PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Kweli Hana dira,maisha ya wtz milioni 56 yabebwe na mstakabali wa mtu mmoja,ilani ya chama atakachogombea kiwe kushambuliwa kwa Lissa,duhhh ,magu piga kazi hata uchaguzi uwe kesho asubuhi wewe Ni presidaaaaana #TUNDU_LISSU
Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema;
Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu.
Wakifanya hivyo basi kampeni yote ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu itakuwa juu ya kukamatwa kwangu.
Ni hivi: kabla ya September 7, nilikuwa na kesi 6 za jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Nilikuwa sijawahi kukosa kwenda mahakamani kuhudhuria kesi hizo. Sijawahi kuogopa kesi zao za kijinga.
Kitu pekee kilichonifanya niache kuhudhuria kesi ni kile ambacho dunia nzima inakifahamu. Nilishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kusababisha niondoshwe nchini kwa ajili ya matibabu.
Walionishambulia na waliowatuma, kuwalipa na kuwawezesha hadi sasa wanaitwa 'watu wasiojulikana.' Waliotakiwa wanitibu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu walikataa kunitibu. Badala yake wakanifuta Ubunge kwa visingizio vya kijinga tu.
Sasa nikirudi nchini kwa hiari yangu baada ya miaka mitatu ya kujihangaikia mwenyewe wanikamate na kuniweka gerezani kwa visingizio vingine vya kijinga.
Hilo litakuwa jambo jema sana. Itabidi wawaeleze wananchi wa Tanzania na waieleze dunia inayofahamu mambo haya kwa nini wamefanya hivyo. Na watoe maelezo hayo katikati ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge na waeleweke kwa wapiga kura.
Mimi binafsi nitafurahia sana wakifanya hivyo, maana hatutazungumzia kitu kingine chochote katika kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Tundu Lissu.
na #TUNDU_LISSU

Samahani sana mkuu, 'Sky...'Sasa nikirudi nchini kwa hiari yangu baada ya miaka mitatu ya kujihangaikia mwenyewe wanikamate na kuniweka gerezani kwa visingizio vingine vya kijinga.
Anajidanganya sana huyu mkimbizi...na #TUNDU_LISSU
Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema;
Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu.
Wakifanya hivyo basi kampeni yote ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu itakuwa juu ya kukamatwa kwangu.
Ni hivi: kabla ya September 7, nilikuwa na kesi 6 za jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Nilikuwa sijawahi kukosa kwenda mahakamani kuhudhuria kesi hizo. Sijawahi kuogopa kesi zao za kijinga.
Kitu pekee kilichonifanya niache kuhudhuria kesi ni kile ambacho dunia nzima inakifahamu. Nilishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kusababisha niondoshwe nchini kwa ajili ya matibabu.
Walionishambulia na waliowatuma, kuwalipa na kuwawezesha hadi sasa wanaitwa 'watu wasiojulikana.' Waliotakiwa wanitibu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu walikataa kunitibu. Badala yake wakanifuta Ubunge kwa visingizio vya kijinga tu.
Sasa nikirudi nchini kwa hiari yangu baada ya miaka mitatu ya kujihangaikia mwenyewe wanikamate na kuniweka gerezani kwa visingizio vingine vya kijinga.
Hilo litakuwa jambo jema sana. Itabidi wawaeleze wananchi wa Tanzania na waieleze dunia inayofahamu mambo haya kwa nini wamefanya hivyo. Na watoe maelezo hayo katikati ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge na waeleweke kwa wapiga kura.
Mimi binafsi nitafurahia sana wakifanya hivyo, maana hatutazungumzia kitu kingine chochote katika kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Tundu Lissu.
Ndiyo, "amalizane nao", au anyamaze kama anaona kuna shida.Aje amalizane nao hakuna namna
CCM na Mapolisi ndo Wana hofu wala Lissu hana hofu..Anajaribu kutikisa kiberiti aje tu asiwe na hofu
Ndiyo, "amalizane nao", au anyamaze kama anaona kuna shida.
Anavyolialia hivi anawapa furaha sana.
Stori hizi za kila siku....jamaa yenu kaona katangaza nia ila kapotezewa balaa..hata chadema nao wamempotezea wako bize kumpa airtime gamboHuu ni mtego amewatega CCM na kama watamweka ndani hapo watakuwa wanajivua nguo wenyewe pia hata jumuia ya kimataifa watajua ukatili unaofanywa na CCM....
Hata Mimi naomba wamweke ndani ili tupate point 3 kipindi cha campaign maana CCM Kwa UJINGA wao mwingi wataingia Kwenye mtego
Kule juu uliandika kiroho mbaya... "aje apambane na hali yake..".Sio unyanyasaji Ana kesi mahakamani aje mahakama iamue Ana hatia au hana,
Lakini hawa mashujaa tunaowategemea kumaliza unyanyasaji wanapoanza kuonyesha mashaka, tutaumalizaje unyanyasaji huo?Unyanyasaji unamwisho wake
Nasikia alipata flowers milion 80 baada ya kuhojiwa hard talk kule bbcMawazo yake anahisi risasi alizopigwa ndiyo zitamuungiza Ikulu. Tanzania ya sasa si ya miaka mitatu iliyopita.
Samahani sana mkuu, 'Sky...'
Ndugu Lissu anaharibu kuyaweka haya mbele. Hana sababu ya kuyatangaza haya, kwa sababu inajulikana, na yeye mwenyewe anajua fika kwamba haya ndiyo atakayofanyiwa; na pengine zaidi ya haya.
Tulichotarajia toka kwake, tangia alipoahirisha kurudi baada ya kuruhusiwa toka hospitali, ni kwamba muda huo angeutumia vizuri sana kujipanga vizuri kuwakabili hawa watu kuhusu mipango yote hiyo anayoizungumzia.
Mategemeo yalikuwa kwamba atakuwa yeye mwenyewe na familia yake na chama chake, wameweka mikakati madhubuti zidi ya maovu zidi yake.
Tulitegemea hii ingekuwa ni kazi na maandalizi ya kimya kimya. Tunatarajia kurudi kwake sio swali tena la kujadili na kupima upepo kama anavyofanya sasa hivi.
Ni lazima sasa akubali, amekwishakunywa nusu glasi, asiogope kuimaliza glasi nzima ya machungu.
Mwambie aachane na haya ya kuonyesha kulialia. Yeye alishapita ngazi hiyo, ni lazima aonyeshe ushujaa kwenda mbele.
Haya awaachie waTanzania wayapime wenyewe na kutoa uamzi sahihi.
Lisu anafikiri pale twitter ndio tanzania? Mwambieni aje huku field aone uhalisia!"Wakifanya hivyo basi kampeni yote ya mwaka huu itakuwa juu ya kukamatwa kwangu" - Tundu Lissu.