bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,100
- 2,491
Ukiwa mkaidi utashughulikiwa TU
Askari jeshi anafundishwa namna ya kupambana na adui (especially mgeni) anaetishia usalama wa taifa,
Hayo wanayoyafanya Kwa raia ni baadhi TU ya mambo wanayofanyiwa mateka vitani
Mwingiliano wa askari jeshi na raia ndo umezaa haya yote
Nilichogundua wengi humu ni keyboard warriors
So unataka kusema Askari wetu Wana matatizo ya akili?
How come hajui huyu ni raia namuonea kwa kosa au ubabe wake?
Hayo mafunzo yanamfanya aone raia mateka?
Akiwa barabarani asababishe ajali kwa madai kuwa ana emergency, huyo raia ndo mwenye ratiba zake?
Still kutakuwa na uadui hata ndani ya mtaa endapo wasipobadili hizi chili zitakua as time goes by.
It's not about being keyboard warrior sababu hujui uwezo WA MTU...hata wewe ni among those warriors maana hutakiwa na guts zakuitwa na raia mkapimane na unaenda kweli, that meant hujatumia akili na weledi wako vizuri...