wa hilo jimbo wanakuwa wa kwake.

Wananchi na kura zao ndo huamua. Chaguzi za Marekani kwa ngazi ya urais hufanyika kimajimbo. Siyo kitaifa.

Hivi ugumu wa kuelewa hilo uko wapi?
 
It's all about 💸💲 bro. Wale wanaojipanga foleni, wakisimama, wakipata kiu, njaa, muda kupoteza, it's a just a show!
True democracy my ass..🤬🤬🤬
 
Kwa style hii atapita rais ambaye matajiri wanamtaka na sio wananchi
Maana wamerahisisha ni rahisi ku-lobby watu 538 kuliko rais milioni 300. Kama ndio hivi Trump atapita kwenye urais mwaka huu 2024.
Hakuna hiyo.

Wananchi wa majimbo ndo wanaamua.

Ashindaye popular votes za jimbo, electors wa hilo jimbo ndo wanakuwa wa kwake na Disemba watapokutana na electors wa majimbo mengine, ndo wanauidhinisha ushindi.
 
Hakuna hiyo.

Wananchi wa majimbo ndo wanaamua.

Ashindaye popular votes za jimbo, electors wa hilo jimbo ndo wanakuwa wa kwake na Disemba watapokutana na electors wa majimbo mengine, ndo wanauidhinisha ushindi.
Kuna haja gani electors kupiga kura kama popular votes ishaonesha elector yupo upande gani ? Maana ni kuhesabu electors wa democrats na repulicans ni wangapi na kumtangaza rais au mimi sijaelewa ?
 
Kuna haja gani electors kupiga kura kama popular votes ishaonesha elector yupo upande gani ? Maana ni kuhesabu electors wa democrats na repulicans ni wangapi na kumtangaza rais au mimi sijaelewa ?
Mambo mengine ni formalities tu.
 
MSIDANGANYWE NA MTU YOYOTE URAIS WA MAREKANI UNAAMULIWA NA WAJUMBE AMBAO NI WAWAKILISHI WA MAJIMBO YOTE YA UCHAGUZI

Hii inamaana kura za wananchi (popular vote) pekeyao haziamui nani atakuwa rais wa marekani bali (elector college vote) kula za wajumbe 538 kutoka majimbo yote ya marekani ndo huamua…

Rejea uchaguzi wa 2016 hirrary alimbwaga Trump kwny kura za walala hoi ( popular vote) bt kura za wajumbe au wawakilish wa majimbo (elector vote) walimpa trump so trump akawa rais…

Kwa maana hiyo, kibibi kizee cha torino hata kama atapata kula zote za walala hoi, bado Vibopa 358 ndo wataamua nani atakua rais.

Kuvumbi leoooo……

Kura chuma hicho…
Ww ndo mgumu kuelewa,,,,,
 
🤣

Hivi darasani ulikuwa unapata alama gani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…