Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

Hopefully utakuwa wa mbele kabisa na bango lako hapo uwanjani!
Nilikuwapo kwa Lissu kwenye vitisho vya kufa mtu tokea kwa mtu pori. Nini kinitishe leo kudai katiba mpya itakayo kunufaisha pia wewe na hata watoto wa wajukuu zako?
 
Hahahahahahahah! Lakini siku ile Lissu anakimbilia airport nyuma yake niliona maafisa wa ubalozi tu. Yeye alikuwa peke yake na barakoa yake maana hata fimbo aliisahau! Wewe ulikuwa wapi? Ahahahahahahaha!!!
 
Kumbe maafisa wa ubalozi waliwafanya mkaufyata?

Hamkuonekana popote. Si wewe wala mwenye mbwa.
 
Sasa mtu kaufyata anakimbia. Ya nini kujihangaisha nae?

Mmesahau mlisema akija atakamatwa? Mkasema tukienda kumpokea tutakamatwa?

Hatukujua muda wa kuondoka tungekuwapo JKNIA kumuaga. Kama hukujua na ujue.
 
Kwa hiyo mnaoumia ni ninyi mliompiga risasi?
Issue ni hivi yule Dada alipigwa risasi nadhani ni kwa bahati mbaya.....najua ni pengo kubwa kwa familia lakini jina LA binti huyo kuendelea kutumika kisiasa kwenu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu...mnafikiri mama yake anajisikia vipi kila siku kutumia jina LA mwanae aliyetangulia mbele ya haki.

Staarabikeni bwana. Njoo na agenda sio chuki.
 
Au alikuwa CHASO
Hata kama angekuwa CHASO but it is too much.....waje na agenda sio hizi chuki zao.
 
Back
Top Bottom