- Thread starter
- #21
Nilikuwapo kwa Lissu kwenye vitisho vya kufa mtu tokea kwa mtu pori. Nini kinitishe leo kudai katiba mpya itakayo kunufaisha pia wewe na hata watoto wa wajukuu zako?Hopefully utakuwa wa mbele kabisa na bango lako hapo uwanjani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwapo kwa Lissu kwenye vitisho vya kufa mtu tokea kwa mtu pori. Nini kinitishe leo kudai katiba mpya itakayo kunufaisha pia wewe na hata watoto wa wajukuu zako?Hopefully utakuwa wa mbele kabisa na bango lako hapo uwanjani!
Mlivyompiga risasi mlidhani hana ndugu wa kumpigania?Ila kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Jibu zuri sana kwa huyo chawaAnatumika kwa manufaa ya taifa la Tanzania!
Lakini mbona wewe unatumika na ccm lakini hatuulizi?
Hahahahahahahah! Lakini siku ile Lissu anakimbilia airport nyuma yake niliona maafisa wa ubalozi tu. Yeye alikuwa peke yake na barakoa yake maana hata fimbo aliisahau! Wewe ulikuwa wapi? Ahahahahahahaha!!!Nilikuwapo kwa Lissu kwenye vitisho vya kufa mtu tokea kwa mtu pori. Nini kinitishe leo kudai katiba mpya itakayo kunufaisha pia wewe na hata watoto wa wajukuu zako?
Hahahahahahahah! Lakini siku ile Lissu anakimbilia airport nyuma yake niliona maafisa wa ubalozi tu. Yeye alikuwa peke yake na barakoa yake maana hata fimbo aliisahau! Wewe ulikuwa wapi? Ahahahahahahaha!!!
Ngoja familia yako iguswe ndipo utajua hujui.Ila kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Tueleze robo ya sababu iliyomfanya astahili kupigwa risasi na polisi ambao walijiona walikuwa sahihi.Ila kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Sasa mtu kaufyata anakimbia. Ya nini kujihangaisha nae?Kumbe maafisa wa ubalozi waliwafanya mkaufyata?
Hamkuonekana popote. Si wewe wala mwenye mbwa.
Tueleze robo ya sababu iliyomfanya astahili kupigwa risasi na polisi ambao walijiona walikuwa sahihi.
Tunataka HAKI itendeke kwa huyo binti. Ingekuwa ni wewe au binti yako ungekaa kimya?Ila kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Sasa mtu kaufyata anakimbia. Ya nini kujihangaisha nae?
Hata Mimi huwa najiuliza hili swali.....yaani hata hawaumii hawa wangwana?Ila kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Hata Mimi huwa najiuliza hili swali.....yaani hata hawaumii hawa wangwana?
Vyombo mvua habari vyetu bado vimefungwa midomo, habari kama hii huwezi kuiona wala kuisikia kwenye media zetuYasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
View attachment 2198430
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.
View attachment 2198432
Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
View attachment 2198433
Au alikuwa CHASOHata Mimi huwa najiuliza hili swali.....yaani hata hawaumii hawa wangwana?
So what, wanaohoji wana akili timamu!Hayo mabango mbona yanahusu awamu ya 5
cc: Zitto Kabwe
Kwa Aquilina ndo tuligundua risasi zinaweza kata konaIla kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Vipi huyo "FREE PETER MADELEKA"Hayo mabango mbona yanahusu awamu ya 5
cc: Zitto Kabwe
Issue ni hivi yule Dada alipigwa risasi nadhani ni kwa bahati mbaya.....najua ni pengo kubwa kwa familia lakini jina LA binti huyo kuendelea kutumika kisiasa kwenu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu...mnafikiri mama yake anajisikia vipi kila siku kutumia jina LA mwanae aliyetangulia mbele ya haki.Kwa hiyo mnaoumia ni ninyi mliompiga risasi?
Issue ni hivi yule Dada alipigwa risasi nadhani ni kwa bahati mbaya.....najua ni pengo kubwa kwa familia lakini jina LA binti huyo kuendelea kutumika kisiasa kwenu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu...mnafikiri mama yake anajisikia vipi kila siku kutumia jina LA mwanae aliyetangulia mbele ya haki.Kwa hiyo mnaoumia ni ninyi mliompiga risasi?
Hata kama angekuwa CHASO but it is too much.....waje na agenda sio hizi chuki zao.Au alikuwa CHASO